MWENYEKITI
wa kampuni za IPP, Reginald Mengi ametoboa siri kuwa hakuna
mfanyabiashara wa Tanzania aliyefanikiwa katika biashara kubwa kwa
kusaidiwa na serikali bila ya kutoa rushwa.
Mfanyabiashara huyo ambaye
pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania
(MOAT), alisema yeye aligoma kutoa rushwa kwa watendaji wa serikali
jambo lililosababisha kupoteza fursa
↧
"HAKUNA MFANYABIASHARA MKUBWA NCHINI ALIYEFANIKIWA BILA KUTOA RUSHWA SERIKALINI"....REGINALD MENGI
↧