MAWAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi na wa Maliasili na Utalii, wameonya askari wa Wanyamapori wanaojihusisha na utesaji, unyanyasaji na kujipatia fedha haramu kwa kukamata mifugo au wakulima, waache mara moja badala yake, wazingatie maadili ya kazi yao.Aidha, Serikali imetangaza kusitishwa kwa operesheni za kuwaondoa wafugaji kwenye maeneo wanayochungia mifugo ikiwemo mapori tengefu, wakati
Operesheni Kuondoa Wafugaji yasitishwa......Askari wa Wanyamapori Wanaonyanyasa Wafugaji Wapewa Onyo
↧
↧
Waziri Mkuu Kesho Kuanza Ziara Ya Kikazi Mkoani Kigoma
WAZIRI Mkuu Kassimu M Majaliw (pichani) kesho ataanza ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Kigoma.
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara hiyo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya alisema kuwa Waziri Mkuu atawasili Mkoani hapa kesho majira ya saa tatu asubuhi.
Alisema kuwa atapokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali ya Mkoa na kisha atasomewa taarifa ya
↧
Gwajima Amkana Edward Lowassa.....Adai Yeye Hakuwahi Kumuunga Mkono Wakati Wa Kampeni
Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima,Josephat Gwajima amejitokeza hadharani na kukana kwamba hakuwahi kumuunga mkono Edward Lowassa wakati wa kampeni za Urais.
Akiongea katika mahojiano maalumu na kituo cha Azam Tv, Gwajima amesema yeye hakuwahi kuwa mshirika wa Lowassa wala chama chochote, bali aliitwa jijini Arusha na Jangwan Dar es Salaam kwa ajili ya maombi tu na sivinginevyo....
↧
Rais Magufuli Akutana na Dkt. Shein Ikulu Leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu Jijini Dar es salaam.
Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mazungumzo hayo, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema lengo la mazungumzo hayo ilikuwa
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Disemba 27
↧
↧
Mrithi wa Dk Slaa CHADEMA Kujulikana Mwezi Ujao
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema mchakato wa kumpata katibu mkuu wake utaanza mwezi ujao.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho, ndiye mwenye jukumu la kupendekeza jina la Katibu Mkuu na kulipeleka katika Baraza Kuu kupigiwa kura, kisha kupitishwa.
Tangu Agosti 3, Katibu Mkuu wa chama hicho Dk Willibrod
↧
Baada ya Askofu Gwajima Kumkana Lowassa, Dkt. Slaa Amtaka Awaombe Radhi Maaskofu pamoja na Watanzania Kwa Kusema Uongo
Baada ya Askofu Gwajima kusema kuwa hakuwa akimuunga mkono Lowassa,
Dkt. Slaa amemtaka awaombe radhi Maaskofu pamoja na Watanzania kwa kuwadanganya.
Amesema hakutegemea Askofu Gwajima kumkana hadharani Lowassa
======Hili ni Tamko la Dr. Slaa======
i) Ni muhimu kwa "Mshenga Gwajima" kutubu na kuwaomba Radhi Watanzania kuliko kuendelea kuwapotosha.
ii) Mungu hamilikiwi
↧
Kiama cha Wafanyakazi Waliosafiri Nje Ya Nchi chaja
Adhabu inawanyemelea watumishi wa serikali waliokaidi agizo la kutosafiri nje ya nchi bila kibali cha Rais John Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Habari zilizopatikana kutoka baadhi ya wizara zilieleza jana kuwa tayari baadhi ya Makatibu Wakuu wa Wizara wameshapewa orodha ya majina ya watumishi waliosafiri nje ya nchi kinyemela.
Chanzo kimoja cha habari kimesema
↧
Tangaza Biashara Yako Au Bidhaa Yako Kwenye Mtandao huu Kwa BEI NZURI Kabisa
Tunakaribisha
matangazo ya aina zote.Bei zetu ni nzuri sana na kamwe
hutajuta kutangaza biashara yako kupitia mtandao huu....
Mpekuzi inatembelewa na Watu zaidi ya laki 2 kwa siku.Kati yao, 46% ni wanawake na 54% ni wanaume.
Kama una tangazo, basi wasiliana nasi kwa kutuandika email ambapo tutakutumia bei ya
↧
↧
CCM Yajipanga Kurudia Uchaguzi Zanzibar.......Yawataka Wanachama Wake Kujitokeza Kwa Wingi
KAMATI Maalumu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein imewataka wananchi na wanachama kujiweka tayari na hatimaye kujitokeza katika uchaguzi mkuu wa marudio.
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Zanzibar, Waride Bakari Jabu, wananchi wametakiwa kujiandaa kwa uchaguzi wa marudio na kuachana na
↧
Muhongo Achoshwa na Umeme wa Bei ya Juu Unaonunuliwa Uganda
Waziri wa wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kanda ya Ziwa kuhakikisha wanauingiza mkoa wa Kagera katika Gridi ya Taifa baada ya kubainika nchi inaingia gharama kubwa kununua umeme kutoka Uganda.
Alitoa agizo hilo jana wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Kagera na kusisitiza katika mipango mipya ya Tanesco kwa sasa, ni
↧
Leticia Nyerere Mahututi Marekani......Apumulia Mashine, Familia Yaanza Kujipanga
HALI ya afya ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia Nyerere si nzuri.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, Leticia amelazwa katika Hospitali ya Doctors Community iliyopo Maryland nchini Marekani.
Chanzo hicho kimeeleza kuwa mwanasiasa huyo amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), ingawa haijafahamika anasumbuliwa
↧
Waganga Wa Tiba Asili Waigomea Serikali Kuzuia Kujitangaza........Wasema Dr. Kingwangalla Anatafuta Sifa, Waonya Matumizi Mabaya Ya 'Hapa Kazi Tu'
Waganga wa Tiba Asili Nchini wamepinga tamko la Serikali lenye
maagizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku waganga hao
kujitangaza katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Waganga
hao wamefikia uamuzi wa kupinga agizo hilo la serikali kwa madai kwamba
agizo hilo halikushirikisha wadau wote na halikuzingatia sheria ya Tiba
Asili na Tiba MbadalaWakizungumza kwenye
↧
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Disemba 28
↧
Picha: Rais Magufuli Awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Waliokuwa Wamesalia
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasilina Utalii Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe
↧
Waziri Nape Akanusha Wizara Yake Kukataza Wanawake Kuvaa Mavazi ya Kubana
Waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo Nape Nnauye, amekanusha taarifa iliyosambaa mitandaoni inayohusu wizara yake kukataza baadhi ya mavazi hasa sehemu za mikusanyiko ya umma.
Amesema Taarifa hizo ni za uzushi na uongo, na kuwataka mamlaka husika kuwachukulia hatua watu waliotoa taarifa za uongo.
“Hizo taarifa ni uzushi mtupu na uongo, mamlaka husika wachukue hatua, watimize
↧
Yanga Yatangaza Kuvunja Mkataba Na Haruna Niyonzima....Yamtaka Kulipa Fidia ya Dola 71,175
Afisa Habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro wakati akizungumza na
waandishi wa habari leo makao makuu ya klabu ya Yanga juu ya kuvunjwa
mkataba kati ya klabu ya Yanga na Haruna Niyonzima
*********
Klaubu ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka nchini Rwanda Haruna Niyonzima kutokana na utovu wa nidhamu ikiwemo kuchelewa kuripoti kambini na kutoipa kipaumbele
↧
↧
Diamond Amwaga Machozi Ukumbini
Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda.
Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini Dar ambapo nyota huyo alikuwa
↧
Wachimbaji Kadhaa Wafunikwa Na Kifusi Chunya, Mkoani Mbeye Leo
Wachimbaji kadhaa wamefukiwa na kifusi katika kijiji cha Sangambi wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuokoa uhai wao zinaendelea muda huu.
Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.
↧
Profesa Muhongo Azidi Kuibana TANESCO
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na
↧
More Pages to Explore .....