Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE AMWAGIWA TINDIKALI

$
0
0
Taarifa za awali zinadai kwamba Mfanyabiashara Said Mohamed Saad ambaye ni Mmiliki wa Home Shopping Centre (Dar), amwagiwa tindikali  saa mbili  ya usiku  huu maeneo ya Msasani City Mall .... Taarifa  hizo  zinadai  kwamba  mtuhumiwa  aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio  <!--

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>