Kina
Mama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimsindikiza Mjumbe wa Bunge
Hilo na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba
Bi. Samia Suluhu Hassan(Aliyenyanyua fomu)kurudisha fomu kwa Katibu wa
Bunge Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma.
Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Thomas Kashilila akitoa
maelekezo kwa wapambe wa mgombea Nafasi ya Makamu
↧