Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Polisi wakanusha madai ya askari wao

$
0
0
Jeshi  la  Polisi  limekanusha  madai  ya  polisi  wa wilaya ya Bunda, wanaodai  kulazimishwa  kuchangia fedha kwa ajili ya mafuta ya kusafirisha mwili wa mwenzao aliyefariki dunia katika Hospitali ya rufaa Bugando kwenda nyumbani kwao katika wilaya ya Mahenge mkoani Morogoro.   Jeshi limetoa  kauli hiyo  baada ya kuwapo malalamiko katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Bunda,

Picha Za Mkutano Wa CHADEMA Uliofanyika Jana Tanganyika Packers Kawe Jijini Dar

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Mh.Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Parkers Jana, ambapo pia alizindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee.  Mh Freeman Mbowe, Halima Mdee na John Mnyika wakizindua kitabu cha Mbunge wa Kawe Mh Halima Mdee  Gwajima akiwa na baadhi ya viongozi wa

Sakata la Picha Za UCHI......Shilole Awaomba Radhi Wanawake Kwa Kuwadhalilisha

$
0
0
Baada ya wiki kadhaa kupita tangu picha zake zisambae zikimuonesha gauni likiwa limevuka nakuachia maziwa wazi, staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka na kuwaomba radhi kinamama wote.    Shilole amesema kuwa anajua kwamba kitendo hicho kimewakwaza wengi na hakukusudia kufanya jambo kama lile.    “Nimejifunza mengi na naendelea tena kuomba msamaha kuwa tatizo hili

CHADEMA yalia na sheria inayominya uhuru wa Habari

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka watanzania kuipinga na kutoikubali sheria  ya mpya iliyopitishwa ya takwimu kwa madai kwamba sheria hiyo inalenga kuzuia uhuru wa vyombo vya habari na kuwanyima watanzania haki na uhuru wa kupata habari.   Akihutubia hivi karibuni mjini Bukoba  katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Dk. Wilibroad Slaa alisema

Jokate Amtolea Uvivu Diamond Baada Ya Kumuita MAKOMBO

$
0
0
Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye hivi karibuni alimwita makombo baada ya kusikia kwa sasa anatoka kimalovee na msanii Ali Kiba. Akizungumza na gazeti la Ijumaa Wikienda,, Jokate alisema alishangazwa na maneno hayo ambayo hakustahili kuyatamka kwani kama ni ishu ya

Frola Mbasha Ajiunga CHADEMA

$
0
0
MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za injili nchini, Frola Mbasha ameijunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).   Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers mjini Dar es Salaam jana, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), alisema kuijunga kwa Mbasha katika chama hicho kutasaidia kuhamasisha wasanii wengine ambao wamekuwa wakitumiwa na Chama

TAFRANI BURUNDI: Hofu yatanda kuuawa kiongozi wa upinzani

$
0
0
Huku Serikali ikikanusha kuhusika katika mauaji ya kiongozi wa upinzani wa Burundi, baadhi ya makundi ya kisiasa yameanza kuingiwa na wasiwasi kuhusiana na hatima ya kisiasa ya nchi hiyo, wiki moja baada ya Rais Pierre Nkurunziza kusogeza mbele tarehe uchaguzi wa wabunge.   Aliyeuawa ni Zedi Feruzi, aliyekuwa mkuu wa Chama cha Umoja wa Amani na Demokrasia (UPD). Aliuawa mwishoni mwa

Madiwani Walia Na Ndoa FEKI Za Walimu......Wadai Upungufu Wa Walimu Vijijini Unasababishwa Na Walimu Wa Kike Kughushi Vyeti Vya Ndoa

$
0
0
BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, wamesema tatizo la upungufu wa walimu kwenye shule za msingi zilizopo vijijini kunachangiwa na walimu hasa wa kike kutaka kufundisha mjini. Walisema baadhi ya walimu wa kike wamekuwa wakighushi vyeti vya ndoa ili kuonesha wameolewa na kuwafuata waume zao mijini jambo linalozorotesha jitihada za Serikali kumaliza tatizo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa Ratiba rasmi kuelekea Uchaguzi Mkuu Mwaka huu. Kampeni zitaanza Agosti 22 na Upigaji Kura kufanyika Oktoba 25.

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba rasmi kwa vyama vya Siasa na wananchi wote itakayotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Serikali  unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.   Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo  Jaji wa Rufaa (Mst.) Damian Lubuva imesema kuwa kwa Mamlaka waliyopewa kwa mujibu wa vifungu vya 35B(1), (3) (a), 37 (1) (a) na 46 (1) vya Sheria ya

Edward Lowassa Aongea na Vyombo vya Habari LEO....... Adai hahusiki na Kashfa ya Richmond, Hana Mpango wa Kuhama CCM na Yupo Tayari Kupima Afya

$
0
0
Waziri Mkuu mstaafu  Edward Lowassa leo amefanya  mkutano maalum nyumbani kwake mjini Dodoma  na  wahariri  wakuu  wa  vyombo  mbalimbali  vya  habari  hapa  nchini. Katika mkutano huo kwa ufupi Lowassa amesema yafuatayo; 1. Amesema Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu hata kamati ya Mwakyembe haikuona sababu ya kumhoji.    Amesisitiza kuwa cheo cha uwaziri mkuu ndio

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 26 May 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumanne  ya  Tarehe  26  May  2015

Rais Kikwete Ateua Mkuu wa Wilaya mmoja, ahamisha Wengine 10

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, mkoa wa Dodoma.   Aidha, Rais Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa Wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa wilaya mbalimbali nchini.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo vya habari, katika mabadiliko hayo, Kikwete amemhamisha Luteni

BVR Kigoma yalalamikiwa......Wananchi Walala Kituoni Kujiandikisha

$
0
0
Zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoronik BVR umelalamikiwa na wananchi katika manispaa ya Kigoma Ujiji kutokana na kuchelewa kuandikishwa licha ya wananchi kulala kwa zaidi ya siku mbili katika vituo vya kuandikishia. Zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa kutumia mfumo huo limeanza katika kata za Kagera, Buhanda, Businde, Machinjioni, Rubuga na

Mbio za Urais Za Benard Membe Zitaanzia Kijijini Kwake......Asema Wakati Ukifika Atachukua FOMU.

$
0
0
Siku mbili baada makada waliokuwa wamefungiwa kwa makosa ya kukiuka kanuni za CCM kuachiwa huru, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameeleza nia yake kuwa wakati ukifika atachukua fomu kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.   Membe alibainisha nia hiyo kwa mara ya kwanza juzi usiku wakati akihojiwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1) na

Rais Kikwete Awatolea Uvivu Vijana wa CCM.....Awataka Waache Ukuwadi

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete, amesema Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umegeuka kuwa jukwaa la watu wanaotaka kugombea urais kwa kuwa makuwadi, mawakala wa kuhonga fedha vijana wenzao badala ya kufanya mijadala ya kukijenga chama. Alisema lazima vijana wa UVCCM wawe wapiganaji, wapambanaji na wanaharakati wa kukiimarisha chama kwani hatima ya CCM iko mikononi mwao. Rais Kikwete

K-Lynn azungumzia maisha yake kama mama, kwanini hawezi kurudi kwenye muziki na kazi ya interior design

$
0
0
Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn lakini kupitia tuzo za watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu. K-Lynn ameiambia Bongo5 kuwa maisha akiwa kama mama watoto wawili mapacha yamekuwa ya aina yake na anayafurahia kila sekunde.   “Nimejifunza kuwa mvumilivu, nimejifunza upendo ambao sijawahi kujisikia kabla. Jinsi unavyompenda mtoto ni tofauti

Keisha naye kuwania ubunge mwaka huu?

$
0
0
Mzuka wa siasa unazidi kuwaingia wasanii wengi wa muziki nchini. Keisha ni mmoja wao. Akizungumza na Mpekuzi, Keisha amesema naye pia ana mpango wa kuingia rasmi kwenye kuwania nafasi ya uongozi wa kisiasa japo inaweza isiwe mwaka huu.   “Napenda sana harakati za siasa, nimeshawahi kufikiria lakini bado sikupata jibu sahihi,” amesema.    “Kwahiyo sasa hivi siwezi kusema nipo

Filamu ya Van Vicker na Wema Sepetu ‘Day After Death’ kuzinduliwa September, Dar

$
0
0
Filamu ya Wema Sepetu na muigizaji wa Ghana, Van Vicker ‘Day After Death’ inatarajiwa kuzinduliwa September mwaka huu jijini Dar es Salaam. Wema ameiambia Mpekuzi kuwa Van Vicker atakaa kwa wiki mbili zaidi kwaajili ya kufanya filamu nyingi na muigizaji huyo  aliyeibuka na tuzo ya muigizaji wa kike anayependwa kwenye tuzo za watu zilizotolewa Ijumaa iliyopita.   “Tunaplan kuilaunch

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Maelezo Ya KINA Ya Edward Lowassa Kuhusiana Na Sakata La Richmond, Afya Yake, Utajiri Wake Na Kwa Nini Alikuwa Kimya Kwa Miaka Yote 7

$
0
0
Hatimaye  Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana alivunja ukimya wa muda mrefu alipofanya mahojiano ya ana kwa ana na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Katika mkutano huo,Lowassa aliitumia nafasi hiyo kutangaza msimamo wake wa siasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Lowassa aliitumia fursa ya mahojiano hayo, yaliyofanyika nyumbani kwake eneo la Area C mjini hapa, kuwaeleza
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images