WABUNGE wanachama wa Chama cha Kupambana na Ukimwi (TAPAC), wiki
iliyopita walikutana na kujadiliana mambo mbalimbali na mashoga katika
mkutano wa mwaka wa chama hicho uliofanyika kwa muda wa siku tatu mjini Dodoma. Katika mkutano huo, baadhi ya wabunge walionyesha wasiwasi wa
taifa kupata rais shoga katika miaka ijayo kutokana na ongezeko la
mashoga hapa nchini.
Mbali na wasiwasi
↧