Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

UDSM Watii Agizo la Waziri Ndalichako....Wanafunzi 682 Waliofutiwa Usajili Warejeshwa Chuoni

$
0
0
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimewarejesha wanafunzi 682 waliokuwa wamefutiwa usajili na chuo hicho.

Akizungumza katika mahojiano na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Jumanne Oktoba 23, 2018 Naibu Makamu Mkuu -Taaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Bonaventure Rutinwa amesema wanafunzi wote waliokuwa wamefutiwa usajili wameshapewa taarifa ya kurejeshewa usajili wao.

Amesema huo ni utekelezaji wa maazimio ya kikao kilichoitishwa jana Oktoba 22, 2018  na Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako kikihusisha uongozi wa UDSM na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU).

Amesema kabla ya uamuzi huo wa jana, wanafunzi hao walikuwa wamepewa taarifa kuwa usajili wao umefutwa.

Amewataka wanafunzi ambao hawakupata taarifa za kurejeshewa usajili wawasiliane na chuo ikiwa ni pamoja na kufika chuoni kuchukua barua zao.

“Tumewajulisha TCU kuwa mwaka huu tuna uwezo wa kudahili wanafunzi wapya 14,660 na tukaainisha kwa kila programu,” amesema na kubainisha kuwa  chuo hicho bado kina nafasi 4,000 ambazo ziko wazi baada ya kudahili wanafunzi zaidi ya 7000.

Amesema licha ya leo kuwa ratiba ya kufungwa kwa ajili ya maombi kwa awamu ya nne, UDSM imeongeza muda wa siku tano ili kuwapa fursa wanafunzi ambao hawajaomba.

Profesa Rutinwa amebainisha kuwa mkanganyiko wa udahili ulitokana na tafauti iliyopo kati ya idadi ya wanafunzi wanaohitajika chuoni na kanuni zilizopo katika kitabu cha mwongozo wa TCU.

‘Mkanganyiko wa udahili UDSM umetokana na mfumo mpya ambao wanafunzi wanapaswa kupeleka moja kwa moja maombi kwa vyuo wanavyovitaka na TCU ikibaki kwenye kudhibiti ubora,” amesema.

“Katika kutekeleza hilo wanafunzi wengi waliomba UDSM sisi tukawachagua lakini baada ya uchaguzi unapaswa kuwapeleka TCU kuwaangalia kama wana vigezo na uwezo.”

Ameongeza, “‘Tulipopeleka wanafunzi wetu katika baadhi ya programu TCU wakasema idadi tuliyowapa  ni kubwa kuliko idadi inayoonekana kwenye kitabu cha mwongozo wa udahili, lakini sisi tukawa tunaona ni suala la tafsiri ya kanuni kwa sababu hizo kanuni ziliwekwa wakati TCU wakiwa wanapokea maombi.”

Wakulima Wagoma Mbele ya Naibu Waziri kuuza korosho......Wanunuzi Walikuwa Wanatoa 2700 kwa Kilo, Mwaka Jana Kilo Ilikuwa 4000

$
0
0
Mnada  wa kuuza korosho wilayani Newala na Tandahimba, Mkoa wa Mtwara umevunjika.

Ulivunjika jana mbele ya Naibu Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji, Omary Mgumba baada ya wakulima kukataa kuuza korosho ghafi katika mnada wa wazi wa kwanza uliofanyika Kijiji cha Makukwe, Wilaya ya Newala.

Wakati wa mnada huo kulikuwa na kampuni 15 zilizotuma zabuni za kununua korosho ghafi kwa bei ya juu ya Sh 2,717 kwa kilo moja na bei ya chini ikiwa ni Sh 1,711.

Wakati wanunuzi hao wakitaka kununua kwa bei hiyo, msimu uliopita katika mnada wa kwanza, kilo moja ya korosho ilinunuliwa kwa Sh 3,850.

Pamoja na hali hiyo, ununuzi wa korosho mwaka huu wanunuzi wanatakiwa kufika wenyewe katika minada wakiwa na barua za zabuni tofauti na misimu iliyopita ambayo walikuwa wakipeleka barua katika vyama vikuu na kusubiri minada.

Akizungumza baada ya wakulima kukataa kuuza korosho zao, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gellasius Byakanwa, aliwapongeza na kusema wamefanya uamuzi sahihi kwa kuwa wanunuzi wamekuwa wakiwaibia kwa kuwapangia bei ya kununua zao hilo.

“Wingi wa wanunuzi waliofika hapa haukuwa wa kawaida kwani wengine walifika kuangalia bei ya korosho hali ambayo ilionesha wana uhitaji wa bidhaa hiyo.

“Kwahiyo, nawapongeza wakulima kwa kusimamia thamani ya korosho yetu kwani hata tathmini niliyoifanya wakati barua zikisomwa, inaonesha wanunuzi walikuwa wamepanga bei.

“Kwa kweli mmenifurahisha sana kwani mahitaji ya korosho ni makubwa.

“Pamoja na kwamba leo mnada haukufanyika, bado naamini watakuja tu, yaani hakuna namna, korosho zetu ni bora hatuwezi kulima sisi na kuzihudumia kwa gharama kubwa halafu wanunuzi watupangie bei ya kuuza, haiwezekani,” alisema Byakanwa.

Awali akifungua mnada huo, Naibu Waziri Mgumba alisema wakulima wanapaswa kuandaa korosho katika ubora unaofaa sokoni kwa kuwa ubora mdogo husababisha bidhaa kuwa na bei ndogo.

Aliwataka wakulima hao kutunza ubora za korosho ili kuliongezea thamani zao hilo kwa kuwa litahitajika zaidi katika soko la dunia.

“Kamwe tusitumie vibaya fursa hiyo kwa sababu korosho zetu ni nzuri na zinajiuza sokoni. Lazima tukemee udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wakulima wanaosababisha ubora wa korosho zetu kuwa mdogo,” alisema Mgumba.

Watoto wa Familia moja wachinjwa Kinyama Huko Bukoba

$
0
0
Watoto wawili wa familia moja wamechinjwa na miili yao kutupwa kichakani katika kijiji cha Mashule wilayani Bukoba Mkoa wa Kagera, ikiwa ni baada ya kupotea kwa siku moja.

Mkuu wa Wilaya hiyo,  Deodatus Kinawilo amethibitisha tukio hilo na kubainisha kuwa amewaagiza polisi kufanya uchunguzi na kuwakamata wahusika wa tukio hilo.

Amewataja watoto hao kuwa ni Auson Respikius (7) na Alistidia Respikius (5) walioondoka nyumbani Jumapili Oktoba 21 na miili yao kupatikana jana.

Baba wa watoto hao,  Respikius John amesema waliaga wanakwenda kucheza na wenzao, aliwaogesha na kuwaandalia nguo.

Amesema baada ya kucheza walirejea nyumbani jioni na kubadili nguo na kuondoka tena lakini hawakuonekana hadi miili yao ilipokutwa kichakani.

BREAKING: NECTA Yatangaza Matokeo ya Darasa la 7.....Yatazame Hapa

$
0
0
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2018 ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.76% tofauti na ufaulu wa 2017 ambao ulikuwa asilimia 72.76%

Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde, amesema katika tathmini ya awali kiwango cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 4.9% ikilinganishwa na 2017, amesema pia kiwango cha ufaulu wa somo la Kiingereza uko chini sana tofauti na masomo mengine (50%).

NECTA pia limewafutia matokeo watahiniwa 357 waliobainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani iliyofanyika mwaka huu 2018.

“Baraza limezuia kutoa matokeo ya watahiniwa zaidi 100 kutokana na kuugua kipindi cha mtihani na kuwapa fursa ya kufanya mtihani huo mwaka 2019,” amesema Msonde.

==>>Kutazama matokeo hayo



Related: Necta, matokeo darasa la saba 2018, baraza la mitihania

Pete za Bahati Zenye Nguvu ya Kukufanya Pesa Yako Isipotee Hovyo

$
0
0
Hapa Leo tutazungumzia Pete za Majini zenye Bahati na power yani nguvu za ziada na pia ukipata pesa zikae sio kukutoka, na pia zipo Pete zenye nuksi lakini wewe ukiivaa utaiyona nzuri kumbe inakufanya Nyota yako kufifia kila kukicha bila wewe mwenyewe kujua maana jini mwenye Pete aina ya Aina kwenye picha itazame kwa makini ina Vito vingapi
 
Pili inatakiwa kuvaliwa mkono gani na kidole kipi ...piga picha Pete yako nitakwambia jinsi ilivyo na jina lako .Kwa wale watu wanao chimba madini pia wana aina za Pete za kuvaa sio Pete ni Pete tu unakuta mtu yupo miaka kumi haja pata kitu 

Nakushauri ipo Pete itakayo kuonyesha njia Rahisi ya mafanikio yako, haina masharti hiyo uliyo ivaa ivue iweke kwenye kisahani ipake marashi rose km una biashara iweke kwenye biashara yako ...je kuna mabadiliko ya mauzo au wateja kuja ?

Ukiona hakuna mabadiliko uliza nitakusaidia, Ila piga picha unitumie aina ya pete uliyo nayo 

Unaweza vaa Pete ya ndoa ukachanganya na pete yenye kito ukaona umependeza kumbe umeongeaza matatizo ktk ndoa yako 

Au mwanaume kulala na wewe na kukuacha bila sababu alikuwa anakusaidia na akaondoka ghafla hata kwa wanaume kumchoka mwanamke au mkewe ndani ya nyumba bila sababu yoyote ile Ila akiivua nyumba huwa na amani sana.

Pia hata kwa wasanii namaanisha waimbaji pia utakuta mtu anavuma hafla anafifia bila kujua nini kimemsibu na nakutafuta kupanda inakuwa tabu anabakia kuongea kuwa amerogwa au amefungwa laa wasanii wengi waimbaji wanakuwa na jini ambae hawamuoni ambae huyo humpa pawa kubwa bila yeye kujitambua.

Pili ni lazima awe na kiti chake ambayo ni pete yenye Power yaani nguvu za ziada kupendwa ila si Rahisi kwa jambo kama hili au  kwa Pete hii kuipata ina siri kubwa sana  utajikuta unaimba mpaka unakata tamaa..

Whatsapp/Call 0769160792 -Chief Sultan

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni dawa pekee iliyotibu watu wengi nchini na nje ya nchini kwa kufanya kazi Mara 3 kwa wakati mmoja 1 ...kurefusha uume na kunenepesha saizi upendayo, kuogeza nguvu za kiume na inatibu matatizo , ikisha tibu aina madhara inaimalisha mishipa ilio regea na uzalishaji wa mbegu za kiume. TAHADHARI HAKIKISHA UNA MKE AU    MPENZI. 

NINI HUCHANGIA MATAZO HAYA . Ngiri ni chanzo Kikubwa cha matatizo,haya kujua kwamba una ngiri dalili zake ni 1.kufika haraka kileleni wakati  watendo la ndoa 
2.Kushindwa kulundia tendo la ndoa 
3.Kutoa choo kama cha mbuzi 
4. Tumbo kujaa gesi na kuunguruma 
5 kukosa choo kabisa 
6 Maumbile kuingia ndani na kuwa mafupi 
7 korondani moja kuvimba 
8 kutosikia hamu ya tendo la ndoa
 9 maumivu ya kiuno na mgongo  

Pia tunatibu busha bila kufanyiwa opresheni .Umeachwa na umpendae na bado unamwitaji?

WASILIANA  NA MTALAM  CHALLO 0714 006521. YUPO MBAGALA.

Kuwa Wakwanza Kupokea Habari Zetu....Download App Yetu Kwa Kubonyeza Hapa, Huhitaji tena kuwa na Computer

$
0
0
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa urahisi kabisa kupitia simu yako ya mkononi muda wowote hata usiku wa manane au ukiwa kazini...

Pata kurasa za mbele Magazetini, habari za kitaifa, matukio yote ya kisiasa, burudani na udaku   kupitia simu yako ya mkononi.

Huhitaji tena kuwa na Computer. Ingia Play Store, pakua App yetu  tukuhabarishe masaa 24.

Upelelezi kesi wathamini madini haujakamilika.....Hakimu Atoa Neno

$
0
0
Upelelezi  wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili vigogo wawili wa serikali, wathamini wa madini ya almasi, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  haujakamilika.

Jana, kesi hiyo ilitajwa mahakamani hapo na Wakili wa Serikali, Tulia Helela, aliyedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, kuwa upelelezi  haujakamilika.

Alidai  jalada la kesi hiyo lipo kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na kuomba ipangiwe tarehe nyingine ya kutajwa.

Hakimu Mashauri alisema kesi hiyo ni ya muda mrefu kwa sababu  jalada lilikuwa kwa DPP likapelekwa kwa DCI na likarejeshwa kwa DPP, Juni 18 mwaka huu.

Aliutaka upande wa mashitaka kuwatendea haki washtakiwa.

Hakimu Mashauri aliahirisha kesi hiyo hadi Novemba 5, mwaka huu itakapotajwa tena kuangalia kama upelelezi utakuwa umekamilika.

Washtakiwa wanaokabiliwa na kesi hiyo ni Mkurugenzi wa Uthaminishaji Almasi na Vito Tanzania  (Tansort), Archard Kalugendo na Mthamini Almasi wa Serikali, Edward Rweyemamu ambao ni waajiriwa wa Wizara ya Nishati na Madini.

Washtakiwa hao wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wakidaiwa kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 2.4.

Wanadaiwa kutenda kosa hilo kati ya Agosti 25 na 31, 2017 katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Dar es Salaam na Shinyanga.

Washtakiwa hao wanadaiwa kwa pamoja wakiwa wathaminishaji wa almasi wa serikali na waajiriwa wa wizara hiyo, waliisababishia serikali hasara ya Dola za Marekani 1,118,291.43.

Waziri wa Kilimo Dk Charles Tizeba Aipinga Ripoti ya Polisi Kuhusu Ajali Iliyoua Wafanyakazi Watano wa Wizara Hiyo

$
0
0
Waziri wa Kilimo Dk Charles Tizeba amepinga taarifa ya Polisi Mkoa wa Singida kuhusu ajali ya gari ya wizara hiyo iliyosababisha vifo vya wafanyakazi watano wa wizara.

Ajali hiyo ilitokea Jumapili Oktoba 21 mkoani Singida baada ya gari lao aina ya Mitsubishi Pajero kugongana uso kwa uso na lori.

Muda mfupi baada ya kutokea ajali hiyo zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikionyesha gari hiyo kuwa katika spidi 89 katika eneo lenye kibao kinachoonyesha spidi inayotakiwa ni 50.

Akitoa salamu za rambirambi katika ibada ya mazishi ya  watumishi hao leo Oktoba 23, 2018, Dk Tizeba amesema jana alitumia muda mwingi kuzungumza na wananchi na dereva wa roli lililosababisha ajari hiyo.

"Nawaomba polisi wa Singida warudie taarifa zao, wamehukumu na mitandao mbalimbali nayo imehukumu. Hili si kweli hata kidogo. Napinga taarifa zile zimejaa upotoshaji na hukumu isiyo ya kweli," amesema Tizeba.

Waziri Tizeba amesema mita chache kutoka  eneo ilipotokea ajali hiyo kuna tuta kubwa ambalo gari haliwezi kupita likiwa katika mwendo mkali.

Hata hivyo, amekiri dereva wa gari hilo alikuwa akiyapita magari mengine na kwamba lori lililogongana na gari hilo la wizara lilikuwa limeegeshwa pembeni lakini liliingia ghafla barabarani.

Watumishi hao ni Stella Joram Ossano (39), Esta Tadayo Mutatembwa (36), Abdallah Selemani Mushumbusi (53), Charles Josephat Somi na Erasto Mhina (43).

Mahakama Kuu Yatupa pingamizi uuzwaji hoteli Ya Tai Five ya Jijini Mwanza

$
0
0
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, imetupilia mbali mapingamizi mawili yaliyowekwa na wakili wa upande wa mlalamikiwa namba mbili, mfanyabiashara wa mabasi ya Batco, Baya Malagi, kwenye kesi ya mauziano ya Hoteli ya Tai Five ya   Mwanza.

Kesi hiyo ya madai ya ardhi namba 46 ya mwaka  2017 ilifunguliwa na aliyekuwa mmiliki wa hoteli hiyo iliopo Nyamanoro jijini hapa, Christopher Tarimo, mwaka 2017 katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.

Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, Issa Maige alitoa hukumu hiyo jana katika kesi ya msingi.

Alisema   mapingamizi ya  sheria yaliyowekwa na wakili upande wa mlalamikiwa namba mbili, mfanyabiashara Kusaga Malagi   hayana msingi.

Mapingamizi hayo mawili yalikuwa ni kufanana kwa shauri lililokuwapo mahakamani hapo mwaka 2011 na pingamizi jingine lililowekwa, kuwa ni usumbufu kwa mahakama kusikiliza kesi kwa mara nyingine.

Upande wa mujibu maombi namba moja ambayo ni  Benki ya CRDB uliwakilishwa na Wakili Galati Silwane,  huku upande wa mlalamikiwa namba mbili ukiwakilishwa na Wakili Emmanuel Anthony.

Upande wa mlalamikaji Christopher Tarimo uliwakilishwa na mawakili Julius Mushumbusi na Mwita Emmanuel kutoka Kampuni ya Wanasheria ya Kailu Law Chembers.

Baada ya kusikilizwa  pande zote mbili kuhusu hoja hizo, Jaji Maige alisema  mahakama imeona kulikuwa na utata mkubwa katika mauziano ya Hoteli ya Tai Five yaliyofanyika kati ya mlalamikiwa namba moja na mbili.

Jaji alisema   mauziano hayo pia yalighubikwa na  mambo ya sintofahamu  na  kwamba mauziano hayo yalifanyika bila kukazia hukumu ya kesi namba 4 ya 2011.

Pia alisema mauziano ya wajibu maombi yanaonekana kama yalifanyika baina ya waleta maombi  ambao ni Tai Five Ltd na Christopher Tarimo na mjibu maombi namba moja  ambayo  ni The Mogeji Instruments.

Waandishi walipomtaka wakili wa upande mlalamikaji, Mwita Emmanuel  kuzungumzia uamuzi huo alidai suala hilo wanaiachia mahakama yenye mamlaka ya kutenda haki.

Makanga 3 Power; Dawa Bora Nguvu Za Kiume

$
0
0
Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE.

Tiba ya kudumu kutibu maumivu ya mgongo,kiuno, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kupata choo vizuri, na kutibu uzazi, kutibu busha bila operesheni, kisukari, presha ,miguu kuuma, uzazi, fangas sugu, vidonda vya tumbo.

Ni docta bingwa wa kutibu magonjwa sugu, kutoa ndagu za utajiri kwa kutumia Pete, kazi ,cheni, mikufu maalumu ya bahati, una kesi umedhulumiwa Mali au pesa? Zitarudi muda wa Masaa matatu tuu.

Onana na Dr shilindes shida zako zote zitakwisha, anatoa Dawa za utajiri kwa wafanyakazi, wakulima, na wafugaji, wafanyabiashara na wachimba madini kwa kutumia pete, kazi kwa yeyote anaetaka kuwa na pesa nyingi.

Pia anaboresha akili kwa wanafunzi darasani, masomo na kufaulu mitihani pia kushinda bahati nasibu yeyote.

Pia tunatoa Dawa kumrudisha Mume, mke, mpenzi, hawara, kwa muda wa SAA moja tuu, na kuomba msamaha kwa kukupigia magoti na yeyote yule, unaemtaka kimapenzi au kuoana, utampata na kumfunga asitoke nje ya ndoa daima na kutekeleza shida zako zote. Kupunguza unene, kupunguza matiti makubwa, tumbo na nyama uzembe muda wa siku sita unapata saizi uipendayo.

Kutoa makovu mwilini, chunusi, upele na mabaka, pia tunayo Dawa ya kuongeza hipsi, makalio, mguu wa bia na kupata shepu safi kwa muda wa siku saba tuu.

Wa mikoani mtapata huduma popote mlipo.
Tupo dar es salam mbagala rangi tatu.

Mawasiliano simu namba: 0784 460 348.

Okoa Ndoa Yako Mke,Mume Na Afya Yako Sasa Kwa Kutumia Dawa Za Asili

$
0
0
Asilimia kubwa ya binadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wengi wamejaribu kutumia tiba sehemu tofauti bila mafanikio na  kukata tamaa hasa kina baba ambao ndoa zao au mahusiano yao na wapenzi wao yapo hatarini kuvunjika kwa sababu Mume hana uwezo wa kumridhisha mpenzi wake 

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MKE AU MPENZI WAKO SABABU ETI UNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME MDOGO: tumia dawa ya NSENWA POWER ;dawa hii hutibu na kuponesha tatizo la  nguvu za kiume .

1 itakupa uwezo wa kurudia tendo zaidi ya Mara tatu 
2 itakupa uwezo kuchelewa kukojoa mda wa dakika 15-20 na kumfanya mpenzi wako naye aridhike 
3 huimalisha misuri iliyo legea na kusinyaa 

JE UNA UUME MFUPI NA MWEMBAMBA : tumia dawa ya MASHESHE NO 2; hii huboresha uume saizi upendayo kuazia urefu wa inch 5,6,7,8 na unene  wa sentumita 2,3,4,5, dawa hizi hazina madhara yeyote kwa mtumiaji hata wazee hutumia na kupona 

MASANZA ni dawa ya vidonda vya tumbo zipo dawa za mvuto wa biashara ,mpenzi,uzazi ngiri,korodani kuvimba miguu. mgongo,kiuno kuuma nk 

MAHALI ILIPO OFISI UNAWEZA UKASHUKIA BUGURUNI MALAPA AU BUGURUNI ROZANA na MWANZA YUPO WAKALA pia unaweza ukaletewa popote ulipo wasiliana nami 0783185060  0752348593 DR AGU

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Yatoa TAHADHARI Kwa Wanaotumia Usafiri wa Majini

$
0
0
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi nwanaotumia usafiri wa majini kufuatia kuwapo kwa upepo mkali.

TMA imewataka  watu wawe makini na mamlaka zinazoshughulika na usafiri wa majini ziwe makini kwa kuchukua tahadhari kuhakikisha hakuna maafa yanayoweza kutokea.

Upepo huo mkali utavuma kwa siku tatu kwenye Ukanda wa Pwani ya Bahari ya  Hindi na maziwa yote makuu ikiwamo Nyasa, Viktoria na Tanganyika na mikoa yote iliyopakana na maeneo hayo, ikiwamo na mikoa ya kanda ya kati.

BREAKING: Shule 10 na Wanafunzi 10 Bora Kitaifa Matokeo ya Darasa la Saba 2018

$
0
0
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetaja shule 10 bora kitaifa zilizofanya vizuri katika matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi, huku mikoa iliyopo Kanda ya Ziwa ikitoa  shule sita katika orodha hiyo.

Shule hizo ni Nyamuge (Mwanza), Twibhoki (Mara), Kwema Modern na Rocken Hill (Shinyanga),  Jkibira, St Achileus Kiwanuka, St Severine na Rweikiza (zote Kagera).

Shule iliyoshika nafasi ya kwanza katika shule 10 bora ni  Raskazone ya Tanga huku St Anne Marie ya jijini Dar es Salaam ikishika nafasi ya sita.

Pia,  wanafunzi sita kati ya 10 waliofanya vyema kitaifa katika mtihani huo pia wanatokea shule za kanda ya ziwa.

Dk Msonde amewtaja watahiniwa 10 bora kitaifa na shule zao kwenye mabano ni Ndemezo Lubonankebe (Kadama-Geita), Innocent Seleli (Carmel-Morogoro), Given Malyango (Tumaini Junior –Arusha), Diomedes Mbogo (St Achileus Kiwanuka-Kagera), Sweetbert John (Mingas-Shinyanga).

Najma Manji (Nyamuge-Mwanza), Beatrice Jeremiah (Mapinduzi B-Mara), Mohamed Abdirahman Mohamed na Luqman Ally (Raskazone-Tanga) na Francisco Maiga (Kadama-Geita).

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume,maumbile Madogo, Mvuto Wa Mapenzi ,magonjwa Sugu

$
0
0
Matatizo ya nguvu za kiume  yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujiona wakotofauti sana na wengine, kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hili, chango :- hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngiri :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba namarakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kukosa kabisa

MIHINI:- Nidawa ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-80) inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) ,inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uwe na hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi ya maratatu bilahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kilelen Kwa mda wa dk (18-25).

SUNUPER :- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwamda mfupi sana , ni Dr GALIMU mtatuzi wa matatizo yako kunadawa ya kupunguza unene, kitambi (nyamazembe),matiti makubwa kuwa madogo, uzazi, kuludisha mali iliyopotea, kuuzavitu bila kununuliwa, biashara, wachimba madini kusafisha nyota, kuludishwa kazini mvuto wa mapenzi nk.

KWAHUDUMA NA MSAADA WASILIANA NA DR GALIMBO ATAKUSAIDIA SM NO :- 0744391089  au  0653182109

Azam Marine, Kilimanjaro Fast Ferries Zasitisha Safari za Zanzibar

$
0
0
Kampuni  ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, zimesitisha safari zake kati ya Dar es Salaam na Zanzibar kuanzisha leo Oktoba 23, 2018, kutokana na hali mbaya ya hewa baharini.

Kampuni hizo zimefikia uamuzi huo baada ya Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Hali ya Hewa (Zanzibar) kutoa taarifa zikieleza kuwa hali ya hewa si salama.

Kwa wanaotaka maelezo zaidi wawasiliane na kampuni za Azam Marine na Kilimanjaro au wafike katika ofisi zao.

NECTA Yaitangaza Shule Nyingine Kinara Wizi wa Matokeo Darasa la Saba Mwaka Huu

$
0
0
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limekitaja kituo kilichokuwa kitovu ya mtandao wa wizi wa mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi.

Oktoba 2, 2018  Necta ilitaja orodha ya shule zilizofanya udanganyifu na kuvujisha mtihani wa Taifa wa darasa la saba uliofanyika Septemba 5 na 6, 2018.

Ilifuta matokeo ya shule zote za Halmashauri ya Chemba mkoani Dodoma, Shule ya Kondoa Integrity (Kondoa, Dodoma), Hazina, New Hazina, Aniny Nndumi na Fountain of Joy (Dar es Salaam), Alliance, New Alliance na Kisiwani za Mwanza.

Oktoba 9, Necta ilizitaja shule nyingine zilizoongezeka katika mtandao huo wa wizi kuwa ni Atlas (Ubungo), Atlas (Madale) na Great Vision zote za Dar es Salam.

Akizungumza leo Jumanne Oktoba 23, 2018 wakati akitangaza matokeo ya darasa la saba, Katibu mtendaji wa baraza hilo, Dk Charles Msonde amesema wizi huo ulifanyika katika kituo cha Nyanduga kilichopo halmashauri ya Lorya mkoani Mara.

"Uchunguzi umekamilika na baraza limejidhihirisha kuwa wamiliki wa shule na walimu wao walishirikiana kupata mitihani kwenye kituo teule cha shule ya msingi Nyanduga,” amesema.

Amesema baada ya kupata mitihani waliisambaza kwenye  shule nyingine ikiwamo  Hazina, New Hazina,  Alliance na New Alliance zilizopo halmashauri ya Mwanza ambazo zote zilifutiwa matokeo.

"Walitumia viongozi wa elimu wa ngazi mbalimbali katika halmashauri ya Lorya ili wizi huu uweze kufanikiwa," amesema.

Amewataja baadhi yao kuwa ni maofisa elimu, wasimamizi wa mitihani pamoja na walinzi. Amesema baadhi ya maofisa walifanya udanganyifu kwa kuchukua mitihani saa saba usiku.

"Kulikuwa na Marwa Mtatiro ambaye alikuwa mkuu wa Shule ya Nyanduga  pamoja na mwalimu Emma Macha aliyekuwa msimamizi mkuu wa kituo," amesema.

Amesema hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa wahusika kutokana na kuvunja viapo vyao.

Jakaya Kikwete: Tupo Tayari Kumsaidia Rais Magufuli Kwa Namna Yoyote Ile

Serikali Yaainisha Dawa 135 Kama Dawa Muhimu na za Kipaumbele

$
0
0
 WAMJW, BUNGENI DODOMA
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeainisha dawa aina 135 kama dawa muhimu na za kipaumbele cha wizara  kwa lengo la kuhakikisha kuwa zinapatikana nyakati zote katika bohari zote za kanda za MSD.


Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Janii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati  akitoa taarifa ya utendaji ya Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) aliyowasilisha katika kamati ya kudumu ya Bunge huduma na maendeleo ya jamii jijini Dodoma.

Waziri Ummy alisema tathimini ya upatikanaji wa dawa hizo  ni wa hadi mwezi Julai 2018 ambapo ni sawa na asilimia 93 hivyo Wizara yake imeitaka MSD kuongeza idadi ya dawa muhimu 177  na kufikia dawa za kipaumbele 312 ambapo upatikanaji wa dawa hizo ni asilimia 73 kufikia robo mwaka ya kwanza ya mwaka wa fedha 2018/2019.

“Hali ya upatikanaji dawa muhimu  umeimarika kuanzia mwaka 2016/2017  na kufikia asilimia 93 nchi nzima katika mwaka 2017/2018  na hivyo kuweza kufanikiwa katika maeneo mengi na kufikisha  dawa moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za afya nchi nzima”.Alisema Waziri Ummy Mwalimu.

Aidha, Waziri Ummy alisema MSD imeweza kusambaza dawa moja kwa moja hadi vituo vya kutolea huduma za afya vinavyofikia 5,432 nchi nzima kwa kutumia magari  215 na hivyo kusambaza dawa zenye thamani za shilingi bilionini 600 kwa mwaka kupitia mfumo wa ugavi ulio enea nchi nzima.

Hata hivyo Waziri Ummy amesema kuwa hivi sasa MSD inapeleka dawa mara 6 kwa mwaka na pale kwenye mahitaji ya dharura tofauti na zamani ambapo ilikua inapeleka dawa mara nne kwa mwaka.

Mbali na hayo Waziri Ummy alisema Bohari ya dawa imeendelea kuimarika kifedha katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hususan katika mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo Serikali iliongeza bajeti ya dawa, vifaa na vifaa tiba  na kuweza kutoa kiasi cha shilingi bilioni 80.1 na kwa mwaka wa bajeti 2018/2019 kwa robo hii ya mwaka imepokea shilingi bilioni 20.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewataka wafamasia wote wa Hospitali na vituo vya afya kupeleka orodha ya dawa  zilizopo kwenye stoo kwa madaktari kila mwanzo wa wiki.

“Wafamasia wote wa Hospitali na zahanati za Serikali wanatakiwa kuwapelekea madaktari orodha ya dawa zilizopo kwenye stoo ili kama dawa ya ugonjwa Fulani haipo Daktari awe na uwezo wa kuandika dawa mbadala kwa mgonjwa” amesema Dkt. Ndugulile.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya dawa nchini Bw. Laurean Bwanakunu amesema kuwa katika kuhakikisha upatikanaji wa dawa unadumu nchini wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi kujenga kiwanda cha dawa nchini.

“Tunatarajia mpaka kufikia Machi 2019 kukamilisha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi kujenga kiwanda cha dawa nchini ambapo utafanyika kwa haraka ili kukamilikia mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2019” alisema Bw. Bwanakunu.

Riwaya Kali: POWER - Sehemu ya 16

$
0
0
MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA- 0657072588
ILIPOISHIA  

Ndani ya lisaa moja mameneja kumi na mbili pamoja na wanasheria wawili wakafika nyumbani humu, huku kila mmoja akishangazwa na wito wangu, kwani haukuwa ni wito wa kubembeleza zaidi ya kuwa wito wa kuamrisha.
“Kijana mdogo inakuwaje unatuita kwa kutuamrisha?”
Mzee mmojaa alizungumza kwa kufoka huku wakiwa wamekaa sebleni hapa.
“Mzee kabla sijamaliza kuzungumza nilicho waitia kuanzia hivi sasa huna kazi”
Maneno yangu yakawafanya watu wote kustuka sana, hata dada Mery mwenyewe akaonekana kustushwa kwani maamuzi yangu hakuna hata mmoja aliye yataarajia kwamba nitayatoa hivyo.
   
ENDELEA
“Sina kazi, wewe ni nani ambaye unanisimamisha kazi”
Mzee huyo alizungumza kwa ukali sana huku akinitazama usoni mwangu. Mwanasheria wa familia akasimama.
“Samahani kwa kuweza kuwaingilia katika hili, ila nina jambo ninaomba niweze kulizungumza na kuliweka sawa kwenu nyote.”
Mwanasheria akafungua brufcase yake na kutoa faili moja jeusi.
“Hili hii faili jeusi, nina amini nyinyi nyote humu ndani munaweza kutambua na kuelewa ni kitu kinacho husiana na faili hili. Huyu ni Ethan Klopp, ni mtoto wa mwisho wa mzee Ethan. Mikaka miwii iliyo pita kabla ya tarehe ya leo mzee Klopp aliweza kuniita ofisini kwake na kunipa hii fomu hapa ambayo ni nguvu ya urithi”
 
“Mzee Klopp kwa akili zake yeye mwenyewe na ufahamu wake yeye mwenyewe pasipo kulazimishwa na mtu wa aina yoyote, aliweza kuacha urithi huu kwa kijana huyu Ethan Klopp. Urithi huu unampa Ethana nguvu ya kumiliki kila mali ambayo mzee Klopp ana miliki. Makapuni na majumba yote yapo chini ya Ethan. Hivyo naomba muweze kumsikiliza kijana huyu”
Mwanasheria mara baada ya kumaliza kuzungumza na kukaa chini. Mwanasheria wa makapuni yote naye akasimama. 
“Kama alivyo tangulia kuzungumza mwenzangu, hata kwa upande wangu huku nami niliweza kuachiwa fomu ya urithi inayo muonyesha Ethan Klopp ndio mrithi wa kila mali ya mzee. Asanteni”
Mwanasheria huyo mara baada ya kuzungumza hivyo akakaa chini na kuwafanya wazee hawa hususani aliye kuwa muongeaji sana kukaa kimya huku akiwa mnyonge kabisa.
“Nimewaita hapa kutoka nahitaji kuwapa taarifa mbaya.”
Wazee wote wakanitolea macho wakionekana kustuka.
 
“Dada Mery naomba ukamuite dokta Alfonce”
“Sawa”
Dada Mery akasimama na kupandisha gorofani, baada ya dakika kama mbili havi wakarudi huku wakiwa wameongozana na daktari. Daktari Alfonce akawasalimia viongozi hawa”
“Naomba uje hapa dokta”
Nilizungumza kwa ukakamavu hadi mimi mwenyewe nikajishangaa, kwa umri wangu huu, inakuwaje ninakuwa jasiri sana.
“Dokta naomba uzungumze nao kile kinacho endelea”
“Asante Ethan”
Daktari akakohoa kidogo kisha akanitazama usoni mwangu, kwa ishara ya macho nikamuomba aweze kuzungumza kile ambacho kinaendelea.
“Mzee Joradan Klopp amefariki dunia”
Watu wote humu ndani wakastuka huku wakinitazama usoni mwangu.
“Mzee Klopp alikuwa akisumbuliwa na saratani ya damu, amefariki jioni hii. Mukiwa kama watu wa karibu kabisa na hii familia tumeona ni vyema tuweze kuwapa taarifa awali kabisa kanbla taarifa hii haijatoka kwenye vyombo vya habari. Yangu ni hayo”
 
Baada ya daktari kuzungumza hivyo akaka kwenye sofa.
“Taarifa hii ni nzito kwa kila mmoja wetu. Tunacho hitaji ni ushirikiano wenu. Kwa upande wangu nimemaliza. Dada Mery una lolote la kuzungumza?”
Dada Mery akatingisha kichwa akimaanisha kwamba hana chochote cha kuzungumza.
“Daktaria ninaomba uandae utaratibu wa watu kwenda kumuona mzee kabla hatujakwenda kumuhifadhi hospitalini mwili wake”
“Sawa”
Nilipo maliza kuzungumza nikatoka nje ya nyumba hii. Nikaelekea kwenye moja ya bustani na kuanza kulia kwa uchungu sana kwa maana nimepewa jukumu moja zito nikiwa bado nina umri mdogo sana.
“Ethan”
Niliisikia sauti ya dada Mery nyuma yangu, nikegeuka na kumtazama.
 
“Ethan nahitaji kuzungumza na wewe kama itawezekana”
Nikajifuta machozi kisha nimkubalia kwa kutingisha kichwa.
“Pole kwa majukumu ambayo baba amekubebesha, natambua swala zima la kusimamia mali zake ni jambo gumu na zito na isitoshe kwamba una umri mdogo”
“Asante, ila dada wewe ndio msaada wangu mkubwa sana kwenye hili swala. Peke yangu siwezi, peke yangu nahisi nitashindwa”
Nilizungumza huku machozi yakitumwagika sote wawili. Tukakumbatiana kwa nguvu huku, baada ya muda kidogo tukaachiana mara baada ya kumuona mwanasheria wa familia akitufwata hapa tulipo simama.
“Samahani kwa kuwasumbua”
“Bila samahani”
“Je ninaweza kuwaita waandishi wa habari ili waweze kuitoa taarifa hii”
“Ndio”
“Sawa sawa”
Mwanasheria akaondoka na kutuacha wenyewe.
“Ethan kuna mtu unapaswa kumpa habari kabla ya yeye kuweza kuisikia kwenye vyombo vya habari”
“Nani?”
“Camila”
“Naomba unisaidie simu yako”
Nilizungumza kwa unyonge.
“Sijui hata nimeiacha wapi”
 
“Ngoja nikatumie simu ya ndani”
Nikaelekea ndani, nikachukua simu ya sebleni na kupiga namba ya shuleni kwa Camila. Simu yake ikapolewa na sekretari wa shule hiyo, nikajitambulisha na kutokana si mara yangu ya kwanza kupiga simu, nikakubaliwa kuongea na Camila na nikaombwa nisubiri kidogo ili aweze kwenda kuitwa.
“Ethan mama ameamka”
Daktari alizungumza huku akinitazama usoni mwangu.
“Sawa nina kuja kumuona”
“Sawa”
“Ethan”
Niliisikia sauti ya Camila akizungumza kwa furaha.
“Mambo”
“Poa mpenzi wangu, mbona unazungumza kwa unyonge hivyo kuna tatizo?”
“Ndio mpenzi wangu”
“Tatizo gani tena mpenzi wangu?”
“Baba amefariki”
“Nini!!?”
Camila aliniuliza kwa mstuko mkubwa sana.
“Ndio amefariki kama lisaa moja na nusu hivi “
“Ohoo Mungu wangu”
Camila alianza kulia taratibu.
“Amekufaje?”
 
“Ninakuomba uzungumze na mama na chukuru ruhusa uje huku”
“Sawa mume wangu, ninakuja sasa hivi”
“Sawa”
Nikakata simu, nikirudisha sehemu nilipo itoa kisha nikaelekea chumbani, nikamkuta bibi Jane Klopp akiwa amekaa pembeni ya mwili wa mume wake huku akiendelea kulia. Taratibu nikamsogelea na kulaza kichwa chake kwenye bega langu.
“Mama”
“Ethan bora ningeenda na mume wangu, kwa nini ameniacha peke yangu ehee?”
Mama alizungumza kwa uchungu sana, sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kumbembeleza. Mwanasheria akasimama mlangoni na kwa ishara akaniita.
“Mama nina kuja”
“Sawa”
Nikamuachia mama na nikamfwata mwanasheria wa familia.
“Waandishi wa habari wamesha fika”
“Umewaandalia sehemu ya kuzungumza nao”
“Ndio”
“Ninakuja”
“Sawa sawa”
Nikarudi sehemu alipo mama. Nikamshika mikono yake huku nikimtazama usoni mwake.
 
“Mama”
“Mmmm”
“Ninakwenda kuzungumza na waandishi wa habari”
“Sawa naomba ujikaze mwanangu”
“Sawa mama”
Nikamtazama daktari aliye kaa kwenbye moja ya sofa humu ndani.
“Nakuomba umtazame mama”
“Sawa sawa”
Nikatoka ndani humu na kuongozana na mwana sheria hadi kwenye moja ya bustani. Nikawakuta wana habari wengi wakiwa wamekusanyika huku wakiwa wamebeba kamera za kurekodi na kupiga picha za kila tukio ambalo linaendelea katika eneo hili. Nikamuona dada Mery akiwa amesimama mbali kidogo na hapa tulipo, nikamfwata na kusimama naye.
“Unahitaji kuonekana na wewe kwenye hii taarifa”
“Hapana Ethan nina shindwa kufanya hivyo”
“Kwa nini?”
“Nenda tu Ethan”
Dada Mery alizungumza huku machozi yakimtiririka usoni mwake. Nikaruidi eneo walipo waandishi wa habari na kusimama katika sehemu niliyoa ndaliwa kusimama. Nikawatazama waandishi hawa wa habari, nikatazama saa yangu ya mkononi na kuona ina nionyesha sasa hivi ni saa moja usiku.
 
“Habari zenu”
“Salama”
“Kwa wale wasio nifahamu ninaitwa Ethan Klopp. Nina habari ambayo sio nzuri kwa familia na hata wapenzi wa soka”
Nilizungumza huku machozi yakinilenga lenga usoni mwangu.
“Masaa mawili yaliyo pita, baba yetu mzee Klopp ametutoka duniani”
Waandishi wa habari nao wakaonekana kustuka kidogo huku kila mmoja akiweka sawa kamera yake.
“Nilikuwa shule, nikarudishwa nyumba, ila kwa bahati mbaya nilimkuta mzee akiwa katika hatua za mwisho kabsisa za maisha yake”
Nikakaa kimya huku nikijifuta machozi usoni mwangu. Waandishi wa habari wakaanza kunyoosha mikono juu ili kunihoji maswali, ila nikashindwa kumjibu yoyote kwani hali ninayo isikia sio nzuri kabisa. Nikaondoka na kumuacha mwanasheria wa familia akizungumza. Nikaingia ndani. Daktari akainiita kwa ishara na nikamfwata pale alipo.
 
“Ndio”
“Mwili wa marehemu unatakiwa kwenda kuhifadhiwa sasa, sindano tuliyo mchoma nguvu yake itaisha mara baada ya muda mchache kuanzia hivi sasa”
“Sawa gari la wagonjwa si lipo tayari?”
“Ndio hata gari za polisi zimesha fika katika eneo hili”
“Sawa munaweza kuupeleka tu hospitali”
Maandalizia ya kuutoa mwili wa mzee Klopp yaakaanza kufanyika, huku kwenye televishion taarifa zinazo samba zinahusiana na kifo cha mzee Klopp, ikiwa ni pigo kubwa kwa taifa la Ujerumani hususani kwenye tathini ya michezo, kwani mzee Klopp aliichezea timu ya taifa ya nchi hii miaka kadhaa ya nyuma iliyo pita. Waziri mkuu akatangaza msiba huu ni msiba wa taifa, na bendera ya taifa ikashushwa nusu mlingoti. Camila na mama yake wakafika nyumbani hapa majira ya saa tatu usiku. Camila moja kwa moja akanifwata na kunikumbatia kwa nguvu huku akimwagikwa na mchozi usoni mwake.
“Kweli baba amekufa?”
“Ndio”
“Ethan pole sana mwanangu”
Mama Camila alizungumza huku akitukumbatia wote wawili.
“Asante sana mama”
Nilizungumza huku nikiendelea kulia kwa uchungu. Watu washuhuri na wafanya biashara kutoka maeneo mbali mbali wakafika katika jumba hili la mzee Ethan na ulinzi ukazidi kuimarishwa.
 
‘Ethan’
Niliisikia sauti ya Ethan mwenzangu katika ufahamu wangu wa akili.
‘Vipi?’
Nilimjibu kimoyo moyo pasipo watu wengine kuweza kufahamu ni nini ninacho kizungumza.
‘Kuna watu wana mpango wa kukuua usiku huu, kuwa makini la sivyo jua la asubuhi huto weza kuliona’
Maneno ya Ethan yakanistua sana kwani watu walio fika nyumbani hapa ni wengi sana hadi sujui nani ni mzuri au nani ni mbaya, jambo lililo anza kunipa wasiwasi moyoni mwangu.

==>>ITAENDELEA KESHO
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images