Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akipongezwa na kiongozi wa Sunni al
Jamaa Afrika Mashariki, Shariff Hussein al Badawi kwa kumvika joho la
kilemba baada ya kufanikisha harambee kwa ajili ya Kituo cha Redio
Ikra kinachomilikiwa na Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa
Mwanza.
Anayeshuhudia ni Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Sheikh Salum Hassan
Fereji.
Katika harambee hiyo zaidi
↧
LOWASSA APONGEZWA NA BAKWATA KWA KUVISHWA JOHO MAALUMU.....MILIONI 590 ZACHANGISHWA KATIKA HARAMBEE
↧