MWANAFUNZI wa Chuo cha Ufundi (VETA), mkoani Dodoma, Taliki
Juma (22), amefariki dunia baada ya kujilipua kwa mafuta ya petroli.
Mbali na mwanafunzi huyo kufariki, watu wengine wanane waliokuwa karibu
na moto huo nao walijeruhiwa vibaya.
Kwa mujibu wa
taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma na kusainiwa na
Kamanda wa Polisi wa mkoa, David Misime, tukio hilo lilitokea
↧