UGONJWA wa kipindupindu, umeingia katika wilaya ya Kyela na kuua watu wawili na 39 wakiwa wamelazwa.Taarifa
zinasema ugonjwa huo umeibuka wilayani humo wiki iliyopita ukisadikika
kuanzia katika Kijiji cha Ngonga na kisha kusambaa hadi Kilwa.Kutokana
na hofu ya kupata maambukizi kwa wananchi wengine, serikali imepiga
marufuku mikusanyiko ikiwemo ya harusi, kipaimara, ngoma, michezo na
↧