Rais Pierre Nkurunziza.
Rais
wa Burundi, Pierre Nkurunziza, anatarajiwa kuja nchini Agosti, kuhubiri
Injili katika mkutano mkubwa wa Injili unaoandaliwa na Baraza la
Makanisa ya Kipentekoste nchini (PCT), imefahamika.
Kwa
mujibu wa Askofu Samson Mlawi aliyezungumza na mwandishi wa habari hizi
mwishoni mwa wiki, tayari Kamati ya Maandalizi imefanya vikao kadhaa
ambavyo pamoja
↧