Mwigizaji wa filamu, Amamnda Poshi amewatolea uvivu wanaomponda kwa kuvaa nguo fupi huko Instagram.
Amanda amewataka mashabiki wake kuachana na maisha yake binafsi kwa madai kuwa kama maisha yake yanategemea kujiuza kingono basi wamwache maana anayoiuza ni Papu**chi yake mwenyewe na hajaazima kwa mtu.
Huu ni ujumbe wake alioundika:
“Instagrameee
↧