Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

TAMKO LA JESHI LA POLISI KUHUSU SHEIKH PONDA ISSA PONDA

$
0
0
1.  MNAMO TAREHE 10, AGOSTI ,2013 MAJIRA YA SAA 8 MCHANA, MAENEO YA SHULE YA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE MANISPAA YA MOROGORO,  KULIFANYIKA KONGAMANO LA BARAZA LA EID LILILOANDALIWA NA UMOJA WA WAHADHILI MKOANI MOROGORO. DAKIKA KUMI KABLA YA KONGAMANO HILO KUMALIZIKA  ALIFIKA SHEKHE PONDA ISSA PONDA AMBAYE ALIZUNGUMZA KWA MUDA MFUPI.   2. KONGAMANO HILO LILIFUNGWA  MAJIRA YA SAA

VIDEO YA SHEIKH PONDA ALIPOPELEKWA MUHIMBILI PAMOJA NA PICHA ZA MAJERAHA YAKE

$
0
0
VIDEO IKIONYESHA SHEHE PONDA AKIWASILI HOSPITALI<!-- adsense -->

AGNESS MASOGANGE AMPONZA AY NA MWANA FA HUKO AFRIKA KUSINI....

$
0
0
Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa.  Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show ambapo  wamepekuliwa  kupita  kiasi Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki

FEZA KESSY AONDOLEWA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRCA...

$
0
0
  Dada  yetu  aliyekuwa  akituwakilisha  katika  shindano  la  Big Brother Africa  ameondolewa  rasmi  usiku  huu.... Kwa  sasa  Tanzania  hatuna  mwakilishi  tena  ndani  ya  jumba  hilo. Habari  zaidi, baadae <!-- adsense -->

DANGURO LA UCHI LAFUMULIWA BUGURUNI DAR..... GHARAMA YA CHUMBA NI 1200/= ....KUMLIPA MALAYA NI 5000 TU.

$
0
0
JUMBA linalodaiwa kutumika kuendesha shughuli za ukahaba limebainika kuwapo katika eneo la Buguruni, jijini Dar es Salaam.Uchunguzi uliofanywa na Tanzania Daima, umebaini kuwapo kwa jumba ambalo linatumika kama nyumba ya kulala wageni, ambako idadi kubwa ya makahaba hujazana na kuendesha biashara ya kuuza miili yao bila wasiwasi.  Wasichana wanaofanya biashara hizo hutoza kiasi cha sh

MWANAUME AFIA GESTI AKIFANYA MAPENZI NA MPENZI WAKE JIJINI DAR

$
0
0
MFANYABIASHARA wa sokoni Kariakoo jijini Dar ambaye pia ni mkazi wa Kigogo Flesh, Hamad Kiponda (46), amefia nyumba ya kulala wageni akiwa na mpenzi wake Latifa Saidi (25). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema tukio hilo lilitokea juzi saa saba mchana katika nyumba hiyo iitwayo Sansiro iliyoko Kiwalani kwa Gude.   Alisema kuwa kutokana na tukio hilo, Latifa

KUTOMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO NI SAWA NA KOSA LA JINAI AMBALO HUKUMU YAKE NI "KUMWAGANA"

$
0
0
Ndoa yoyote ambayo mke au mume hafiki kilele hiki cha Mlima Kilimanjaro…,hiyo siyo ndoa inayokwenda sawa na kuna madhara makubwa kwa pande zote, kwa maana ya mwingine kuweza kuamua kutoka.   Ni vizuri walio kwenye ndoa kujifunza namna ya kupeana raha iwapasayo wanandoa kuipata. Kama unafikiri mkeo unaye kwa sababu amekuja kutafuta kula au kununuliwa

SAFARI YA FEZA KESSY ILIFIKIA TAMATI JANA USIKU NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER......KARIBU NYUMBANI DADA YETU

$
0
0
Hatimaye safari ya Tanzania katika Big Brother ‘The Chase’ imefikia tamati jana (August 11) baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amesalia Feza Kessy kutolewa. Feza ambaye amefanikiwa kudumu kwenye mchezo kwa siku 77 amekuwa mshiriki wa 20 kuliaga shindano hilo huku Cleo na Dillish waliokuwa dangerzone wakibaki salama.   Feza aliyekuwa ameshikilia bendera ya Tanzania wakati wa eviction

SHEIKH PONDA AWEKWA CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI.....JUMUIYA YA KIISLAM YATOA MASHARTI KWA SERIKALI

$
0
0
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda yupo chini ya ulinzi huku akitibiwa majeraha katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.  Sheikh Ponda alisafirishwa usiku wa manane kutoka Morogoro baada ya juzi kupigwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni mtutu wa bomu saa 12:25 jioni alipokuwa akisindikizwa na wafuasi wake kwenda katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja

MWANAMKE AMUUA MPENZI WAKE KWA KUMCHOMA MOTO AKIMTUHUMU KUWA NI MWIZI HUKO MPANDA

$
0
0
Mzozo wa wapenzi wawili usiku, umesababisha mmoja wa kike kupiga mayowe ya kumuita mwenzake mwizi, akavamiwa na watu waliompiga na kumchoma moto hadi kufa. Kisa hicho kimetokea mkazi wa Magazini mjini Mpanda mkoani Katavi, Florence Mabuga (29), ambaye baada ya kuvamiwa na watu akidhaniwa mwizi, alipigwa na kuuawa na mwili wake kuchomwa moto mbele ya nyumba yake.

"NIKIFA SIHITAJI KAMATI YOYOTE YA KUENDESHA MSIBA WANGU .....KAMA WALIKULA ZA NGWEA, WATASHINDWA NINI KWANGU?".. NAY WA MITEGO

$
0
0
  MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego, ameweka wazi kuwa ikitokea amefariki dunia hatohitaji kamati kwa ajili ya kuendesha mipango ya msiba wake, kwa kile anachodai kuwa kamati hizo zipo kwa ajili ya kuvuna pesa.Hayo aliweka wazi baada kupokea ujumbe mfupi kwenye simu yake wenye vitisho uliotokana na mashairi alioimba kwenye single yake mpya ya 'Salaam zao' .Ujumbe huo wa

"JAPO NILITUHUMIWA KUGAWA PENZI GESTI, LAKINI NIMEPIMA NA SINA UKIMWI.... NANI MJANJA??"...ROSE NDAUKA

$
0
0
Baada  ya  kukabiliwa  na  skendo  ya  kugawa  uroda  kwa  msanii  Nasry  ndani  ya  Gesti, Rose  ndauka  ameamua  kukimbilia  hospitalini  ili  kuchukua  vipimo  vya  gonjwa  hatari  la  Ukimwi..... Kupitia  ukurasa  wake  wa  mtandao  mmoja  wa  kijamii, Ndauka  aliposti  picha  ya  majibu  ya  vipimo    vya  UKIMWI   vilivyochukuliwa  katika  hospitali  ya   TMJ iliyopo  jijini  Dar es

TCRA YAJIPANGA KUZIFUNGA SIMU ZOTE ZA KICHINA ( SIMU FEKI )

$
0
0
Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA inaandaa utaratibu wa kufunga simu zote ambazo hazina viwango vya ubora stahiki kwa lengo la kuzuia uingizwaji wa bidhaa hizo nchini ambazo zimekuwa zikiuzwa kiholela.   Meneja mawasiliano wa TCRA ‘Innocent Mungy’ amesema mamlaka hiyo kwa sasa inazunguka nchini kutoa elimu kwa wananchi ili wazitambue simu mbovu na madhara yake katika mawasiliano

WALTER CHILAMBO AFUNGUKA BAADA YA NAY WA MITEGO KUMTUHUMU KUWA NI MASIKINI WA KUTUPWA

$
0
0
Baada ya maneno na tuhuma nzito za Ney wa Mitego dhidi ya Mshindi wa Epiq Bongo Star Search mwaka 2012, Walter Chilambo kuwa  huenda  amedhulumiwa zawadi yake ya ushindi, Shilingi Milioni 50 na waratibu wa shindano hilo kwa sababu mpaka sasa yupo katika maisha duni, Msanii huyu amevunja ukimya na kusema kuwa yeye yupo vizuri  kifedha. Walter amesema kuwa maneno ya  Nay  hayana ukweli

"VIONGOZI WANAOMTETEA SHEIKH PONDA NI WANAFIKI WAKUBWA.....WAKATI ANAHUBIRI UCHOCHEZI MLIKUWA WAPI?"..WILLIAM MALECELA

$
0
0
Hii  ni  kauli  ya  mtoto  wa  kigogo   hapa  nchini  maarufu  kwa  jina  la  William  Malecela  ambayo  ameitoa  kupitia  blog  yake  akiuelezea  mtazamo  wake  kuhusu  Sakata  la  Ponda  kupigwa  risasi  na  polisi.... Malecela  ameanza  kwa  kuuchambua  wadhifa  wa  Sheikh  Ponda, huku  akikumbushia  vurugu  za  mwembechai   na  mahubiri  ya  kichochezi  ya  Ponda  dhidi  ya  serikali  na

TUMEPOTEZA UKURASA WETU WA FACEBOOK....TUNAWAOMBA WASOMAJI WETU WAJIUNGE UPYA ILI WAWEZE KUFURAHIA HABARI MOTOMOTO

$
0
0
  Mpendwa  msomaji wetu, tunaomba  radhi  kwa  kutukosa  katika  ukurasa wetu wa facebook  ambao  uliingiliwa  na  watu  wasio  na nia  njema. Tumelazimika  kufungua  ukurasa  mpya ili  kurahisisha  upatikanaji  wa habari zetu  kama  ilivyokuwa  hapo  awali.... Hata  hivyo, tunapenda  kutoa  shukra  za  dhati  kwa  wasomaji  wetu  kwa  kutuwezesha  kushika  nafasi  ya  5   ya mitandao  bora 

BAKWATA YATAKA KAMANDA WA POLISI MOROGORO AJIUZULU KUPISHA UCHUNGUZI WA KIPIGO CHA SHEIKH PONDA

$
0
0
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limelaani vikali tukio la polisi kumjeruhi Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislamu, Sheikh Issa Ponda na limetaka kuundwa kwa tume huru kuchunguza tukio hilo huku likimtaka Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile kujiuzulu.   Ponda amelazwa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi), akitibiwa majeraha yanayoaminika kuwa ya risasi

JESHI LA POLISI LATANGAZA DAU LA MILIONI 100 KWA MTU YEYOTE ATAKAYELITAJA KUNDI LINALOMWAGIA WATU TINDIKALI

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetangaza dau la Sh100 milioni kwa mtu atakayewezesha kupatikana kwa taarifa za kundi la uhalifu linalojihusisha na vitendo vya kuwamwagia maji baadhi ya watu yanayodhaniwa ni tindikali.  Hatua hiyo inatokana na vitendo hivyo kushamiri maeneo mbalimbali nchini.   Kamanda wa Polisi Kanda hiyo, Suleiman

MAZOEZI MATATU YA KUZUIA MATITI YA MWANAMKE YASILALE NA KUWA MALAPA

$
0
0
<!-- adsense --> Ikiwa wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota) basi msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije kujisikia vibaya pale wanaume watakapokuwa wakiponda  matiti kwa kuyaita "malapa".... Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako

MAISHA YA RAIS KIKWETE YAKO HATARINI....

$
0
0
JENGO la ghorofa 19 lililojengwa karibu na Ikulu ya Dar es Salaam linadaiwa kuhatarisha maisha ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, UWAZI limefuatilia kwa umakini. Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, jengo hilo ni refu sana na waandishi wetu waliingia humo mpaka ghorofa ya 19 kisha kuona ukaribu uliopo na kubaini kwamba ni hatari kwa usalama wa ikulu na rais mwenyewe.  Baadhi ya wananchi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images