Wahamiaji Haramu 32 Wakamatwa Wilayani Pangani
ASKARI wa Hifadhi ya Taifa ya Saadani kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wilayani Pangani wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 32 waliokutwa wakiwa karibu na hifadhi hiyo wakisafirishwa kupelekwa...
View ArticleSumaye aishukia CHADEMA, asema hawawezi kuongoza nchi
Na John Walter-Hydom, MbuluWaziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye amesema vyama vya Upinzani nchini haviwezi kuongoza nchi kwa sababu hawana sera.Ameyasema hayo Leo...
View ArticleSerikali Kusimamisha Mishahara Ya Maafisa Utumishi Watakaosababisha Watumishi...
Na. James Mwanamyoto-DodomaMaafisa Utumishi watakaozembea na kusababisha Watumishi wa Umma nchini kutolipwa mishahara yao kwa wakati, watasimamishiwa mishahara na Serikali mpaka watakapohakikisha...
View ArticleVijana Kagera Watakiwa Kutosubiri Ajira kutoka Serikalini.
Na Avitus Benedicto Kyaruzi,Kagera.Vijana katika halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wameaswa kutosubiri ajira kutoka serikalini bali wajikite katika kujiajili haswa katika kilimo,uvuvi na...
View ArticlePICHA: Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dr Magufuli ahutubia...
PICHA: Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dr Magufuli ahutubia wananchi wa Mbeya mjini
View ArticleBarabara za juu kutoka Mwenge kwenda Buguruni katika makutano za barabara ya...
Barabara za juu kutoka Mwenge kwenda Buguruni katika makutano za barabara ya morogoro,Nelson Mandela na Sam Nujoma zaanza kutumika rasmi leo( Picha- MAELEZO)
View ArticleHESLB Yatoa Siku Tano (05) Kwa Wahitimu Mafunzo Jkt Kuomba Mikopo
Na Mwandishi Wetu, HESLBBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku 5 kuanzia Oktoba mosi hadi 5 mwaka huu ili kuwawezesha wanafunzi waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga...
View ArticleWaliokamatwa Kwa Mauaji ya Kada wa CCM Njombe Wakiri Kutenda Kosa
WATU wanne ambao wametiwa mbaroni kutokana na mauaji ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Njombe, Emmanuel Mlelwa, wamedaiwa kukiri kutenda mauaji hayo kwa mujibu wa upelelezi wa polisi.Taarifa...
View ArticleSerikali Yashinda Kesi Kupinga Muungano wa Tanzania
Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofunguliwa na baadhi ya wanaharakati. Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel...
View Article‘Tanzania Ni Nchi Kubwa, Inataka Kiongozi Mahiri’
“TANZANIA ni nchi kubwa inazidi kilometa za mraba 947,000. Ina makablia zaidi ya 120 na wakazi wake wanakaribia milioni 60. Inahitaji kiongozi mahiri na mwenye hofu ya Mungu.”Hiyo ni kauli ya Mjumbe wa...
View ArticleSerikali yaridhia kutoa hekari 1,625 kwa wananchi
SERIKALI imeridhia kutoa hekari 1,625 kwa wananchi kutoka katika ardhi inayomilikiwa na Jeshi la Magereza Kijiji cha Ilagala Wilaya Uvinza mkoani Kigoma kwa lengo la kuendeleza kilimo cha zao la...
View ArticleMama adaiwa kumchinja mwanae wa miaka saba
Mtoto wa miaka saba mwanafunzi wa dasara la tatu Shule ya Msingi Ihumwa ameuawa kwa kuchinjwa shingo na mtu anayedaiwa kuwa ni mama yake mzazi, Grace William (45) kisha kutokomea kusikojulikana.Tukio...
View ArticleBil 5.26/- zatumika kujenga barabara Ngara
SHILINGI bilioni 5.26 zimetolewa kupitia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) kwa ajili ya ujenzi na matengenezo ya barabara katika wilaya ya Ngara, mkoani Kagera.“Kati ya hizo, shilingi...
View ArticleMsajili Avionya Vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka huu
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka huu, kuacha mara moja mpango huo kwani wanakiuka utaratibu wa sheria na...
View ArticleUsichelewe .....Pakua sasa hivi App Ya Mpekuzi Ikiwa na Maboresho Mapya. Ipo...
Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka Usikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa Ujumla . Tumejipanga vizuri sana...
View ArticleMajaliwa: Tupeni Kiongozi Atakayekuza Mahusiano Na Jirani
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na kiongozi ambaye atakuza mahusiano na nchi jirani.“Tanzania inazungukwa...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Kuhusu Maadhimisho Ya Siku Ya Chakula Duniani
Dodoma, 01 Oktoba, 2020Wizara ya Kilimo inapenda kuwataarifu wananchi na wadau wote wa sekta ya kilimo nchini kuwa Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yatafanyika kitaifa mkoani Njombe kuanzia...
View ArticleTAKUKURU Dodoma Yaokoa Zaidi Ya Tsh Bilioni 1
Na Faustine Gimu, DodomaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Dodoma imeokoa zaidi ya shilingi bilioni moja pamoja na kuzirejesha Serikalini na kwenye vyama vya Ushirika.Katika...
View Article