Miili ya wanajeshi saba mashujaa wa Tanzania waliofariki wakiwa kazini
wakitekeleza ulinzi wa amani wa kimataifa katika mkoa wa Darfur nchini
Sudan, imewasili leo kwa ndege maalumu ya Umoja wa Mataifa.Kaimu
Mkurugenzi wa habari wa JWTZ, Meja Joseph Masanja amesema miili hiyo
imewasili leo Jumamosi majira ya saa 9.45 alasiri katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa JNIA na imehifadhiwa
↧