Wimbo Mpya wa Enock Bella - I Swear
Msanii wa muziki Bongo, Enock Bella ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao I Swear.Usikilize hapo chini
View ArticleNay wa Mitego Katupa Jiwe Gizani....."Oyaa Nataka Kuona List Ya Wasanii Heavy...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego ameamua kuvunja ukimya na kutoa ya moyoni kuhusu vuguvugu linaloendelea baina ya matamasha makubwa yanayotarajiwa kufanyika wikiendi hii nchini...
View ArticleKalulumila:Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo
BORA YA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO KALULUMILA.----------------------------------------Ni dawa pekee iliyojipatia umaarufu nchini na nje ya nchi kwa kufanya kazi mara 3, kwa wakati mmoja 1,...
View ArticleLori la JWTZ lenye Magunia ta Korosho Lapata Ajali
Gari la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambalo lilikuwa limebeba tani 15 za korosho likitokea wilayani Tandaimba kuelekea Mtwara mjini limepata ajali jana Novemba 21, 2018 na kusababisha korosho zote...
View ArticleWaziri Mkuu: Tanzania Kuendelea Kushirikiana na Nchi za Maziwa Makuu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwaamesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu katika kusimamia matumizi endelevu ya maji ya Mto Nile kwa ustawi wa kiuchumi wa nchi...
View ArticleKwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume?...
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME... DR SITTA NDO SULULISHO LAKOTatiza, hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako...
View ArticleWaziri Mkuu Mjaliwa:TSN Endeleeni Kuhimiza Uendeshwaji wa Jukwaa Hili Mikoani...
Na Anitha Jonas – WHUSM,TaboraWaziri Mkuu Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kuhimiza katika Mikoa mbalimbali umuhimu wa Jukwaa la fursa za biashara na...
View ArticleWaziri Kairuki Aagiza Rita Kuvunja Bodi Ya Uongozi Wa Mfuko Wa Udhamini Wa...
Na Asteria Muhozya, MaraWaziri wa Madini Angellah Kairuki ameuagiza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kuvunja uongozi wa Mfuko wa Udhamini wa North Mara ( Bodi ya Wadhamini na Menejimenti)...
View ArticleSethi, Rugemalira Wakwama Kufikishwa Mahakamani
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar salaam imeelezwa kuwa sababu za kutofika mahakamani kwa watuhumiwa wawili wa makosa ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi na James Rugemalila kuwa ni ukosefu wa...
View ArticleWaziri Mpya wa Kilimo, Mh. Hasunga Akabidhiwa Rasmi Ofisi.....Tizeba Atoa Neno
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-DodomaAliyewahi kuwa Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba ambaye ni Mbunge wa Buchosa Mkoani Mwanza leo tarehe 22 Novemba 2018 amemkabidhi rasmi ofisi Waziri wa...
View ArticleHabari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja...
Ni dawa pekee iliyotibu watu wengi nchini na nje ya nchini kwa kufanya kazi Mara 3 kwa wakati mmoja 1 ...kurefusha uume na kunenepesha saizi upendayo, kuogeza nguvu za kiume na inatibu matatizo ,...
View Article'Waliomuua' Dr Mvungi Waachiwa huru, Wakamatwa Tena
Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam, imewaachia huru watuhumiwa sita wanaodaiwa kumuua kwa makusudi aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengodo Mvungi.Washtakiwa hao wameachiwa huru...
View ArticleEster Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepinga sheria mpya ya mafao ya hifadhi ya jamii kikidai sheria hiyo inamuumiza mtumishi Mwenye kipato cha chini katika mafao yake pindi...
View ArticleEmmanuel Mbasha Amfungukia Mchungaji Aliyemtoa Mapepo Rose Mhando
Kuna video imesambaa ikimuonyesha Mwimbaji Mkongwe wa nyimbo za Gospel Rose Muhando akifanyiwa maombi ambapo kila mmoja amekua na maoni yake baada ya kuitazama. Hapo chini ni mtazamo wa Msanii wa...
View ArticleJWTZ Yapoteza Wanajeshi Wengine Watatu
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kama mnavyofahamu linashiriki Ulinzi wa Amani ndani na nje ya Bara la Afrika.JWTZ linasikitika kuwataarifu kwamba limewapoteza wapiganaji wake watatu (3)...
View ArticleVyanzo Vikuu Vya Maradhi Ya Kichawi
Kama ilivyo kwa magonjwa ya kawaida, maradhi ya kichawi nayo yana vyanzo vyake. Ni vyema kujua vyanzo vya maradhi haya ili uweze kujua namna ya kujiepusha nayo.NJIA WATUMIAZO...
View ArticleUjenzi Wa Daraja Katika Ziwa Victoria Kuanza Mwakani
Naibu Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Elias John Kwandikwa amewataka wakazi wa mikoa ya Mwanza na Geita kuchangamkia fursa za kiuchumi na kijamii zitakazojitokeza wakati wa ujenzi wa daraja...
View Article