WAKATI
vifo vikizidi kuwatafuna wasanii, staa wa sinema za Kibongo, Aunt
Ezekiel amefunguka na kudai kuwa hawezi kuishi miaka mingi na atakufa mapema kuliko watu wanavyodhani.
Aunt
Ezekiel alifunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori na mwandishi wetu jijini Dar ambapo alibainisha kuwa
akijitazama mustakabali wa maisha yake basi anaona kabisa kuwa hawezi
kufikisha
↧