Mzee
Nelson Mandela ameendelea kuwa katika hali mbaya hospitalini jana baada
ya kubainika kwamba gari la wagonjwa lililombeba Rais huyo wa zamani wa
Afrika Kusini kwenda hospitali limeharibika.
Gari
hilo la wagonjwa mahututi liliharibika wiki mbili zilizopita wakati
Mandela alipokuwa akikimbizwa kwenye hospitali moja mjini Pretoria, na
kumwacha 'njiapanda' kwa dakika 40.
Rais huyo
↧