Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter
Msigwa na mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba jana nusura
wachapane makonde baada ya kutupiana maneno ya kashfa, wakituhumiana
kuhusika na mlipuko wa bomu uliotokea Jumamosi iliyopita mkoani Arusha.
Tukio hilo lilitokea katika viwanja vya Hoteli ya
St Gasper nje kidogo ya mji wa
↧