Mbunge wa Tandahimba, Katani Ahmed (CUF) Ajiuzulu Na Kuhamia CCM
Mbunge wa Tandahimba Mkoani Mtwara (CUF) Katani Ahmed Katani amejiuzulu Ubunge wake na kutangaza kuhamia CCM kwenye mkutano uliofanyika Nanyamba leo Feb 21, 2029. Katani amepokelewa na Katibu Mkuu wa...
View ArticleAbdul Nondo ajitosa kuwania uongozi ACT-Wazalendo
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, leo Februari 21, 2020 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya ACT Wazalendo.Amesema chama...
View ArticleUrus Yakanusha Madai ya Kuingilia Kati Kampeni za Uchaguzi Wa Marekani wa...
Urusi imesema leo kuwa madai ya kitengo cha ujasusi cha Marekani kwamba nchi hiyo inaingilia kampeni za uchaguzi za mwaka 2020 na kujaribu kuongeza nafasi ya kuchaguliwa kwa mara nyengine kwa Rais...
View ArticleNafasi za Kazi 92 TANESCO...Mwisho wa Kutuma Maombi ni March 1, 2020
1. Artisan Electrical - Nafasi 70 <<Bofya Hapa>>QUALIFICATION AND EXPERIENCEForm IV and/or VI Secondary School Academic Certificates with Electrical Installation Trade Test Level II and...
View ArticleWaziri Mkuu: Uzalishaji Mbegu Za Michikichi Unaridhisha
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika uzalishaji wa mbegu bora za zao la michikichiki katika kituo cha Tari...
View ArticleWalimu Mkoani Tabora Watakiwa Kuwafundisha Wanafunzi Umuhimu Wa Uzalendo
NA TIGANYA VINCENTWALIMU Mkoani Tabora wametakiwa kuwalea kimaadili wanafunzi na wanavyuo ili waweze kukua katika uadilifu na uzalendo ambao utakaowawezesha kushiriki ujenzi wa Tanzania mpya msingi...
View ArticleNafasi Mpya Za Kazi SERIKALINI...Mwisho wa Kutuma Maombi ni Mwezi wa Tatu
1.MKAGUZI WA HESABU DARAJA LA II (AUDITOR GRADE II) - 5 POST2. AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI II (ASSISTANT COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II) - 1 POST3. FUNDI SANIFU DARAJA LA II - MAJI -...
View ArticleWanajeshi Waliojeruhiwa Kwenye Shambulizi la Makombora la Iran Wafika 110
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema kuwa idadi ya wanajeshi wa Marekani waliojeruhiwa katika shambulizi la kombora la Iran kwenye kambi yake nchini Iraq mwezi uliopita imefikia 110. Idadi hiyo ni ya...
View ArticleMarekani Na Taliban Kusaini Makubaliano Ya Kusitisha Mapigano
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amesema nchi yake itatiliana saini na kundi la Taliban tarehe 29 mwezi huu juu ya kusimaisha mapigano nchini AfghanistanMakubaliano hayo yatatiwa saini...
View ArticleWaziri mkuu wa Lesotho anayekabiliwa na mashtaka ya kumuua mkewe wa zamani...
Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane anayekabiliwa na mashitaka ya kumuua mke wake wa kwanza Lipolelo Thabane hakufika mahakamani, wakati alitakiwa kufika mahakamani jana Ijumaa kusikiliza tuhuma...
View ArticleSerikali Kudhibiti Wahamiaji Haramu Wanaotumia Njia Za Treni
Na Mwandishi WetuSerikali imeapa kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali nchini kwa kutumia usafiri wa treni huku ikiwataka wananchi kuacha tabia ya kuwahifadhi na...
View ArticleMiji mitatu ya Tanzania yatajwa kasi ya ongezeko la watu duniani
Idadi ya watu duniani inatarajia kukua kufikia watu bilioni 8.6 ifikapo mwaka 2030, ambapo miji kutoka nchi mbalimbali za Afrika ndiyo itakayoongoza kwa ukuaji huo.Kwa mujibu wa taarifa ya Umoja wa...
View ArticleSerikali ya Mseto yaundwa Sudan Kusini
Viongozi hasimu nchini Sudan Kusini wameunda serikali mpya ya umoja wa kitaifa leo hii inayotarajiwa kudumu kufuatia vita vya wenyewe kwa wenyewe.Siku moja baada ya Rais Salva Kiir kulivunja baraza la...
View ArticleUtatuzi Migogoro Ya Ardhi Dar Es Salaam Wamfikisha Lukuvi Saa Nne Usiku
Na Munir Shemweta, WANMMWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepongezwa na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kwa uamuzi wake wa kukutana nao na kutatua migogoro ya ardhi 628...
View ArticleSerikali Yajipanga Kutokomeza Magonjwa Ya Mifugo Nchini.
Na. Edward KondelaNaibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amesema serikali itahakikisha inaendelea kutoa dawa za ruzuku za kuogeshea mifugo nchini ikiwa na lengo la kutokomeza kabisa...
View ArticleKigwangalla Amuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo Awasamehe...
Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania, Dk Hamis Kigwangalla amewaombea msamaha waongoza utalii ambao walisambaza video kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha uharibifu wa barabara kwenye Hifadhi ya...
View ArticleMwanajeshi Mwingine wa Uturuki Auawa Kwa Bomu Na Vikosi Vya Syria...
Askari mwingine wa Uturuki ameuawa kwenye shambulio la bomu katika mkoa wa Idlib. Huyo ni askari wa 16 kuuawa kwenye mashambulio yanayofanywa na vikosi vya Syria vinavyoungwa mkono na Urusi. Wizara ya...
View Article