Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Tangazo la Nafasi za Mafunzo na Kazi toka RafikiElimu Foundation.....Ada ya mafunzo ni BURE.

0
0
Taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation  kupitia  MRADI  WA  WANAWAKE  SALAMA  TANZANIA  inatangaza  nafasi  za  mafunzo  ya  UANDAAJI  NA  UTENGENEZAJI  WA  VYAKULA-LISHE MAALUMU KWA  WAGONJWA NA  WENYE MATATIZO  MBALIMBALI  YA KIAFYA. Wahitimu  wa  mafunzo  haya  watapata  nafasi  ya  kufanya  kazi   kama  waandaji  na  watayarishaji  wa  Vyakula –Lishe  katika  MRADI  WA  WANAWAKE

Pongezi kubwa kwa Jeshi la Polisi: Majambazi mawili Yauawa Geita baada ya kuua Mfanyabiashara.....Yalikuwa ni mapambano ya kufa na kupona

0
0
Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na bunduki aina ya SMG na bastola waliokuwa wakitumia pikipiki aina ya Sanlg yenye namba T460 CVQ wamevamia duka la Mpesa na kumuua mfanyabiashara Gosbert Kulwa(59) mkazi wa Tambukaleli mjini Geita. Kamanda wa polisi mkoani Geita Joseph Konyo amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa 11.30 jioni katika eneo la benki ya NMB ambapo

Mahakama ya Malaysia yazuia kanisa katoliki kutumia neno 'Allah' kumaanisha Mungu

0
0
Mahakama ya juu zaidi nchini Malaysia imelikataa ombi la kanisa katoliki nchini humo kubadili msimamo wake ili liweze kutumia neno ‘Allah’ kumaanisha Mungu kwa lugha ya kiarabu.   Hata hivyo baada ya mahakama hiyo kutoa amri yake, serikali ya nchi hiyo ilitoa tamko lake kwa vyombo vya habari Jumatatu wiki hii ikieleza kuwa amri hiyo ya mahakama itatumika tu kwenye magazeti ya kanisa

Nando atangaza kuacha kutumia dawa za kulevya (unga)....Asema bado anatumia Bangi kwa hivi sasa japo amepunguza kidogo

0
0
Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Ammy Nando ameweka wazi kuwa alikuwa mmoja kati ya waathirika wa dawa za kulevya.   Akiongea katika kipindi cha Hatua Tatu ha 100.5 Times Fm, Nando amesema alikuwa anatumia dawa hizo za kulevya kwa muda mrefu na kwamba hadi leno ni wiki ya 16 tangu afanye uamuzi wa kuacha.   Akizungumzia sababu zilizompelekea kutumia dawa za

Kimenuka CHADEMA: Tazama Picha 7 za Wanachama wa chama hicho wakiandamana na Mabango kupeleka barua kwa Mkaguzi wa Hesabu za Serikali [CAG] na msajiri wa vyama vya siasa.

0
0
Ikiwa ni siku ya tatu tangu katibu wa Chadema mkoa wa Tabora kwa niaba ya wajumbe 82  kwa pamoja kuzungumzia maswala mbali mbali waliyosema yanatishia ustawi wa chadema, leo wameenda kwa msajiri wa vyama pamoja na mkaguzi wa mahesabu ya serikali CAG.    Mapema leo wamekwenda kwenye ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa na kukabidhi barua yenye malalaiko mbali mbali juu ya walichokisema

Magazeti ya Leo Alhamisi ya tarehe 26 Juni 2014

0
0
                                  Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  tarehe  26  Juni  2014

Jaji Werema amfananisha Mbunge Kafulila na TUMBILI.....Tafrani yaibuka, Mawaziri waokoa Jahazi

0
0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbili.   Kabla ya kutoa kauli hiyo, Werema alikuwa akitoa ufafanuzi wa mwongozo ulioombwa na Kafulila, kuhusu fedha zilizokuwa katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ambazo zimelipwa kwa kampuni ya PAP,

Team Wema, Team Kajala Kuvunjwa.....Yadaiwa ndo chanzo cha Ugomvi wa Wema Sepetu na Kajala.

0
0
Makundi  mawili  hasim  ya  wasanii  wa  filamu  Bongo, Wema  Sepetu  na  Kajala  Masanja  yajulikanayo  kama  'Wema  Team'  na  'Kajala  Team'  yanatarajiwa  kuvunjwa  kwani  ndio  yameonekana  kuchochea  bifu  la  wawili  hao  ambalo  limekuwa  likionekana  kuisha  na  kuibuka  tena.... Akizungumza  na  mwanahabari  wetu, Kajala  amesema  kuwa  tatizo  lao  limekuwa  likichochewa  na 

JWTZ kuanika tena zana zake za Kivita jijini Dar katika kongamano kubwa la kijeshi....Kampuni 32 zinazozalisha na kuuza silaha za kivita zitashiriki kongamano hilo

0
0
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatarajiwa kufanya maonesho ya zana zake za kivita zinazotumiwa na askari wa nchi kavu kuanzia Julai 14 hadi 16, mwaka huu wakati wa kongamano kubwa la kijeshi ambapo ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo nchini.   Kampuni zaidi ya 30 zinazotengeneza silaha na vifaa vya kijeshi kutoka ndani na nje ya nchi

Lulu Michael, Tumuamini nani?......Kwa hili nakuona haupo Serious

0
0
Alisema  eti  aachwe  kwanza, eti  baada  ya  ule  mkasa  hataki  kabisa  kusikia  habari  za  mapenzi.Amini  usiamini , haukupita  muda  mrefu  skendo  za  mapenzi  zikaanza  kuvuma  tena. Tukaanza  kusikia  habari  za  kina  fulani  zikihusishwa  na  yeye.Alianza  yule  jamaa  handsome  asiyekuwa  na  jina  kubwa.Bila  kujulikana  alipotokea  akaibuka  na  kusema  alikuwa  na 

Diana Kimaro akimbilia Shule, Amuacha Lulu akipigika mtaani.

0
0
Baada  ya  kuwa  marafiki  kwa  muda  mrefu, Diana  ameamua  kumwacha  mwenzake Lulu   kwenye  mitaa  akipiga  misele  na  yeye  kukimbilia  shule  kuendelea  na  kidato  cha  tano..... Diana  amesema  kuwa asingeweza  kuishi  maisha  ya  anasa  na  umaarufu  bila  shule, hivyo  anaamini  baada  ya  elimu nzuri  hata  sanaa  atakayokuwa  anaifanya  itakuwa  tofauti  na  ile  ya  wengine 

Mtuhumiwa wa Wizi wa Pikipiki aokolewa na Askari Polisi Moshi

0
0
Askari polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia sheria mkononi kwa kumuadhibu baada ya kutaka kuiba pikipiki. Askari katika ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro walilazimika kufunga geti kuzuia kundi kubwa la madereva boda boda na watu wengine wakilazimisha

Taarifa ya Kanusho la kufariki kwa Mbunge Shukuru Kawambwa

0
0
Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge Shukuru Jumanne Kawambwa kutokana na Usumbufu ambao umesababishwa na habari zinazoenezwa Mitandaoni kwamba Mheshimiwa Kawambwa amekumbwa na Umauti akiwa njiani anaelekea Mwanza.

Uchaguzi Mkuu CUF: Profesa Lipumba na Maalim Seif WAPETA katika nafasi zao za Mwenyekiti Taifa na Katibu mkuu

0
0
Mkutano Mkuu wa CUF Taifa umemchagua tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kuendelea na wadhifa huo kwa kupata kura 675, sawa na asilimia 99.5 ya kura zilizopigwa.    Mkutano huo pia umemchagua Prof. Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa kupata kura 659 sawa na asilimia 95.5 na kumshinda mpinzani wake Chifu Lutalosa Yemba aliyepata kura 30 sawa na asilimia 4 nukta 3.   

Cheki hii picha ya Professor Jay akiwa enzi zake za zamani

0
0
Hii  ni  Picha  ya Professor Jay ambayo  kaishare ikimuonyesha yupo na mdogo wake enzi zao za zamani.   <!-- adsense -->

Hii ndiyo nguo atakayovaa Diamond kwenye red Carpet ya BET Awards

0
0
BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye Red Carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali siku ya tukio.    Hii ni sehemu ya nguo ambayo atavaa siku ya tukio na imetengenezwa na Sheria Ngowi, sehemu moja imeandikwa Mr Diamond Platnumz. Haya ni maneno aliyoandika

Majibu Ya Diamond Kwa Wanaodai Aliwaibia Nyimbo Ukiwemo Mdogomdogo alioutoa juzi

0
0
Mwanamuziki Diamond amefunguka kuhusu madai ya baadhi ya wasanii kuwa aliwaibia idea au nyimbo zao na kuzifanya zake.   Ameeleza kuwa malalamiko yao hayana ukweli kwa kuwa kuna maneno  ambayo yamezoeleka na yanaweza kutumiwa na watu wote lakini anapoyatumia hutokea msanii aliyetumia maneno kama yale na kudai kuwa ameiba idea yake. Ametoa mfano wa nyimbo kama Moyo Wangu ambao anasema

Sakata la Mwanafunzi wa darasa la Saba aliyebakwa na kulawitiwa na wanaume watatu kwa mpigo mkoani Pwani

0
0
Denti mmoja wa kike wa darasa la saba anayesoma katika Shule ya Msingi Chanzige B iliyopo Kisarawe, Pwani amejikuta katika wakati mgumu baada ya kulawitiwa na kusababishiwa maumivu makali sehemu zake za siri.    Simulizi ya binti huyo inayouma sana, inaeleza kuwa denti huyo alifanyiwa unyama huo na vijana watatu ambao bado hawajafahamika majina yao mara moja lakini amekuwa akimtaja

Serikali yapiga Marufuku tabia ya Trafiki kuvizia magari barabarani kwa kujificha Vichakani

0
0
Serikali imepiga marufuku tabia ya askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kuvizia magari katika barabara kuu wakiwa na kifaa cha kupima mwendo kasi wa magari.   Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Peraira Silima, alisema tabia hiyo ya trafiki ni kinyume cha sheria na zinaweza kusababisha ajali.    Hata hivyo, Silima aliwataka madereva kutii Sheria za Barabarani ikiwemo

Wema Sepetu na Penny Wagongana Studio.....Kila mmoja amkwepa mwenzake

0
0
Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa mwenzake. Tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Posta, jijini Dar katika Studio za Amaya ambayo ni saluni inayotumika kurekodia vipindi mbalimbali vya Mkasi vinavyorushwa kupitia Runinga ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images