Baada ya kuonya wananchi
wanaotumia dawa za tiba mbadala ambazo hazijathibitishwa, Mamlaka ya
Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), sasa inawataka wananchi kuacha kutumia
mafuta ya ubuyu kwa kunywa kama dawa.
Akizungumza
juzi katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam,
msemaji wa TFDA, Gaudensia Simwanza, alisema Mamlaka hiyo ilipima na
kubaini mafuta hayo yana
↧