Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ugomvi wa Jaji Werema na Kafulila wachukua sura mpya baada ya wawili hao kukataa kupatanishwa.....Kafulila aliitwa TUMBILI, Werema akaitwa MWIZI

$
0
0
Mvutano kati ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema na Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila umechukua sura mpya baada ya mwanasheria huyo kugoma kupatanishwa huku akitishia ‘kumshughulikia’ mbunge huyo.    Ugomvi baina yao uliendelea jana asubuhi nje ya Ukumbi wa Bunge muda mfupi baada ya Naibu Spika, Job Ndugai kuahirisha kikao cha Bunge hadi

Mzee wa kanisa Aumbuka baada ya kufumaniwa Gesti na kibinti kidogo kilicho chini ya miaka 18

$
0
0
Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Debora Jacob.   Tukio hilo ambalo kamwe Luca hawezi kulisahahu maishani mwake, lilijiri kwenye gesti hiyo

Amina Maige akana Shitaka la kumchoma Pasi na Kumng'ata Mfanyakazi wake wa ndani ( Hausigeli) .....Anyimwa dhamana, arudishwa rumande

$
0
0
Mkazi wa Mwananyamala, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng'ata mfanyakazi wake wa ndani,  amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.   Amina  alisomewa maelezo hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mbele ya Hakimu Yohana Yongolo.   Wakili wa Serikali Tumaini Msikwa alidai kati ya Januari na Juni mwaka huu, maeneo ya

Video ya Mdogomdogo..... Diamond aongeza swagga za farasi na watoto wa kizungu

$
0
0
Kila jua linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond amekuwa kwenye headlines mbalimbali.    Akiwa na video aliyomshirikisha Iyanya kibindoni, staa huyo amekuwa akipost picha zinazomuonesha akiwa msituni na msichana wa kizungu pamoja na farasi huku akiwa amevaa kitamaduni kama askari wa enzi za kabla ya

Mwanamke aliyeasi dini ya kiislamu na kuolewa na Mkristo aachiwa huru tena......Azidi kusisitiza kuwa yeye ni Mkristo

$
0
0
Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa madai ya kuasi dini ya kiislam ameachiliwa huru baada ya kushikiliwa kwa mara ya pili.   Meriam Ibrahimu alikwenda katika ubalozi wa Marekani uliopo mji Mkuu wa Khartoum. Mumewe ana asili ya Sudan Kusini lakini kwa sasa ni raia wa Marekani.   Mwanamke huyo aliachiliwa baada ya kuhukumiwa adhabu ya kifo siku ya jumatatu lakini alishikiliwa tena na

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini awavaa Zitto na Kafulila......Adai ni WASHENZI na wala Rushwa, Asisitiza Kafulila ni TUMBILI tu

$
0
0
SAKATA linalohusu kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), limechukua sura mpya baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, kuwashambulia kwa maneno makali, wabunge wawili Zitto Kabwe wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) na David Kafulila wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi).  FikraPevu ilikuwapo wakati Maswi akitumia maneno makali kwa kuyarudia,

Baraza la Mitihani labadili mfumo wa kupanga madaraja ya Ufaulu....Matokeo ya MOCK sasa kujumlishwa katika mtihani wa kidato cha nne na sita

$
0
0
Matokeo ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA).    Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa, yatatokana na asilimia 30 ya Alama Endelevu na asilimia 70 ni mchango wa Alama za Mtihani wa Taifa.  Asilimia 30 za Alama Endelevu, zitapatikana kutokana na mitihani mbalimbali. Kwa

Watu watatu wafariki dunia, kumi wajeruhiwa katika Ajali Ya Noah mkoani Singida

$
0
0
Watu watatu wamekufa na wengine kumi wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah kupasuka tairi ya nyuma na kubiringita mara tatu katika kijiji cha Januka manispaa ya Singida.    Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Singida daktari Deogratias Banubasi amesema wamepokea maiti mbili wakiwa wamesha fariki eneo la tukio akiwemo

Snura Majanga Alia na Rushwa ya Ngono.....

$
0
0
Msanii  wa  muziki  na  filamu  Snura  Mushi  amebainisha  kuwa  rushwa  ya  ngono  kwa  wanawake  ni  kikwazo  kikubwa  kinachowakwamisha  wanawake  kutimiza  ndoto  zao... Snura  aliamua  kungukia  suala  hilo  ili  kuwatetea  wanawake  wanaoombwa  rushwa  ya  ngono  ili  kupewa  kazi, kwa  kusema  ni  kitendo  cha  kinyama  kwani  wengi  wanakuwa  ombaomba  kwa  sababu  tayari  wamekosa

Lulu Michael: Sina muda wa kumbembeleza Mwanaume coz wanaonitongoza kwa siku ni wengi hata siwezi kuwahesabu.

$
0
0
Wakati  wanawake  wengine  wakionekana  kubembeleza  penzi  na  kujinyenyekeza  kwa  wapenzi  wao ili wasiachike,  Lulu  Michael  anasema  hana  muda  huo  kwani uzuri  wake  unatosha  kuwavuta  wanaume  wa  kila  aina  kutoka  katika  kila  kona  ya  Tanzania..... Lulu  amedai  kuwa  inawezekana  mwanaume  wa  kwanza  kwake  ndo  chaguo  lake  namba  moja, lakini  suala  la  kuanza 

Msanii Amini aanika Siri ya kufunga Ndoa ya fasta fasta.....Abadili Jina kutimiza masharti ya Kinyota

$
0
0
Mwanamuziki zao la nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Amini Mwinyimkuu amefunguka kuwa, aliamua kufunga ndoa ya fasta ili kuuwahi mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akizungumza na mwanahabari wetu, Amini ambaye amemuoa binti aitwaye  Farida Bashiri alisema ilikuwa vigumu kufanya sherehe kubwa kwani lengo lilikuwa ni kumuingiza ndani haraka mke huyo ili amuandalie futari pia.   “Ni

Hakika Uzee Mwisho Chalinze.....Mzee Magali Aukana UZEE, Asema bado ana nguvu kama za miaka 20 iliyopita

$
0
0
Msanii  wa  filamu anayeweza kushika kipande chochote na kufanya vizuri, Charles Magali  maarufu  kama  Mzee Magali  amesema  yeye  si  mzee  bali  anatumia  jina  hilo  kwenye  sanaa  na  bado  ana  nguvu  kama  za  miaka  20  iliyopita..... Alisema  kuwa  wapo  vijana  ambao  wanaonekana  ni  wabichi  lakini  hawana  nguvu  kama  zake, hivyo  hawawezi  kujifananisha  naye  hata  kidogo,

Mungu hashindwi: Hatimaye Flora Mbasha na mumewe wapatana....... Mwanasheria asimamia kila kitu, vigogo nao waingilia kati sakata hilo

$
0
0
Hakuna  neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa. Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana.   Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia.   MANENO YA CHANZO “Kikao cha familia kilikaa, Mbasha aliitwa akafika,

Mtoto wa miaka 13 aikoa Nigeria Kulipuliwa na bomu kubwa

$
0
0
Siku chache baada ya kutokea shambulizi kubwa la bomu katika soko kubwa ‘Mall’ jijini Abuja, Nigeria mtoto mwenye umri wa miaka 13 amesaidia kuwaokoa raia wa Nigeria kushambuliwa na bomu kubwa baada ya kulishitukia na kutoa taarifa polisi.   Kwa mujibu wa msemaji wa polisi wa Kano, aliyejitambulisha kwa jina la Magaji Majiya, mtoto huyo wa kiume alipata mashaka baada ya kuona gari

Boko Haram waanza kuadhibiwa Kichawi......Nyoka wa Ajabu na Nyuki Wawatoa Msituni

$
0
0
Wanajeshi wa Boko Haram wanaofanya mashambulizi na kuua raia wasio na hatia huko Nigeria wamedaiwa kuanza kukimbia msitu baada ya nyoka wenye sumu kali na nyuki kuwashambulia. Habari hizi zilielezwa na mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa na kuthibitisha kuwa ni mmoja wa member wa kundi la Boko Haram na alieleza kuwa hivi sasa kundi hilo limelazimika kuhama msitu na linaelekea maeneo ya mpaka

Mauaji yaelekezwa CCM......Mwenyekiti wa CCM kata ya Busambala Butiama auawa kinyama

$
0
0
Watu  wanaodhaniwa  kuwa ni majambazi wamemuua kinyama kwa kupiga  risasi moja ya kichwani mwenyekiti  wa chama cha mapinduzi  kata ya Busambala wilayani Butiama mkoani Mara Bw Willison Opio mwenye umri wa miaka 60 huku kichwa chake kikisambaratishwa  kabisa na risasi hiyo.   Mauaji hayo ya  kinyama yamefanyika saa saba usiku wa kuamkia jana,baada ya majambazi hayo kuvunja milango ya

Mahari yazua balaa msibani.....Baba wa mtoto azuiwa kuzika, ngumi zafumuka.....Kaburi lafukiwa, mwili warudishwa Mochwari

$
0
0
FAMILIA mbili mjini Mpanda zimejikuta zikiingia katika uhasama mkubwa, kiasi cha kupigana fimbo na ngumi makaburini katika ugomvi wa kugombea kuzika mwili wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.   Sababu kubwa ya mpasuko huo imeelezwa kuwa ni mahari, kwani wazazi wa  upande wa mama wa mtoto huyo walikuja juu na kumzuia baba wa mtoto, Joseph Bacho mkazi wa Mtaa wa Kawajense- Madukani

Huyu ndo Mshindi wa tuzo ya BET iliyokuwa inawaniwa na Diamond Platnumz pia.

$
0
0
Hii ilikua siku nyingine muhimu kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ambapo yalikua yanasubiriwa matokeo ya tuzo ya BET sanasana kipengele wanachowania tuzo wasanii wa Afrika akiwemo Diamond Platnumz.  Davido kutoka Nigeria ndio amethibitisha kuwa mshindi wa tuzo hii ambapo kupitia page yake ya Instagram amewashukuru mashabiki na kuelezea furaha yake.   Tuzo hii ilikua inawaniwa na

Maneno zaidi ya 60 aliyoyatoa Diamond baada ya tuzo ya BET aliyokuwa akiwania kuchukuliwa na Davido wa Nigeria

$
0
0
Baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliyekua anawania pia tuzo hiyo ameandika ya moyoni kwa watu wake.    "Tusipopenda kukubali matokeo na ushindi wa wenzetu basi daima hatutaweza kuwa washindani, muhimu ni kujua wapi tulipotoka na wapi tulipo leo. "Katika nchi zaidi ya 20 zenye wasanii

Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 30 Juni 2014

$
0
0
                              Magazeti  ya  leo  Jumatatu  ya  tarehe  30  Juni  2014
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images