Muigizaji Tope Osoba amekataa kuwa na mahusiano bila ya
kukutana kimwili, na kufunguka kwamba anashangazwa na wasanii wengi wa Tanzania na Nigeria ambao wamekuwa wakiolewa na wanaume zao na kuishi nje ya nchi
kwa zaidi ya mwaka na hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kumtembelea
mwenzake.
“Ngono ni kitu cha kuburudishana kati ya wawili
wapendanao. Ngono ni nzuri. Imeumbwa ili
↧