Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mkunga –nyota : Mti Wenye Msaada Mkubwa Kwa Wanawake Wenye Tatizo La Kutobeba Ujauzito.

$
0
0
Na. Dokta   Mungwa  Kabili…..0744   000  473.
Jina  halisi  la  mti  huu  ni  MKUNGA-NYOTA  na  sio MGUNGA –NYOTA  kama  baadhi  ya  watu  wanavyo uita  kimakosa.

Unaitwa  Mkunga –Nyota  kwa  sababu  ya kuwa  na  sifa  kuu  mbili  za  kipekee  ambazo  ni  kwanza  ni   kuwa  na  uwezo  mkubwa  sana  wa  kutibu  tatizo  la kutobeba  ujauzito  lakini  pili  kuwa  na  uwezo  mkubwa  sana  wa  kuondosha  nuksi na mikosi  na  kupandisha  nyota.

Wengine  wana  uita  Mkunga-Marashi  kwa  sababu  ya  kuwa  na  sifa  ya  kutoa harufu  nzuri  sana  pindi  unapochemshwa  kwenye  maji  na  kutoa  moshi  unao  nukia  vizuri pindi  unapo  unguzwa  au  kuchomwa  moto.

Vile  vile  mti  huu hujulikana  kwa  wengine  kama   UZAZI  WA  KARIBU  kwa  sababu  ya  kutumiwa  sana  na  wanawake  wanao  taka  kuzaa  kwa  karibu  karibu.

Ni  mti  wenye  msaada  mkubwa  sana  kwa  wanawake  wenye  kusumbuliwa  na tatizo  la  kutokubeba  ujauzito.

Kama   wewe  ni  mwanamke  ambae  unasumbuliwa  na tatizo  la kutoshika  ujauzito  na  umehangaika  kutumia  tiba  mbalimbali  kwa  muda  mrefu  bila  mafanikio  basi  nakushauri  ujaribu  kutumia  tiba  ya  mti  huu  na  Inshaalah  utabeba  ujauzito  bila wasi  wasi  wowote.

Katibu  kutibu  tatizo  la  kutobeba  ujauzito , mti  wa  Mkunga  Nyota  una  msaada  mkubwa  sana  katika kufungua  na  kusafisha  njia  ya  kizazi  pamoja  na  kurutubisha  mayai  ya  uzazi.

Wakunga  wa  jadi  katika  maeneo  mbalimbali  vijijini  wanautumia  mti  wa  Mkunga-Nyota  kuwakinga  wanawake  wajawazito  dhidi  ya  tatizo  la  kushikwa  na  uchungu  kwa  muda  mrefu  pamoja  na  kuzuia  tatizo  la  kiunga  mwana  kutoka  nje  kabla  mtoto  hajazaliwa  wakati  wa  kujifungua.

Vile  vile  wakunga  wa  jadi  huutumia  mti  wa  Mkunga – Nyota  kuwakinga  wanawake  wajawazito  dhidi  ya  tatizo  la  mtoto  kulalia  upande  katikati  ya  njia  ya  kizazi bila  kukaa  wima jambo  ambalo  haliwezi  kuruhusu  mtoto  kuzaliwa  kwa  njia  ya  kawaida  na  hivyo  kuondosha  ulazima   wa mwanamke    kujifungua   kwa  njia  ya  operesheni.

Mti  wa  Mkunga –Nyota   pia ni  msaada  mkubwa  sana  kwa  wanawake  wenye  tatizo la kutokwa na  uvimbe  wa  tumboni  ( fibroid ). Mti  huu  huyeyusha  na  kuondosha  kabisa  uvimbe  wa  tumboni bila  kujalisha  uvimbe  huo  ni  mkubwa  kwa  kiasi gani .

Katika  kuyeyusha  uvimbe  wa  tumboni  mti  wa  Mkunga  -  Nyota  unafanya  kazi  kwa  ufanisi  mkubwa  kuliko  mizizi  ya  mpamba  pori  ambayo imekuwa ikitumiwa  na  wengi  katika  kujitibu  tatizo  la  kutokwa  na  uvimbe  tumboni.

Mizizi  ya  mpamba  pori  huyeyusha  fibroid  kwa  muda tu na  badae  uvimbe  huo  hurudi  tena  kwa  kasi  ya  ajabu  na  kusababisha  mgonjwa  kulazimika  kutumia  tena  dawa  na  hivyo  kufanya  maisha  yake yote  yawe  ni  ya  kutumia  dawa  kila  baada  ya  kipindi  Fulani.

Mti  wa  Mkunga  Nyota  unaondoa  uvimbe  wa  tumboni  moja  kwa  moja . Uvimbe  ukisha yeyuka  basi  haurudi  tena.

 Vile  vile   mti  wa  Mkunga  Nyota  hutoa  msaada  mkubwa  sana  kwa  wanawake  wenye  tatizo la kuchoropokwa  mimba .

Kama  wewe  ni  mwanamke  ambae  umekuwa  ukisumbuliwa  na  tatizo  la  kuchoropoka  mimba  na  umejaribu  kutumia  tiba  nyingi  kwa  muda  mrefu  bila  mafanikio  yoyote  maana  yake  ni kwamba  haujawahi  kutumia  mti  wa  Mkunga  Nyota  kwa sababu  mti  wa  Mkunga  Nyota  hutibu  na kuondosha  kabisa  tatizo  la  mimba  kutoka  kabla  ya wakati  wake.

Hata  wale  wanao tumia  zindiko  la  nge  katika  kujikinga na  tatizo  la  kuchoropoka  mimba  huwa wanatumia  mti   huu  wa  Mkunga  Nyota  pamoja  na  nge.

Huwa  anachukuliwa  nge  jike   anaunguzwa   pamoja  na  mti  wa  Mkunga  Nyota  hadi  vyote  viwe  majivu  halafu  mwanamke aliye  beba  mimba  ana  chanjwa  na  kupakwa  kiuoni  kulia  na  kushoto, basi  ujauzito  hauwezi kuchoropoka  hata  kama  alitegwa  kwa  uchawi  wa kinyonga.

Labda  kwa  ufafanuzi  hapo, nge  ni  miongoni  mwa  viumbe  wachache  wa Mwenyezi  Mungu  ambao  wamepewa   karama  ya  kutosumbuliwa  na  tatizo  la  mimba  kutoka .

Nge  akibeba  ujauzito  ni lazima  azae . Mimba haiwezi   kutoka  kwa  namna  yoyote  ile  wala  hawezi  kupatwa  na  tatizo  lolote  lile wakati  wa  kuzaa.

Nguvu  hii  ya  kiroho  ya  nge  ndio  inayo  unganishwa  na  nguvu  ya  kiroho  ya  mti  wa  Mkunga  Nyota  kumkinga  mwanamke  aliye  beba  ujauzito  usichoropoke.

Uchawi  huu  husimamishwa  kwa damu  ya  kasuku  au  kunguru  kwa  sababu  hao  ndio  wanyama  ambao  damu  zao  hutumika  kama  lango  la  kuunganisha  nguvu  kati  ya  wanadamu  na  wanyama.

Uchawi  wa  kinyonga  kwa  wajawazito  hutumika ili kutengeneza  umauti  na  matatizo  kwa  mwanamke  mjamzito  wakati  wa  kujifungua.

Huwa  inanuiziwa  afe mama  wakati  wa  kujifuungua  au  wafe  wote  mama  na  mtoto . Mtoto  anaweza  kupona  lakini  mama  huwa  ni  lazima  afe.

Kutengeneza uchawi  huo  wachawi  humchukua  kinyonga  aliye  pasuka  tumbo  na  kufa  baada  ya  kuzaa . ( Kwa  wasio  jua , kuna  aina  ya  vinyonga  ambao  hupasuka  tumbo  na  kufa  wakati  wa  kujifunga.    Vinyonga  hawa  huwa  hawakutani  na  watoto  wao. .Vinyonga  hawa  hubadilishana  kifo kwa  uhai  wa  watoto  wao  )

Pia  hutafutwa  kondoo  mjamzito  halafu  huchinjwa  na  kupasuliwa  tumbo  kisha  mtoto  wa  kondoo  alie  tumboni  ambae  bado  anakuwa  anapumua  wakati  huo  huuwawa  kwa  kisu  na  baadae  hukaushwa  na  kuchanganywa  na  madawa  mengine  ya  kichawi  pamoja  na  Yule  kinyonga  halafu  uchawi  huo  unaenda  kutegwa  kwenye  njia  anayo tumia  kupita  mwanamke  alie  kusudiwa  au  kama  yupo  mbali  hutegwa  njia  panda  nne  na  kutumwa  kwa  mhusika.

Basi  mhusika  lazima  atakufa  wakati  wa  kujifungua .

Mti  huu  wenye  maajabu  hutumika  pamoja  na  yai la  kuku  wa  kienyeji  katika  kujua  kama  mwanamke  mjamzito   atajifungua  salama  au atajifungua  kwa  matatizo  na  kama  ikionekana  kuwa mwanamke  huyo  ata jifungua  kwa matatizo   basi  mti  hutumika  kubatilisha  matatizo  hayo.

Kinacho  fanyika  unachukuliwa  mti  wa  Mkunga  Nyota  na  kusagwa  upatikane  unga  wake  kisha  unachanganywa na  zaafarani  ya  njano , asali  kijiko  kimoja  na mafuta  ya  zeituni  kijiko kimoja, halafu  linachukuliwa  yai  jeupe  la  kuku  wa  kienyeji, linafanyiwa  duwa  maalumu  na  kuchorwa  alama  maalumu  kwa  juu  kwa  kutumia  unga wa mti wa  Mkunga  Nyota  ulio  changanywa na  zaafarani ya  unga ya  rangi  ya  njano, asali  na  mafuta  ya  zeituni,  kisha  yai  hilo  linawekwa  na  kuzungushwa  tumboni  mwa  mwanamke  mjamzito  kwa  dua  maalamu   halafu  baadae  linapasuliwa  kwenye  chungu  au  kigae  kilichotumika   na kila  kita  onekana  ndani  ya  chungu  hicho.

Yai likiwa  jeupe  na  ute wa  njano  basi  ni  ishara  kuwa  mwanamke  huyo  atajifungua  salama  salimini  bila  tatizo lolote.

Ikitokea  alama  ya  damu  kama  ni  alama  moja  kama  vile  kidoa  kimoja au  kimstari  kimoja  basi  eidha  mama  au  mtoto  atafariki  wakati  wa  kuifungua, vikitokea  viwili  basi  mama  na  mtoto  wote  watafariki.

Ishara  ni  nyingi  sana  na  tafsiri  zake  ni  nyingi  sana.  Kwa  kutumia  mti  huu  huu  na  yai  unaweza  kugundua  jinsia  ya  mtoto  au  kama  ni  mapacha  watoto  watakao  zaliwa.

Kama  nilivyo  tangulia  kusema  hapo  juu  kuwa  mti  huu  pia  hutumika  katika  kuondosha  mikosi  na kupandisha  nyota.

 Na  katika  kupandisha  nyota  mti  unatajwa  kama  miti  iliyo  katika  daraja  la  juu  kabisa na  wenye  uwezo  mkubwa  sana  wa  kuondosha  nuksi, mikosi  na  kupandisha  nyota.

Katika  kupandisha  nyota  mti  huu  unatumika  kwa  kuogea  , kuchanja, kupaka  au  kufukiza.

 Vile  vile  mti  huu unaingia  kwenye  nyungu  za  aina  zote. Kuanzia  nyunga  ya  mti  mmoja, nyungu  ya  miti  7, nyungu  ya  miti 12, nyungu  ya  miti  40, hadi  nyungu  ya  miti  77.

Katika  makala  zangu  zijazo  nitaelezea  kuhusu  namna  mti  wa  Mkunga  Nyota  unavyo  tumika  katika  kuondosha  mikosi  mwilini  na  kupandisha  nyota.

MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  DOKTA. MUNGWA  KABILI. ANAPATIKANA  KWA  SIMU  NAMBA : 0744  000  473.  BLOGU:  www.mungwakabhili.blogspot.com

Korea Kaskazini Yasisitiza Ipo Tayari Kwa Mazungumzo na Marekani

$
0
0
Ni nia ya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa mkutano kati yake na Rais wa Marekani Donald Trump uendelee, imeeleza taarifa ya vyombo vya habari vya Korea Kaskazini.

Hii ni kutokana na mkutano wa kushtukiza wa siku ya Jumamosi kati ya Kim na Rais wa Korea Kusini, Moon Jae-in.

Rais Trump alisitisha mkutano uliopangwa kufanyika tarehe 12 mwezi Juni kuzungumzia mpango wa nuklia wa Korea Kaskazini, lakini alisema Jumamosi kuwa mambo yanaendelea vizuri sana

Wakati huo huo ujumbe wa Marekani uliripotiwa kwenda Korea Kaskazini siku ya Jumapili.

Balozi wa zamani wa Marekani nchini Korea Kusini, Sung Kim, atafanya mazungumzo na naibu waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini kuhusu maandalizi ya mkutano, vyombo vya habari vya Marekani na Korea Kusini vimeeleza.

Mkutano huo ni matunda ya jitihada za kidiplomasia ambazo zilianza mwaka huu kujaribu kuondoa hali ya msuguano uliohofiwa kugeuka kuwa makabiliano ya kijeshi kati ya Korea Kaskazini, Korea Kusini, na Marekani.

Credit:BBC

Baada Ya Diamond, Lynn Ahamishia Majeshi Yake Kwa Chris Brown

$
0
0
Video vixen Irene Hillary maarufu kama Lynn aliyejizolea umaarufu Kupitia video ya Rayvanny ya wimbo wa ‘Kwetu’ amefunguka kuhusu mahaba mazito kwa supastaa wa kimataifa

Lynn alipata umaarufu baada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz hadi kubeba mimba yake.

Lakini hivi sasa Lynn ameweka wazi kuwa mapenzi yake yote yamehamia kwa staa wa Muziki kutoka Marekani Chris Brown na kusema Staa Huyo anamkosesha usingizi akimuwaza.

Kwenye mahojiano na Risasi Jumamosi, Lynn alisema kuwa ametokea kumpenda sana mwanamuziki huyo kiasi ambacho haelewi atafanyaje ila anaomba katika maisha yake siku moja akutane naye, amueleze hisia zake.

“Hivi ulishawahi kumpenda mtu mpaka ukawa huelewi sababu? Sasa ndio mimi nilivyo kwa Chris, naamini siku nitaonana naye na kama ikitokea hivyo kwa kweli nitamfikishia hisia zangu, kama atakubali au kukataa, niwe tu nimemuambia, naamini nitakuwa na amani”.

Bingwa Wa Magonjwa Yote Sugu Yanayosumbua Kama Vile Pumu, Vidonda Vya Tumbo, Busha, Nguvu Za Kiume, Kisukari,

$
0
0
BABU MADUHU NI BINGWA WA MAGONJWA YOTE SUGU YANAYOSUMBUA KAMA VILE PUMU, VIDONDA VYA TUMBO, BUSHA, NGUVU ZA KIUME, KISUKARI, MIVUTO YOTE, KUSAFISHA NYOTA, KURUDISHA MALI, NK.

Tatizo la upungufu ukosefu wa nguvu za kiume, maumbile madogo ya uume limekuwa kubwa kwa lika zote hapa duniani

Matatizo hayo sio mageni kigeni ni ile tiba sahihi yakutibu na kuponya haya.chanzo cha hayo matatizo ni:

KISUKARI, NGIRI,CHANGO, TUMBO KUUNGURUMA NA KUJAA GESI, KIUNO KUUMA, MAUMIVU YA MGONGO,MAGONJWA YA ZINAA, KORODANI KUVIMBANAKUUMA,VIDONDA VYA TUMBO, NK.

Tiba sahihi nabora ya tatizo la nguvu zakiume ni NYASOSE MIX, Nidawa ya vidonge asilia vilivyotengenezwa kwa kiwango bora na salama kwa ajili yakutibu mojakwamoja tatizo la nguvu za kiume maradufu

1. MKEBE NO.1 Hutibu nguvu za kiume mda mfupi sana kati ya umri wa miaka 18-85 naitakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dk 20 hadi 40 tendo la kwanza bila kuchoka naitakufanya uwe na hamu ya kuendelea na tendo la ndoa zaidi ya mara 5 bila hamu kuisha.

MHESHA POWER
MKEBE NO 2 ni dawa ya kuboresha maumbile ya kiume kwa kunenepesha na kurefusha kwa saizi uipendayo inchi 6,7 hadi 8 kwa mda mfupi sana.dawa hizi huanza kufanya kazi kwa mda wa dk 67 ukisha tumia guarantee miaka 55 ikishakutibu.

Pia tunatibu,

KISUKARI, PRESHA, UZAZI, NGIRI, PUMU,MALARIA SUGU, VIDONDA VYA TUMBO, CHANGO AINA ZOTE, BP, BUSHA BILA UPASUAJI NK.

ITINYA,
Nidawa ya mvuto wa biashara,kazi,hupandisha cheo humfanya mfanyakazi apendwe na mwajiri wake, humvuta mme,mke,hawara,mchumba,unaemhitaji au hakutaki hatimizi ahadi zako kwa dhati utampata kwa mda wa dk 45 tu naatatulia milele nakumfunga asitoke inje ya ndoa pia ana pete za bahati ambazo zimetajilisha wengi.

SUPER POWER,
Nidawa ya yakupunguza matiti,unene tumbo,kitambi kwa akina baba,hutoa mafuta mabaya mwilini,makovu sehemu mbalimbali mwilini,chunusi sugu,minyama uzembe,michirizi mwilini,nakuongeza makalio hips,mguu wa bia nk.

BABU MADUHU ANAPATIKANA MAGOMENI MOROCCO HOTEL/KANISANI

SIMU NO 0652 102 152/0755 684 297/0788 330 105.

HUDUMA HII UNAWEZA KUIPATA/KULETEWA MAHALI POPOTE NCHINI

ACT Wazalendo Wahoji Matumizi Fedha Za Korosho

$
0
0
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupeleka haraka asilimia 65 ya fedha za mauzo ya nje ya korosho ghafi kwa Bodi ya Korosho ili zitumike kama zilivyokusudiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano ya Umma wa chama hicho, Ado Shaibu, alisema kutokupeleka fedha hizo kutasababisha gharama za uzalishaji kwa wakulima kuongezeka kutokana na ununuaji wa pembejeo kutegemea kwa asilimia 100 katika fedha hizo.

Alisema jambo hilo lilitokea mwaka jana kupanda kwa dawa aina ya salfa (Sulphur) katika maeneo mengi kutoka Sh 16,000 hadi kufika Sh 70,000.

“Kwa mujibu wa sheria ya korosho namba 18 ya mwaka 2009 kifungu 17(A), inaitaka Serikali kuingiza fedha hizo Bodi ya Korosho lakini fedha hizo hazijapelekwa kwa miaka miwili sasa,” alisema Shaibu.

Alisema hata hivyo kwa mujibu wa taarifa ya Bodi ya Korosho iliyotolewa na kamati ya Bunge ya Maji, Kilimo na Mifugo kwa misimu miwili ya mauzo ya korosho, bodi haijapokea fedha hizo na hivyo kuleta athari mbalimbali katika kilimo hicho.

Aliongeza kuwa taarifa hiyo inadai kuwa Bodi ya Korosho haijapokea Sh bilioni 211 ambapo kwa mwaka wa fedha wa 2016/17 wanadai Sh bilioni 91 na 2017/18 wanadai Sh bilioni 110.

“Kutopeleka fedha hizi kutaathiri Kituo cha Utafiti cha Naliendele kinachozalisha mbegu bora za korosho na dawa za kudhibiti magonjwa ambacho kinategemea fedha hizo kwa asilimia 90 kujiendesha kitashindwa kufanya kazi zake kwa ufanisi,” alisema Shaibu.

Aliongeza kuwa athari nyingine ni kuvurugika kwa mfumo wa stakabadhi ghalani kwa sababu ya usimamizi wa mfuko huo kutegemea fedha hizo kwa asilimia 100.

“Mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima na maofisa ugani yamesimama kwa sasa kutokana na kukosekana kwa fedha hizo,” alisema Shaibu.

Alisema wanamwomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kulitolea ufafanuzi suala hili ili kuondoa mkanganyiko unaojitokeza.

Akizungumzia kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama hicho, Shaibu, alisema umefikia hatua ya majimbo na kitaifa utafanyika Agosti 25 hadi 27, mwaka huu jijini Mbeya.

Alisema chama hicho kinapinga kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga, aliyoitoa hivi karibuni bungeni kuwa suala la uanachama wa Sahara Magharibi lina utata wa kisheria katika Umoja wa Afrika na katika duru za kimataifa.

“Tunapinga kauli hii kwa kuwa Tanzania tumekuwa mstari wa mbele kuwasaidia kupata uhuru wa Sahara Magharibi chini ya chama cha ukombozi cha Polisalio,” alisema Shaibu.

Akizungumza hivi karibuni, Waziri Mahiga, alisema Polisalio ni chama cha ukombozi kilichopewa hadhi ya Serikali na uanachama wa Umoja wa Afrika tangu 1982, lakini suala hilo limeanza kuleta utata kisheria.

Vilio Vyatawala Bungeni....Bunge Laahirishwa Hadi Kesho

$
0
0
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo asubuhi ameahirisha Bunge mpaka kesho saa tatu asubuhi kupisha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Mwl. Kasuku Bilago aliyefariki siku ya Jumamosi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

 Vilio na simanzi vilitawala katika ukumbi wa Bunge kutokana na kifo hicho cha Mbunge huyo wa Chadema aliyefariki dunia Jumamosi Mei 26. 

“Waheshimiwa wabunge, Spika wa Bunge mheshimiwa Job Ndugai  anasikitika kuwatangazia kifo cha mbunge wa Buyungu, Kasuku Bilago kilichotokea juzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kwa mujibu wa kanuni zetu, leo shughuli za Bunge hazita endelea na badala yake tutakuwa na maombolezo,” amesema Naibu Spika.

Wakati Naibu Spika Ackson akitoa taarifa za msiba na kuahirisha Bunge, wabunge Julius Kalanga (Monduli), Suzan Kiwanga (Mlimba), Halima Mdee (Kawe) na Dk Semesi Sware (Viti Maalum ) wote wa Chadema walikuwa wakilia.

Mbunge wa Bunda, Ester Bulaya (Chadema) alishindwa kabisa kujizuia na wabunge walilazimika kumpa usaidizi.

Naibu Spika Dkt. Tulia amesema kuwa Wabunge watakao kwenda kuwakilisha kwenye mazishi hayo wataondoka Dodoma siku ya Jumanne asubuhi na kurejea Dodoma Jumatano mara baada ya mazishi hayo kumalizika.

Pamoja na hayo, Naibu Spika ameendelea kwa kusema "siku ya kesho tutakuwa na kikao cha Bunge kama kawaida isipokuwa tutahairisha Bunge saa sita mchana ili kutoa fursa kwa shughuli za heshima za mwisho kwa mwili wa marehumu Bilago na baada ya hapo tutaendelea na maombelezo hadi siku ya Jumatano".

Uwoya Aelezea Jinsi Mwezi Mtukufu Unavyodumisha Penzi Lake na Dogo Janja

$
0
0
Mwanadada Irene Uwoya na mume wake Dogo Janja amabao kila siku hawaishiwi na drama katika  mitandao wanakuja tena kivingine na kuelezea jinsi mwezi mtukufu wa Ramadhani unavyodumisha mahusiano katika ndoa yao.

Irene anasema kuwa akiwa kama mke halali wa Abdul (janjaro) anahaki zote za kukaa na kutulia kipindi hiki cha ramadhan na kumpikia mume wake  kwa sababu hicho ni kitu alichozoea hata katika ndoa yake iliyopita.
 
"Kuhusu kufunga kwa upande wangu nilishazoea kwa sababu hata siku za nyuma za ramadhani nilikuwa nikifanya hivyo hivyo nilipokuwa na Ndiku na kwa sababu sasa hiv mimi ni mke halali kabisa wa Abdul basi nina haki ya kutulia na kumpikia mume wangu futari."-Uwoya

Rais Na Mwenyekiti Wa CCM Dr Magufuli Aongonza Mkutano Wa Halmashauri Kuu Ya Taifa (NEC) Ya CCM Jijini Dar Es Salaam Leo

$
0
0
Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa meza kuu katika Ukumbi wa mikutano wa Kikwete katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ukumbi wa Kikwete leo Jumatatu Mei 28, 2018  

Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakati akisoma muhtasari wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Katika ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018
Wajumbe wakishangilia baada ya  Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli kuwaita  Ndg. Mizengo Pinda na Ndg. Makongoro Nyerere waingie ukumbini baada ya kukubaliwa kuwa wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018

Picha: Wabunge wakisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Mh. Bilago.

$
0
0
Baadhi ya Wabunge wakisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Kasuku Bilago.

Awali mapema leo Naibu Spika, Tulia Akson aliahirisha Bunge kutokana na Msiba huo, Mh. Bilago alifariki May 26, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.

Dr. Helen Kijo-Bisimba Ang'atika LHRC....Bi. Anna Henga Achukua Mikoba Yake

$
0
0
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imemtangaza Bi. Anna Henga kuwa Mkurugenzi mpya wa kituo hicho ambapo atapokea mikoba ya Mkurugenzi wake wa muda mrefu, Dr. Helen Kijo-Bisimba.

Uteuzi wa Bi. Henga ni matokeo ya mchakato wa ndani wa muda mrefu uliotekelezwa na bodi ya Wakurugenzi ya kituo hicho kutoka mwanzoni mwa mwaka 2017.

Katika taarifa iliyotolewa leo na Kituo hicho imeeleaa kuwa uteuzi wa Bi. Henga unatarajiwa kuanza Julai 1 mwaka huu..

Awali Bi. Henga alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu

Mbowe asimulia maneno ya mwisho ya marehemu Bilago

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ameeleza maneno ya mwisho aliyoambiwa na marehemu Kasuku Bilago aliyekuwa Mbunge wa Buyungu mkoani Kigoma, ambapo alimwambia anahitaji msaada wa haraka wa matibabu.

Akizungumza katika ibada fupi ya kuuaga mwili wa marehemu Bilago, Mbowe amesema wakati alipokuwa nje ya nchi, nchini Afrika Kusini Bilago alimtumia ujumbe kwamba hali yake kiafya si nzuri hivyo anahitaji msaada.

“Nilipokuwa safarini nchini Afrika Kusini, mwalimu Bilago aliniambia ninaumwa hivyo naomba ushauri, nikawasiliana na bunge kuhusu taarifa yake ndipo walipomuamishia muhimbilli.Mwalimu aliliona hilo kwamba alikuwa anahitaji msaada wa haraka wa matibabu na kunitumia ujumbe nikiwa Afrika Kusini,” amesema Mbowe na kuongeza;

“Ndipo nilifunga safari Ijumaa, Jumamosi nilienda Muhimbili, nilimkuta hali yake imebadilika ghafla akakata kauli, nikaonana na madaktari ili wafanye juhudi za makusudi lakini walijaribu kwa muda wa nusu saa lakini ilishindikana, mwenzetu alikuwa ashatutoka na kutangulia mbele ya haki.”

Kijana wa Mali aliyemuokoa mtoto ghorofani akutana na Rais, apewa uraia na kazi serikalini

$
0
0
Mhamiaji kutoka Mali amepewa sifa na kutunukiwa uraia wa Ufaransa baada ya kufanya tendo la kishujaa kwa kumuokoa mtoto mdogo aliyekuwa ananing’inia kwenye kibaraza cha ghorofa ya nne katika jengo refu jijini Paris.

Mamoudou Gassama, mwenye umri wa miaka 22 alipanda jengo hilo refu bila kutumia vifaa vyovyote huku akishangiliwa na watu waliokuwa wamekusanyika nje ya jengo hilo, hadi kufanikisha kumfikia mtoto huyo wa kiume mwenye umri wa miaka minne.

Kitendo hicho cha kishujaa kilichofananishwa na ushujaa uliwahi kuoneshwa na ‘Spiderman’, uliteka mitandao ya kijamii huku video yake ikivuta hisia za wengi waliotaka atunukiwe uraia na maisha bora kwa kujitoa kuokoa maisha.

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron alimualika kijana huyo Ikulu na kuzungumza naye, kisha akampa cheti maalum cha kutambua ushujaa wake na kuamuru apewe uraia wa Ufaransa baada ya kusikia jinsi alivyohangaika kuingia nchini humo.

Lakini pia Rais Macron amempatia kazi Mamoudou katika jeshi la zima moto la Ufaransa, pia amemtunukia medali ya kipekee ya ushujaa kijana huyo na kuwataka raia wote kuiga mfano wake.

Katika mazungumzo yake na Rais Macron, Gassama ambaye aliingia nchini Ufaransa kwa mahangaiko akitumia usafiri wa boti ndogo kutoka nchini Mali kupitia bahari ya Mediterranean na nchini Italia, alisema kuwa aliwaona watu wakiwa wamezunguka eneo la jengo hilo wakimshangaa mtoto aliyekuwa analia juu ya jengo akihitaji msaada na ndipo alisikia amepata ujasiri wa kupanda jengo hilo kwa mikono mitupu.

Tukio hilo lililobadili maisha ya kijana huyo wa Ghana lilitokea Jumamosi jioni katika mitaa ya kaskazini mwa jiji la Paris.

“Nilipowaona watu wamezunguka wanashangaa, sikuwa na muda wa kufikiria, nilikimbia nikavuka barabara kwenda kumuokoa mtoto,” alimwambia Rais Macron.

“Nilipanda jengo, namshukuru Mungu, Mungu alinisaidia. Kadiri nilivyozidi kupanda nilipata ujasiri wa kupanda zaidi, ilikuwa hivyo,” aliongeza.

Alisema kuwa alipomfikia mtoto alibaini kuwa tayari mtoto alikuwa na jeraha kwenye mguu wake.

Kikosi cha zima moto na uokoaji kilipowasili kilibaini kuwa tayari mtoto alikuwa ameshaokolewa na msamalia mwema na Mkurugenzi wa kikosi hicho hakusita kutoa pongezi zake kwa muokoaji.

Baba wa mtoto huyo anashikiliwa na anahojiwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumuacha mtoto mdogo nyumbani bila muangalizi. Mama wa mtoto huyo ameripotiwa kuwa hakuwa jijini humo.

Breaking News: Kinana ang'atuka nafasi ya Ukatibu Mkuu CCM ....Tazama Hapa Majina ya Waliochaguliwa NEC Ya CCM

$
0
0
Katibu mkuu Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameng'atuka nafasi yake aliyokuwa akiishika ndani ya chama hicho na CCM wameridhia ombi hilo rasmi.

Hayo yamewekwa wazi na taarifa zilizotolewa na Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole leo Mei 29, 2018 na kusema kwa pamoja wamemtakia mafanikio mema katika shughuli zake.

"Napenda kumshukuru ndugu Kinana kwa utumishi wake katika Chama cha Mapinduzi (CCM) na CCM itaendeleaq kutumia uzoefu wake katika majukumu mbalimbali ya chama kwa kadiri itakavyohitajika", imesema taarifa hiyo.

Kwa upande mwingine, Kinana wakati anatoa neno lake la kuwaaga wajumbe wa NEC amewasisitizia wajumbe hao na wana CCM kiujumla kudumisha umoja wa wanachama na chama cha mapinduzi (CCM).

Kagera: Mke Amuua Mume Wake Kisa Wivu wa Mapenzi

$
0
0
Victoria Salvatory (58), mkazi wa kata ya Katoma, Kagera anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mumewe, Salvatory Iteganira (62) kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kagera, Augustino Ollomi amesema mauaji hayo yalitokea jana saa 6:00 mchana.

Akizungumza leo Mei 28, Kamanda Ollomi amesema mtuhumiwa anadaiwa kumpiga mumewe kwa kitu kizito kichwani na kumsababishia jeraha lililovuja damu nyingi na hatimaye kifo.

“Wanandoa hao wanadaiwa kuwa na ugomvi ambao chanzo chake tunaendelea kuchunguza; baada ya ugomvi huo mtuhumiwa alimpiga mume wake kichwani kwa kitu kizito kilichosababisha jeraha lililovuja damu nyingi na kusababisha kifo chake,” amesema Ollomi.

Kamanda huyo amewaasa wanandoa na wapenzi kutumia njia ya majadiliano, usuluhishi na sheria kutatua tofauti miongoni mwao badala ya kujichukulia sheria mikononi.

Ofisa Utumishi Mkuu Wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Atoa Ushahidi Mahakamani Dhidi ya Mtumishi Wao Anayedaiwa Kumiliki Mali Nyingi

$
0
0
Ofisa Utumishi Mkuu Wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Evans Emil ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Ofisa Msaidizi wa Forodha wa TRA Jennifer Mushi anayedaiwa kumiliki magari 19 yasiyolingana na kipato chake anamiliki baadhi ya mali asilimia 50 kwa 50 na familia yake.

Emil ambaye ni shahidi wa kwanza katika kesi hiyo ameyaeleza hayo wakati akijibu maswali ya wakili wa serikali Pius Hilla mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri.

Katika ushahidi huo Emil amedai kuwa July Mosi, 2011 Jennifer alipewa ajira na kupatiwa fomu mbalimbali ajaze ikiwamo fomu ya Tamko ya Rasilimali na madeni. Katika fomu hiyo ya rasilimali March 30,2012 imeonyesha Jennifer anamiliki fedha taslimu Sh.Laki 6 zilizopo katika benki na taasisi za fedha Sh 800,000.

Pia alikuwa na Hisa na gawio la thamani ya Sh.Laki 6, anamiliki nyumba Kinyerezi Kichangani ya Sh.Mil 30 ambapo anamiliki asilimia 50 kwa 50 baina yake na mumewe, vilevile anamiliki shamba la Heka 1 Mabwepande lenye thamani ya Sh.Laki 7, ambapo anamiliki asilimia 50 kwa 50 baina yake na mumewe.

Pia anamiliki Kiwanja Heka 1 Kigamboni thamani yake ni Sh.Mil 9 ambapo umiliki wake wake asilimia 50 kwa 50 na mumewe Pia anamiliki gari aina ya Van T 884 BNU thamani Sh.Mil 8 umiliki wake asilimia 50 na mume asilimia 50.

Katika fomu ya tamko ya rasilimali na madeni ya February 20, 2013 alikuwa na fedha taslimu Sh. Laki 8 pamoja fedha zilizopo taasisi za fedha ni Sh.Mil 1, nyumba Kinyerezi thamani ya Sh.Mil 35 ambapo umiliki wake ni asilimia 50 kwa 50 na mumewe.

Pia anamiliki Kiwanja eneo la Bunju thamani ya Sh.Mil 1.7, pia kiwanja kilichopo Kigamboni thamani ya Sh.Mil 9 ambacho wanamiliki ni watoto wake.

Pia ana magari mawili aina ya RV4 moja ikiwa na thamani ya Sh.mil 8 na jingine Sh.Mil 13 ambapo umiliki wake asilimia 50 kwa 50 na mumewe.

Katika fomu ya tamko ya rasilimari na madeni ya December 11,2015 inaonyesha ana fedha taslimu benki Sh. Laki 5 na katika taasisi za fedha Sh.Mil 2.7, Pia ana kiwanja Kigamboni cha Sh.Mil 9 ambapo umiliki wake wake ni asilimia 50 kwa 50 na mumewe.

Pia ana magari mawili aina ya Toyota moja ni Sh.Mil 18 na jingine Sh.Mil 14.Pia ana Deni  la saccos ya TRA la Sh.Laki 6. Baada ya kueleza hayo, Hakimu Shaidi ameahirisha kesi hiyo hadi June 6,2018 ili kuendelea na shahidi wa pili.

Katika kesi hiyo mshtakiwa huyo anadaiwa kuwa  kati ya March 21,2016 na Juni 30,2016  jijini Dar es Salaam  akiwa mwajiriwa wa TRA kama Afisa Forodha Msaidizi alikutwa akimili magari 19 yenye thamani ya Mil.197 kinyume na kipato chake halali. Pia amekutwa akiishi maisha ya kifahari  yenye thamani ya Sh.Mil 333 fedha ambayo hailingani na Kipato chake halali.

Maneno ya Kinana Wakati Akiomba Kuachia Ukatibu Mkuu CCM Leo...." Hakuna Lenye Mwanzo Lisilo na Mwisho"

$
0
0
Aliyekuwa katibu mkuu Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema katika majukumu ya mwanadamu ni lazima kuwe na muda wa kufanyakazi na kupumzika na hakuna jambo lisilo kuwa na mwisho.

Kinana amesema hayo leo Mei 28, 2018 katika kikao cha wa halmashauri kuu Taifa CCM (NEC) katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Dar es salaam wakati wa kutangaza kustaafu nafasi ya Ukatibu Mkuu wa chama hicho na kuongeza kuwa anashukuru wanachama na viongozi wa chama hicho kwa ushirikiano kwa kipindi cha uongozi wake.

“Lazima tukubali kuna wakati wa kufanyakazi na wakupumzika, naelewa ugumu mnaoupata wa kutokunikubalia, tumekuwa na makatibu wakuu saba kwahiyo sio ajabu katibu mkuu wa sasa kuanchia ngazi ili apatikane mwingine, nashukuru mwenyekiti, makamu mwenyekiti na mzee Mangula kwa kunikubalia na kutambua kuwa kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho”, amesema Kinana.

Kinana ameongeza kuwa amepokea simu na ujumbe mwingi katika simu yake za wanachama na viongozi wa chama hicho wakimtaka kuendelea na nafasi ya ukatibu mkuu.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya May 29

Nape amuaga Kinana kwa ujumbe mzito

$
0
0
Mbunge wa Mtama, na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, Nape Nnauye amemaga na kumuahidi aliyekuwa Katibu wa chama chao, Ndg Abdulrahman Kinana aliyestaafu jana kuwa wataendelea kumuenzi na mbegu aliyopanda itaota.

Nape ametoa ahadi hiyo kwa Kinana baada ya kiongozi huyo kutangaza kustaafu nafasi hiyo na kukubaliwa na Mwenyekiti wa Chama hicho na Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.

Pamoja na hayo Nape ameweka wazi kumtambua kinana kama mwalimu uliyebadili mtazamo wetu juu ya siasa na utumishi kwa umma.

"Pumzika rafiki wa kweli, pumzika Mlezi na Mzazi usiyemfano, pumzika Kiongozi, pumzika Komredi.  Mwalimu uliyebadili mtazamo wetu juu ya siasa na utumishi kwa umma! Umepanda mbegu na itaota," 

Hizi Ndio Athari Za Kutumia Maji Ya Fatiru Katika Kuongeza Ukubwa Wa Maumbile Ya Kiume.

$
0
0
Wapo baadhi  ya  wanaume  ambao  hutumia  maji  ya  fatiru ili  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile ya  kiume.

Zoezi  hili  hufanyika  kwa  lengo  la  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  ya  kiume wakati  wa tendo  la ndoa tu.

Hata  hivyo  utumiaji  wa  maji  ya fatiru  katika  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  ya  kiume  ni  jambo  la  hatari  na  lenye  madhara  makubwa  sana  kwa  mhusika.

Licha ya  kuwa  na  madhara  makubwa, njia  hii  sio  ya  uhakika na  matokeo  yake  ni  ya  kubahatisha.

Jinsi  inavyo  kuwa, mwanaume  huchua  dhakari  yake  kwa  kutumia  maji  ya fatiru hadi atakapo  ona  kichwa  cha  dhakari  kimebadilika  na  kuwa  na  rangi  nyekundu  au  kama  anae  fanya  zoezi  hili ni  mtu  wa  ngozi  nyeupe  basi dhakari  yake  yote  itabadilika  na  kuwa  na  rangi  nyekundu.

Baada  ya  hali  hii  kutokea  mhusika  atamuingilia  mkewe  na  akisha maliza  haja  zake  basi  atalazimika  tena  kujikanda  kwa  dawa nyingine  ili  kurejesha  maumbile  yake katika hali  ya  kawaida.

Hata hivyo  njia  hii  licha  ya  kutokuwa  na  uhakika  na  yenye  kutoa matokeo  yenye  kubahatisha , ina  madhara  makubwa  sana  kwa  mhusika.

Yafuatayo  ni  madhara  ya  kutumia  maji  ya  fatiru  ili  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  ya  kiume:

1.    Kuua  mishipa  ya  uume  kwa  sababu  tendo  hili  halina  tofauti  na  tendo  la  kujichua  kwa  wanaume  na  uhusisha  matumizi  makubwa  sana  ya  nguvu  dhidi  ya  misuli  laini  ya  uume.

2.    Husababisha  kutokea  kwa  tatizo  la  kuwa  na  ganzi  kwenye  kichwa  cha  dhakari  kiasi  cha  kumfanya  mwanaume  husika  kutohisi  chochote  hata  pindi  amuingiliapo mwanamke.

3.    Husababisha  kunywea  na  kusinyaa  kwa  maumbile  ya  uume  na kuyafanya   yaonekane  kama  ya mtoto  mdogo.

4.    Kwa  ufupi  kutumia  maji  ya fatiru  kwa  ajili  ya  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  ya  kiume, husababisha  na  kutengeneza  tatizo  la  ukhanithi   kwa  mhusika.  Sio  njia  sahihi ya  kufuata.

Kwa  wale  wasio  jua  kuhusu  maji  ya  fatiru. Maji  ya  fatiru  ni   MAJI  YA  MOTO.

 NJIA  BORA  YA  KUONGEZA  MAUMBILE  YA  KIUME
Kama  wewe  ni mwanaume  ambae  una  maumbile  madogo  ya  kiume na  umejaribu kutumia  tiba  mbalimbali  bila  mafanikio  na  unataka  kuongeza  ukubwa  wa  dhakari  yako  kwa  kutumia  dawa za  asili  basi  njia  pekee  na  ya  uhakika  ni  kutumia  Ambari  Nyeupe  Orijino

Ambari  Nyeupe  orojino  inapo changanywa  na  dawa  nyinginezo  za  asili hurefusha  na  kunenepesha  maumbile  ya  kiume .

JINSI  INAVYO  TAYARISHWA :
Katika  kutayarisha  tiba  ya   kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  ya  kiume, Ambari  nyeupe  orijino  huchanganywa  na  dawa  mbalimbali  za  kiarabu.  Dawa  hizo  ni  pamoja  na  :

i.FILFIL  ABYADH  ama  PILIPILI  MTAMA NYEUPE  kwa  lugha  ya  Kiswahili.

ii.DAARU  FIL FIL  :   Hivi  vikonyo  vinavyo  chumwa  kutoka  kwenye  mti  ujulikanao   kwa  lugha  ya  kiarabu  FIL FIL  ASWAD  ama  PILIPILI  MTAMA  NYEUSI  ama  PILIPILI  MANGA.

iii.Unga  wa  mti  unaitwa  Mdalizi

iv.Kiberiti  Upele  ama  Salfa  na

v. Zubadi  za  baharini  na  mafuta  ya asili.

Hiyo  Ambari nyeupe  orijino  inasagwa  kisha  inachanganywa  na filfil abyadh  iliyosagwa, Daaru  Filfil iliyo sagwa, unga  wa  mti  wa  Mdalizi, kiberiti , Zubadi  za  baharini  zilizo  pondwa  pondwa  na  kusagwa pamoja  na  mafuta  ya asili  na  kuchemshwa  pamoja  hadi  zilainike  na kuchangamana, halafu  anapewa  mwanaume   mwenye  maumbile  madogo  ambae  anataka  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  yake ambapo  atatakiwa  kutumia  kujichua  kwenye  dhakari  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni  kwa  muda  wa  siku  ishirini  na  moja.  Ndani  ya  siku  hizo ishirini  na  moja, mhusika  anakuwa  amepata  matokeo  mazuri  sana .

Kwa  mahitaji  ya  dawa  hii  ambayo  imeshaandaliwa  na  kutayarishwa, wasiliana  na  DOKTA. MUNGWA  KABILI  kwa  SIMU  NAMBA  0744  000  473.

Mchezaji wa Lipuli, Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Simba kwa msimu ujao

$
0
0
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Lipuli FC ya Iringa, Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Klabu ya Simba kwa dau la Shilingi milioni 30.

Simba wameinyaka saini ya Salamba baada ya kuwazidi kete Yanga na Azam waliokuwa wakimuwania mchezaji huyo.

Salamba amesaini mkataba huo mbele ya Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ na baadaye kukutana na Mohamed Dewji, Bilionea anayetarajia kuwekeza ndani ya Simba kitita cha Sh bilioni 20.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>