Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi Rais Kikwete kwa kufiwa na Dada yake

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko nchini India. Katika salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu Kikwete

Jeshi Lawasaka Watu Walioeneza Uzushi Mtandaoni Kuhusu Vyeti Feki Vya Polisi

$
0
0
Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo  katika mitandao ya kijamii kwa lengo la kupotosha wananchi.  Miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na taarifa kuhusu Jeshi la Polisi iliyosambazwa jana katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afanya Ziara Katika Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi jijini Dar.......Aagiza Yaanze Kufanya Kazi Ifikapo Januari 10 Mwakani

$
0
0
Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (BRT) utaanza Januari 10, 2016.Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa wakati akikagua ujenzi wa miundo mbinu ya Mradi wa Mabasi yaendayo haraka leo jijini Dar es Salaam. Pia Majaliwa amewaagiza watendaji wizara ya Tamisemi ambao ni wamiliki wa mradi huo kusimamia vyema ili uanze kufanya kazi kama ilivyo pangwa kwa kuwa

Uchaguzi wa Meya Tanga Wazua Vurugu Kubwa, Ni Baada ya CCM kutangazwa Kushinda Japo Ina Idadi Ndogo ya Madiwani

$
0
0
Uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji la Tanga umezua vurugu kubwa leo   baada ya Mkurugenzi wa Jiji hilo kumtangaza mgombea wa CCM kuwa mshindi licha ya chama hicho kuzidiwa idadi na madiwani wa Chama cha Wananchi (CUF). Madiwani wa Ukawa wako 20 huku madiwani wa CCM wakiwa 17, hivyo upande wa UKAWA walikuwa na imani kuwa kwa wingi wao wangeweza kuongoza Halmashauri hiyo kwa kupata kura nyingi

Naibu Waziri Dkt. Kigwangalla Afanya Ziara Ya Kushtukiza Leo Katika Hospitali Za Rufaa Mikoa Ya Lindi Na Mtwara

$
0
0
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na duka la dawa kwa wagonjwa wanaotumia huduma ya bima ya afya katika Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara. Kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt. Shaibu Maarifa. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi

Waziri Kitwanga,Dr Mwakyembe Watembelea Magereza Makuu Jijini Dar......Waahidi Kuboresha Huduma Kwa Wafungwa na Mahabusu

$
0
0
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe na Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, wameunda kamati ndogo ya wataalamu kwa ajili ya kutatua changamoto zilizopo magerezani. Wakizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufanya ziara katika magereza yaliyopo katika jiji la Dar es Salaam, mawaziri hao wakifuatana na makatibu wakuu wao, walisema wameshuhudia shangamoto

Lowassa Atoa Ujumbe Mzito Kwa CCM baada Ya Kupewa Tuzo ya Amani na Taasisi 1200 Duniani

$
0
0
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na kuungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa amesema anashangaa kuona anaambiwa mleta vurugu wakati dunia inamkubali kuwa ni mlinzi wa amani. Kauli ya Lowassa imekuja ikiwa ni siku moja baada ya taasisi za kidini 1,200 duniani kupitisha jina lake kwa ajili ya kumpatia Tuzo ya Amani. “Nimepokea kwa unyenyekevu  na furaha tuzo ya amani duniani

Tamko la Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara Kulaani Ukiukaji wa Katiba Unaofanywa na Wakuu wa Wilaya


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili Ya Disemba 20

Mwakyembe: Tutamalizia Mchakato wa Katiba Mpya Kuanzia Pale Ulipoishia

$
0
0
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema Rais amempa kazi ya kuhakikisha anakamilisha mchakato wa Katiba Mpya pamoja na uanzishwaji wa Mahakama ya Rushwa. Kura ya Maoni ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa ilipangwa kufanyika Aprili 30, lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikatangaza kuiahirisha hadi itakapotangazwa tema, ikisema inataka kukamilisha kwanza uandikishaji

Mkuu wa Upelelezi TANAPA achinjwa Kinyama

$
0
0
POLISI mkoani Arusha imewatia mbaroni watu wawili wanaohusishwa na tukio la kuuawa kinyama kwa kuchinjwa shingo kwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Ulinzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Stephen Kisamo. Kifo cha Kisamo kinahusishwa na mambo mengi yakiwemo vita ya kupambana na ujangili, ikielezwa mkuu huyo alikuwa na siri nzito juu ya watu wanaojihusisha na ujangili wakiwemo

Waziri Mkuu Acharuka.....Asema Wabadhirifu Watang'olewa Mara Moja,Asisitiza Wasomi Wako Wengi wanaotafuta Ajira

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang’olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina mchezo na mtu.   Alitoa kauli hiyo jana mchana (Jumapili, Desemba 20, 2015)  wakati akizungumza na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa michezo

Ada Elekezi Shule Binafsi Tayari

$
0
0
TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa Serikali. Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Sifuni Mchome amethibitisha kukamilika kwa kazi hiyo na sasa kinachofuata ni uchambuzi wa ripoti pamoja na

Hatima ya Juma Duni Haji Kubaki CHADEMA Au Kurudi CUF kujulikana Januari

$
0
0
Mwanasiasa mkongwe nchini, Juma Duni Haji amesema hatima yake ya kubakia au kuondoka ndani ya Chadema itajulikana mwezi ujao. Duni aliihama CUF na kujiunga Chadema ambayo ilimsimamisha kuwa mgombea mwenza wa urais wa Chadema iliyokuwa chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Vyama vingine vinavyounda Ukawa ni NLD na NCCR Mageuzi. Tangu kuisha kwa Uchaguzi Mkuu na mgombea wa

CCM Yakerwa na Marekani Kuzuia Mabilioni ya Msaada

$
0
0
Wakati Chama cha Mapinduzi kinapinga uamuzi wa Marekani wa kusitisha msaada kwa Tanzania wa tilioni 1.5 kutokana na kufutwa kwa matokeo ya Uchauzio Mkuu wa Zanzibar, Chama cha Wananchi CUF kimeunga mkono uamuzi huo na kutaka mshindi wa urais wa Zanzibar atangazwe na kuapishwa ili kuondoa vikwazo vya kiuchumi. Msimamo huo ulitolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chama cha Wananchi (CUF),

Madiwani wa CUF Kufikishwa Mahakamani Kwa Kufanya Vurugu

$
0
0
Madiwani kumi wa Chama Cha wananchi (CUF) waliodaiwa kufanya vurugu katika uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya jiji la Tanga wanatarajiwa kufikishwa mahakamani. Hayo yalisemwa jana na Kamanda wa Polisi wa Tanga, Zubery Mwombeji alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la vurugu zilizotokana na madiwani wa CUF kupinga matokeo ya uchauguzi huo. Kamanda Mwombeji alisema kuwa

Ukawa wamtetea Mkurugenzi wa Kinondoni Aliyesimamishwa kwa Ufisadi

$
0
0
Madiwani wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wamemtetea Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mhandisi Mussa Natty 7aliyesimamishwa kazi. Mhandisi Natty alisimamishwa kazi kwa tuhuma za kushindwa kusiamia vyema mkataba wa ubinafsishaji wa ufukwe wa Coco Beach kwa diwani wa Mbagala Yusuf Manj pamoja na kutowasimamia ipasavyo watumishi wake na kupelekea

Waziri Kitwanga AKutana na Waandishi wa Habari Leo na Kuongelea Kuhusu Madawa ya Kulevya,Ugaidi na Wananchi Kubambikwa Kesi

$
0
0
Leo Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga leo amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam. Baada ya kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya ofisi za Jeshi la Polisi kikubwa alichozungumza ni kuhusu ugaidi, ubambikaji kesi kwa wananchi, matumizi ya TEHAMA pamoja na madawa ya kulevya. Mikakati ya kupambana na dawa za kulevya hapa nchini..“Nimepata maelezo ya kutosha kuhusu

Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

$
0
0
Rais Magufuli amekutana na kuzungumza na mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif juu ya mgogoro wa uchaguzi wa Zanzibar

Walichoongea Rais Magufuli Na Maalim Seif Baada ya Kukuta Ikulu Jijini Dar

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana naMakamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharrif Hamad, leo tarehe 21 Desemba, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam  kufuatia maombi yake ya siku nyingi. Mazungumzo ya Viongozi hao pia yamehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images