Idadi Ya Maambuki ya Corona Nchini Kenya Yafika 42
Watu wanne zaidi wameambukizwa virusi vya Corona nchini Kenya na kufikisha idadi ya wagonjwa kufikia 42, wakati huu serikali nchini humo ikiendelea kutekeleza amri ya watu kutotoka nje, ambayo...
View ArticleRwanda Yaongoza Afrika Mashariki kwa Maambukizi ya Virusi Vya...
Rwanda imethibitisha visa 10 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Corona siku ya Jumapili na kufikisha 70 jumla ya watu wanaougua corona, Wizara ya afya Rwanda imetangaza.Katika hotuba yake kwa taifa...
View ArticleTumia Mwika Kujitibu Busha, Nguvu za Kiume
Mwika ni dawa ya asili ya nguvu za kiume yenye kutibu matatizo kwa wakati mmoja ;(1)Nguvu za kiume (2) Kunenepesha Maumbile(3)Kuchelewe kufika kileleniYajuwe matatizo yanayosababisha upungufu wa nguvu...
View ArticleMeya Manispaa Ya Iringa Ang'olewa Madarakani
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Iringa limemwondoa Meya wa Manispaa ya iringa-Chadema Alex Kimbe baada ya kupiga kura ya kutokuwa na imani nae kufuatia tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya...
View ArticleTAKUKURU Yakanusha Kusambaratisha Mkutano wa Katibu mkuu wa Wizara ya Maji,...
TAASISI ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imekanusha taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na Mamlaka hiyo kusambaratisha mkutano wa Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa....
View ArticleWizara Nne Zaunda Kamati Mzee Kisangani kuwa Bilionea
Issa Mtuwa – DodomaTimu ya wataalam 9 kutoka wizara ya Madini, Wiziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, wizara ya Viwanda na Biashara na Wiziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...
View ArticleWaziri wa Viwanda na Biashara ampongeza mjasiriamali mtanzania aliyebuni...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 30 Machi, 2020 amepokea kifaa maalumu cha kunawia mikono kilichotengenezwa na mjasiriamali wa kitanzania ndugu. Jonas Urio (Ambaye...
View ArticleWagonjwa Wa Corona Nchini Kenya Wafika 50
Waziri wa Afya wa Serikali ya Kenya Mutahi Kagwe leo Jumatatu Machi 30 ametangaza wagonjwa nane zaidi wa ugonjwa wa virusi vya corona COVID-19 na kufanya idadi ya wagonjwa nchini humo kufikia 50.Kwa...
View ArticleTahadhari Ya Corona: Ratiba Ya Bunge Litakaloanza Kesho Yabadilika
Na.Faustine Gimu Galafoni,DodomaVikao vya Bunge la bajeti kuu vinatarajia kuanza kesho huku utaratibu mpya ukiwekwa juu ya tahadhari ya Corona ambapo wataruhusiwa kuingia wabunge 150 pekee ukumbini...
View ArticleTanzia: Katibu mkuu wa CUF Khalifa Suleiman Khalifa afariki dunia
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 31 2020 akipatiwa matibabu katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. .Mwanaye...
View ArticleNaibu Waziri Mabula Aridhishwa Na Kasi Ya Ujenzi Hospitali Ya Rufaa Mkoa Wa Mara
Na Munir Shemweta, WANMM, MUSOMANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyoko Kwangwa...
View ArticleRais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14 ili...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametagaza masharti zaidi ya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya corona wiki mbili baada ya kupiga marufuku usafiri wa Umma.Katika hotuba yake kwa taifa iliyopeperushwa...
View ArticleOfisi Ya Ardhi Mara Kuwezeshwa Vifaa Vya Upimaji
Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wizara yake itaipatia ofisi ya ardhi mkoa wa Mara vifaa vya upimaji ili viweze kutumiwa na...
View ArticleElimu juu ya Ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona itolewe katika...
SALVATORY NTANDUWakazi wa mkoa wa Shinyanga wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya wananchi wanaokaidi maagizo ya Wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii,Wazee na Watoto juu ya...
View ArticleViongozi wa Dini Rukwa waazimia kupunguza muda wa ibada kujihadhari na Corona
Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Rukwa wamekubaliana kuwa kila dhehebu kulingana na imani zao kuona namna ya kupunguza muda wa kufanya ibada katika misikiti na makanisa mbalimbali ili kukabiliana...
View ArticleHalima Mdee Ashauri Wabunge Wote Wapimwe Virusi Vya Corona
Na.Faustine Gimu Galafoni,DodomaMbunge wa jimbo la Kawe jijini Dar Es Salaam Mhe.Halima Mdee ameishauri Serikali kufanya mchakato wa kupima Corona wabunge wote na watakaobainika wawekwe...
View ArticleTumia Mwika Kujitibu Busha, Nguvu za Kiume
Mwika ni dawa ya asili ya nguvu za kiume yenye kutibu matatizo kwa wakati mmoja ;(1)Nguvu za kiume (2) Kunenepesha Maumbile(3)Kuchelewe kufika kileleniYajuwe matatizo yanayosababisha upungufu wa nguvu...
View Article