Jaji Mmoja Nchini Kenya kufunguliwa mashitaka kwa kudaiwa kushirikiana na...
Jaji mmoja nchini Kenya anayejulikana kwa jina la Sankale Ole Kantai atafunguliwa mashtaka Mahakamani kufuatia madai kwamba alishirikiana na mshukiwa wa mauaji.Jaji huyo wa Mahakama ya rufaa, Sankale...
View ArticleTyson Amtwanga Deontay Wilder raundi ya 7 na kuwa bingwa mpya wa WBC
Tyson Fury ameshinda pambano lake la leo Februari 23, 2020 la uzito wa juu dhidi ya Deontay Wilder kwa TKO raundi ya 7 na kuwa bingwa mpya wa WBC Tyson alionyesha umahiri wake katika ulingo baada ya...
View ArticleKatibu Wa UVCMM Kata ya Hananasifu Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela Baada ya...
Katibu wa Umoja wa Vijana CCM Kata ya Hananasifu, Mohamed Nyandu amehukumiwa kulipa faini ya Sh1.5 milioni au kwenda jela miaka mitatu baada ya kukutwa na hatia ya kuishi nchini bila kibali.Nyandu...
View ArticleWaziri Mkuu Awataka Watumishi wa Umma Watenge Muda wa Kusikiliza Kero za...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametaka watumishi wa umma nchini kote kutenga muda wa kusikiliza kero za wananchi.Alitoa maagizo hayo jana mjini hapa wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa...
View ArticleK-lyinn Adai Kuzuiwa Kuingia Kwenye Kaburi La Reginald Mengi
Takriban mwaka mmoja baada ya kifo cha bilionea wa Tanzania Reginald Mangi, tayari kumeibuka mgogoro katika familia yake, baada ya mkewe Jacqueline Mengi kudai kwamba amenyimwa kuona kaburi la...
View ArticleTangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
==>>Kwa Nafasi Zingine Nyingi Zikiwemo za Mabenk, Makampuni Binafsi <<BOFYA HAPA>>
View ArticleWaziri Mkuu: Sekta Ya Madini Kuchangia Asilimia 10 Ya Pato La Taifa Ifikapo 2025
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hatua iliyofikiwa ya kuzuia uvunaji haramu wa rasilimali kwa utaoji wa cheti cha uhalisia kwa madini ya bati, kutaiwezesha sekta ya madini nchini kuchangia kwenye...
View ArticleIsrael Yadai Kuishambulia Syria Kwa Makombora
Israel inadai kuwa imevishambulia vituo vya kijeshi vya kundi lijiitalo Islamic Jihad karibu na mji mkuu wa Syria, Damascus. Taarifa ya jeshi la Israel inasema kuwa ndege zake zilipiga maeneo ya kundi...
View ArticleWazalishaji watakiwa kuzingatia viwango
Na Mwandishi wetu -Singida,Wazalishaji wa bidhaa mbalimbali mkoani Singida wametakiwa kutambua kuwa suala la viwango ni la kisheria hivyo ni lazima kuthibitisha ubora wa bidhaa ili kumlinda mlaji na...
View ArticleHalima Mdee Agoma Kumpa Mkono aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk.Vincent
Baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk.Vincent Mashinji kuhamia CCM, leo Februari 24, amekutana na viongozi wa CHADEMA katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa ajili ya kesi yao ya uchochezi...
View ArticleAuawa kwa Radi Akinyolewa Saluni Njombe
Martin Nyigu (35) mkazi wa kijiji cha Lusitu, kata ya Luponde, halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe, amefariki dunia kwa kupigwa na radi jana majira ya saa 9 alasiri akiwa ananyoa nywele saluni...
View ArticleEverton Yatandikwa 3-2 na Arsenal
Kombora la Pierre-Emerick Aubameyang na bao kutoka kwa kinda Eddie Nketiah yalitosha kwa Arsenal kunyakuwa ushindi wa 3-2 dhidi ya Everton. Mechi hiyo ya Jumapili, Februari 23, iliyosakatwa ugani...
View ArticleHatima Ya Tundu Lissu Kuhusu Ubunge Wake Kujulikana Kesho
Mahakama Kuu kesho itaanza kusikiliza maombi ya aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kumruhusu kwenda Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa Spika wa Bunge, Jobu Ndugai, kumvua nafasi ya...
View ArticleOngezeko La Sangara Ziwa Victoria Laishtua Ccm,yatoa Maagizo Mazito
CHAMA cha Mapinduzi kimeshtushwa na ongezeko kubwa la samaki aina ya Sangara ikiwa ni miaka mitatu tu tangu Serikali ya awamu ya tano kuanza operesheni za kudhibiti uvuvi haramu katika Ziwa Victoria na...
View ArticleBenki ya CRDB yapongezwa kuisaidia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuwa kinara katika kuisaidia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kukusanya mapato katika sekta ya...
View ArticleMwandishi wa habari , Erick Kabendera Atiwa Hatiani Kwa Mashitaka Mawili
Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani mwandishi wa habari , Erick Kabendera.Uamuzi huo wa mahakama umetolewa leo Jumatatu Februari 24, 2020 baada ya Kabendera kukiri mashtaka yake mawili ya...
View ArticleBREAKING: Erick Kabendera Aachiwa Huru Kwa Masharti Ya Kulipa Fidia Au...
Mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera amehukumiwa kulipa faini Sh100 milioni baada kukiri kosa la utakatishaji fedha na pia kulipa faini ya Sh250,000 au kwenda jela miezi mitatu kwa kukiri...
View ArticleMadiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM
Madiwani 11 wa Chadema Halmashauri ya Jiji la Mbeya akiwemo Meya wa Jiji hilo wamejiuzulu na kuhamia CCM leo Jumatatu Februari 24, 2020.Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao,...
View Article