Rais
Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri
kuhusu amani upendo na mshikano na kuendelea kuwajenga vijana katika
maadili mema ili taifa lisiangamie. Rais kiwete ameyasema hayo
Mkoani Morogoro katika Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu
Telesphori Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro ambapo amesema
serikali itaendela kushirikiana na kanisa katoliki
↧