MSANII wa filamu Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa
siku akifa anaamini mbali na watu wengine mazishi yake yatatawaliwa na
mashoga pamoja na watoto.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Aunty Lulu alisema
kutokana na ukweli kwamba wengi wanaompenda na ambao wamemzoea ni watoto
waliokuwa wakimsikiliza kwenye Kipindi cha Watoto Shoo kupitia Radio
One na ITV na
↧