Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

VIDEO YA MAPOKEZI YA WANAJESHI WETU WALIOFARIKI HUKO SUDANI

$
0
0
Vilio majonzi na simanzi vimetawala katika uwanja wa kimataifa wa mwalimu Julias Kambarage Nyerere wakati ndege yenye namba B 737-400 iliyobeba miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha nchini sudan ilipokuwa ikikanyaga katika ardhi ya tanzania tayari kupokelewa na ndugu jamaa na marafiki.  <!-- adsense -->

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>