Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

BILIONEA MWINGINE AUAWA KWA KUPIGWA RISASI JIJINI DAR

$
0
0
MAUAJI ya wafanyabiashara wakubwa ‘mabilionea’ yameshika kasi nchini ambapo baada ya tajiri mkubwa Arusha, Erasto Msuya kuuawa kwa risasi hivi karibuni, Agosti 3, 2013 bilionea Elia Daniel Endeni (49) naye aliuawa kwa kupigwa risasi nje kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wake mdogo aitwaye Juliana Labson (28). Tukio hilo lilijiri siku hiyo saa 2 usiku maeneo ya Temeke Mikoroshini jijini

DOGO JANJA AMPIGIA MAGOTI MADEE ILI AMRUDISHE TENA TIP TOP CONNECTION

$
0
0
Kuna kila ishara kuwa meli ya Watanashati Entertainment iliyomchukua Dogo Janja kwa mbwembwe nyingi, inaelekea kuzama na abiria wawili waliosalia, Dogo Janjaro na PNC wameanza kutafuta maboya haraka kujihami. Kwa mujibu wa meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale, Dogo Janja amekuwa akimpigia simu Madee ili wakae chini waongee kumaliza tofauti zao na ili arejee Tip Top. “Unavyomwona

CLINTON AMPONGEZA RAIS KAGAME.....ANADAI KUWA TUHUMA DHIDI YAKE HAZIJATHIBITISHWA MAHAKAMANI

$
0
0
Aliyekuwa rais wa marekani Bill Clinton amempongeza rais wa Rwanda Paul Kagame kwa  mafanikio ya  nchi yake  licha ya madai kwamba amekuwa akiunga mkono makundi ya waasi katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo yanakiuka haki za kibinadamu. Bwana Clinton amesema katika mahojiano na BBC kwamba madai hayo ambayo Rwanda inayakataa hayajathibitishwa mahakamani.

MABINTI WAWILI WAKAMATWA AIRPORT NA MADAWA YA KULEVYA YENYE THAMANI YA BILIONI 2.5

$
0
0
Vitendo vya usafirishaji wa madawa ya kulevya vinazidi kuendelea duniani na safari hii wasichana wawili wadogo kabisa, mmoja ana umri wa miaka 19 na mwingine ana umri wa miaka 20 wote wawili wamekamatwa kwenye airport ya Lima nchini Peru wakijaribu kusafirisha mzigo huo.  Passport za mabinti hao zinawatamburisha kama raia wa uingereza na huko ndiko mzigo huo ulikuwa unaelekea. Baada ya

HAYA NDO MAJINA 250 YA WAUZA UNGA NA BANGI NCHINI TANZANIA.

$
0
0
<!--[if gte mso 9]> Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4<![endif]--><!--[if gte mso 9]>

CHID BENZ ASIMULIA JINSI ALIVYOTHIRIWA NA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA....ANASEMA HAWEZI KUMALIZA DK 2O BILA KUVUTA

$
0
0
  Rapper Chidi Benz leo kwa mdomo wake mwenyewe amekiri kuwa alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa miaka mingi. Chidi amefunguka leo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM. Alisema japo hakwenda Nairobi kwaajili ya rehab, mazingira yalimlazimu kutafuta tiba ili aondokane na madhara ya madawa hayo. Alieleza kuwa alipofika jijini Nairobi alikuwa akitakiwa kufanya show nyingi na mwandaaji

WANYARWANDA WALIOTIMULIWA TANZANIA WAKIMBILIA UGANDA AMBAKO NAKO WAMEKATALIWA

$
0
0
Wengi wa wahamiaji haramu waliokuwa mkoani Kagera ambao wengi wao ni wanyarwanda wamekimbilia Uganda kama wakimbizi lakini makambi ya wakimbizi huko Uganda yamekataa kuwapokea. Pamoja na serikali ya Rwanda kupitia ubalozi wake Uganda kufanya jitihada ya kutaka kuwarudisha Rwanda lakini wakimbizi  hao  wamegoma  kurudi  kwao  kwa  hofu  ya  kuuawa  wakirudi  Rwanda....    Source:  jamii

CCM YAFUKUZA MADIWANI 8 WA MANISPAA YA BUKOBA

$
0
0
  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera, leo kimewafukuza madiwani 8 wa Manispaa ya Bukoba kupitia chama hicho na kufutwa nyadhifa zao za udiwani kutokana na mgogoro uliokuwa ukiendelea Waliofukuzwa ni: Richard Gaspar (Miembeni ) Murungi Kichwabuta (Viti maalum) Alexander Ngalinda ambaye pia ni Naibu Meya (Buhembe) Yusuf Ngaiza ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya (Kashai)

"NITAENDELEA KUTETEA HAKI ZA WAISLAMU NA SITARUDI NYUMA NA RISASI ZAO HAZITANINYAMAZISHA".....SHEIKH PONDA

$
0
0
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema alichanganyikiwa kiasi cha kushindwa kujielewa kwa muda baada ya kupigwa risasi.   Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi kwenye wodi binafsi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (Moi) alikolazwa jana, Sheikh Ponda alisema kutokana na hali hiyo hakumbuki matukio yaliyofuata baada ya hapo.

MWANAFUNZI ATEKWA HUKO MOSHI NA KUFANYISHWA NGONO KWA SIKU NNE

$
0
0
MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Marangu inayomilikiwa na kanisa Katoliki jimbo la Moshi, (jina limehifadhiwa) alitekwa na kukufungiwa kwenye hoteli moja ya kitalii mjini hapa na kufanyiwa vitendo vya ngono kwa muda wa siku nne mfululizo.   Mwanafunzi huyo anadaiwa kutekwa Agosti 6 mwaka huu na kijana mmoja (jina linahifadhiwa) mfanyakazi wa kampuni ya

RAIS KIKWETE AKUTANA NA "WAVUTA BANGI WASTAAFU" IKULU...... AMEITAKA JAMII ISHIRIKI VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA

$
0
0
  RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Afya kupitia kitengo cha magonjwa ya akili pamoja na Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini kushirikiana na Kituo cha Ushauri Nasaha cha Pili Misana Foundation, ambacho kinawasaidia waathirika wa madawa ya kulevya ili kiweze kuwahudumia watu wengi zaidi hapa nchini. Taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari imesema kuwa Rais Kikwete alitoa

DAKTARI AMTANDIKA NGUMI MGONJWA BAADA YA KUPISHANA KAULI....

$
0
0
  Daktari mmoja nchini Urusi, Andrey Votyakov (bingwa katika fani ya usingizi) mapema mwezi uliopita alitimuliwa kazi baada ya video ya chumba cha upasuaji inayorekodi matukio (surveillance camera) kuoneshwa hadharani ambapo daktari huyo alionekana akilumbana na mgonjwa aliyefungwa kitandani na baadaye kumshushia makonde usoni na kifuani, upande wa kushoto.Mgonjwa huyo aliyekuwa katika

MTU NA MDOGO WAKE WAOANA JIJINI DAR ....POLISI WAINGILIA KATI NA KUDAI KWAMBA SHERIA HAIRUHUSU

$
0
0
Kaka mtu akitiwa mbaroni MWANAFUNZI wa kidato cha pili jina kapuni (16), amejikuta akiozeshwa na wazazi wake kwa mwanaume aliyetambulika kwa jina la Kaizilege Jabiri (31) ambaye ni mtoto wa mama yake mkubwa... Tukio hilo lilitokea Juni 14, mwaka huu jijini Dar nyumbani kwao Mlandizi, Bagamoyo, Pwani ambako mwanaume huyo alifunga ndoa na binti huyo na kurejea naye nyumbani kwake, Ubungo

NAPE NNAUYE AAGIZA MADIWANI WALIOFUKUZWA HUKO BUKOBA WARUDISHWE KAZINI HARAKA

$
0
0
Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera jana tarehe 13/08/2013 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika mjini Bukoba imetangaza uamuzi wake wa kuwafutia dhamana ya CCM hivyo kuwavua Udiwani Madiwani wanane wa Manispaa ya Bukoba waliotokana na CCM.   Kwa mujibu wa utaratibu wa kutoa adhabu kwa viongozi wa CCM walio kwenye vyombo vya dola hasa Wabunge na Madiwani uamuzi wa

REFA APIGWA MPAKA KUTOA MAVI HUKO SUMBAWANGA BAADA YA KUTUHUMIWA KUIPENDELEA TIMU YA MUCHIZA FC

$
0
0
  Mwamuzi na wachezaji watatu wa timu ya Serengeti SC ya wilayani Sumbawanga mkoani  Rukwa wamelazwa kwenye kituo cha Afya cha Laela baada kushambuliwa na kwa kupigwa sehemu mbalimbali za mwili katika mchezo wa Ligi ya ujirani mwema.Mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Kisalala kata ya Laela, ulitamatia dakika ya 75 baada ya kundi la mashabiki wa Serengeti FC kuanza

SHEIKH PONDA ASOMEWA MASHITAKA YA UCHOCHEZI AKIWA HOSPITALINI

$
0
0
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda amesomewa mashitaka ya uchochezi na Mwanasheria wa serikali, akiwa wodini MOI anapoendelea kupata matibabu. Sheikh Ponda arijeruhiwa Jumamosi iliyopita akiwa katika mhadhara wa Kiislamu huko mkoani Morogoro.   Baada ya kujeruhiwa Ponda alilazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kuhamishiwa katika

VIDEO YA UTUPU YA MSHIRIKI WA BIG BROTHER TOKA NIGERIA YANASWA.....WADAU WADAI NI TAMBIKO

$
0
0
<!-- adsense --> Hivi unaweza kuamini mshiriki huyu ameweka rekodi ya BBA house baada ya kutokuwa nominated kwenye jumba la BBA tangu mashindano yaanze.  Baadhi  ya  wadau  wameanza  kudai  kuwa  mwanadada  huyo  anatumia  KIZIZI  cha  kingeria  huku  wakizihusisha  video  zake  za  utupu  ndani  ya  jumba  hilo  kuwa  ni  tambiko  tosha  la  kumfanya  asiguswe Hapa namzungumzia Beverly,

PICHA ZA MAPOKEZI YA FEZA KESSY UWANJA WA NDEGE DAR

$
0
0
Mwakilishi wa Tanzania katika jumba la Big Brother 'The Chase' aliyetolewa Jumapili Agosti 11 Feza Kessy amewasili leo jioni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K Nyerere jijini Dar es Salaam. Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa

HAYA NDO MASHITAKA ALIYOSOMEWA SHEIKH PONDA AKIWA HOSPITALINI

$
0
0
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda (54), amesomewa shtaka akiwa kitandani katika Kitengo cha Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI). Katika shtaka hilo, Ponda anadaiwa kuwahamasisha wafuasi wake kufanya kosa.   Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Hellen Riwa, Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Tumaini Kweka,

HAWEZI " KU SEX " MPAKA ASHIKILIE NA MKONO.......HUU NDO UFUMBUZI WA TATIZO

$
0
0
Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama wapenzi. Huyo mwanaume alikua yuko nice ingawa baadae tulikuja tukaachana. Tatizo la huyo mwanaume ni wakati wa kufanya mapenzi.  Tulikua tukifanya romance , tukiwa tunajiandaa kufanya mapenzi alikua
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images