Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Gari La Mbunge CHADEMA Lashambuliwa Kwa Risasi

$
0
0
Gari la mbunge wa viti maalum (Chadema) mkoa wa Manyara, Anna Gidarya linadaiwa kushambuliwa kwa risasi kwenye matairi.

Mbunge huyo amesema kitendo hicho kimetokea leo Jumapili, tarehe 16 Septemba 2018.

Amesema kuwa tukio hilo limetokea kata ya Majengo wilaya ya Monduli mkoani Arusha akiwa anasimamia uchaguzi wa ubunge wa jimbo hilo unaofanyika leo.

Dawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa

$
0
0
Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. 

NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya tumbo, Korodani moja kuvimba, Msongo wa mawazo, Presha, Magonjwa ya zinaa, Kufanyiwa tohara ukiwa na umri mkubwa, Kisukari. 

DR. LUTAJA Sasa anakuletea tiba sahihi ya tatizo la Nguvu za kiume. 

NTOMBO :Hii hutibu na kuponya kabisa tatizo la Nguvu za kiume, utakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kafika kileleni kwa mda wa dk 20-45. Dawa hii imechanganywa na miti 18,Hata wazee wenye umri mkubwa wa zaidi ya miaka 85 wanapona kabisa okoa mahusiano yako, ndoa yako sasa. 

SUNGURURU MIX:Ndio tiba sahihi kwa wale wenye maumbile madogo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo nchi 3-8 na unene cm 2-5,dawa hii ipo katika mfumo wakupaka nakunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji :Hii ni tiba tofauti kabisa nazile ambazo umekwisha wahi kutumia. 

Pia tunadawa za Kupandisha nyota , Uzazi, Pumu, Malaria sugu, miguu kuwaka moto, Kaswende, Kisonono pamoja na mvuto wa mpenzi.

 DR. LUTAJA ANAPATIKANA DAR-ES-SAALAM Simu 0713-821823 kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote ulipo.

Waitara Apiga Kura Ukonga....Azungumzia Mwitikio Hafifu wa Wapiga Kura

$
0
0
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mwita Waitara amezungumzia juu ya muamko hafifu wa upigaji kura katika Jimbo hilo changamoto ambayo pia ilitajwa na Msimamizi wa Uchaguzi Jumanne  Shauri.

Amesema huenda kuna sababu mbalimbali zilizopelekea muamko hafifu na kuwataka wananchi kujitokeza kabla ya saa kumi ili kupiga kura.

Waitara amesema hayo mara baada ya kupiga kura kwenye kituo cha Kerezange kilichopo Kivule asubuhi ya leo Septemba 16, 2018.

“Wananchi wanajua zoezi linaisha saa kumi jioni, kuna wengine wanashughuli mbalimbali mi naona zoezi linaenda vizuri hali ni shwari na bado kuna muda wa kutosha wa watu kuendelea kupiga kura…” amesema Waitara

Akizungumza kuhusu tishio la vurugu, Waitara amesema hakuna vurugu kwa sababu wageni waliokuja wakati wa kampeni wameshaondoka waliobaki ni wenyeji.

"Hili ni jimbo letu sisi mwisho wa siku tumebaki wenyewe wajuaji wameshaondoka, hivyo hakuna vurugu.

"Ukumbuke hili jimbo lina mitaa 70 saba tu ndiyo ya upinzani na 63 ni CCM, unaweza kuona ni kwa jinsi gani hakuwezi kuwa na vurugu hakuna anayeweza kuifanyia vurugu CCM," amesema Waitara.

Uchaguzi wa jimbo la Ukonga unarudiwa kufuatia aliyekua Mbunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Mwita Waitara kutangaza kujivua nafasi hiyo july 28 mwaka huu kwa madai ya kuwa na mgogoro na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambaye pia aliwahi kuwa mtangazaji Dk. Misanya Bingi, amefariki dunia.

$
0
0
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Dk Misanya Bingi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumapili Septemba 16, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa amelazwa.

Mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha Televisheni cha ITV na Redio One alikuwa akisumbuliwa na kiharusi, msiba upo nyumbani wake Makongo, jijini Dar es Salaam.

Baada ya kuacha kazi ya utangazaji, Bingi alijiunga na UDSM na alipohitimu masomo aliajiriwa chuoni hapo.

Mgombea Chadema kupiga kura Kitunda Relini

$
0
0
Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Ukonga, Asia Daudi Msangi anatarajiwa kupiga kura yake katika kituo cha Kitunda Relini, Shule ya St. Lawrence chana huu.

Mgombea huyo anawania Ubunge wa Jimbo la Ukonga huku akichuana vikali na Mwita Waitara kutoka CCM.

Matokeo ya Uchaguzi huo yamepangwa kutangazwa katika kituo cha Anatogro.

Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kazungumzia Sakata la Mawakala CHADEMA Kuzuiliwa

$
0
0

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage, amesema kuwa vituo vyote vya uchaguzi katika uchaguzi mdogo unaofanyika hii leo vimefunguliwa kwa wakati sipokuwa kwa vituo vichache sana vilivyochelewa kwa muda wa dakika 10 kutokana na sababu za kiutaratibu.

Jaji Kaijage amesema kuwa hata hivyo zoezi hilo linaendelea katika vituo hivyo vya uchaguzi vilivyochelewa, ambapo pia ameeleza kwamba kulikuwapo na madai kuwa baadhi ya mawakala wamezuiliwa kuingia katika vituo vya uchaguzi.

Amesema kuwa katika uchaguzi mdogo wa Monduli kuna vituo 256 na ni kwenye vituo vinne tu ambapo mawakala wamekataliwa kuingia kwa sababu waliokuja si wale walioteuliwa na vyama vya siasa na kuapishwa na msimamizi wa uchaguzi.

“Walikuja mawakala mbadala wengine ambao hawakutimiza taratibu za kuapishwa na waliomba mawakala hao wanne waapishwa hapo hapo kituoni na watu ambao hawana mamlaka ya kuwaapisha,” amesema Jaji Kaijage.

Akiongea katika kituo cha Juhudi kilichopo Ukonga, Jaji Kaijage amesema jimbo la Ukonga kuna vituo 673 na zoezi linaendelea vizuri, mwakala wa CCM na Chadema wapo ila mawakala wa CUF hawajaonekana na mawakala hao wamemueleza zoezi linaendelea vizuri na hakuna changamoto ambayo iliyojitokeza.

Mapema leo taarifa toka kwa mbunge viti maalumu ambaye ni msimamizi wa CHADEMA kata ya Esilalei wilayani Monduli, Cecilia Pareso zilidai kuwa mawakala wote wa CHADEMA kwenye kata hiyo wamezuiliwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura kwa kile kilichodaiwa kukosa vitambulisho vya mawakala.

Serikali Yaanza Kutoa Msamaha Wa Kodi Kwa Miradi Ya Maendeleo

$
0
0
Serikali imesema imeshaanza kutoa misamaha ya kodi kwa mikataba ya ujenzi na matengenezo  ya miradi ya maendeleo ikiwemo barabara, viwanja vya ndege na madaraja ambayo ilitakiwa kusamehewa kulipa kodi ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati akikagua hatua za ujenzi wa kituo cha ukaguzi wa pamoja (One Stop Inspection Station), wilayani Manyoni mkoani Singida, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema kuwa mradi huo umechelewa kukamilika kutokana na mkandarasi kutopata msamaha wa kodi kama jinsi ilivyopangwa na hivyo kuathiri mtiririko wa fedha katika utekelezaji wa wake.

“Serikali imeanza kutekeleza misamaha ya kodi iliyokwama katika miradi inayoendelea na inayotarajiwa kuanza hapa nchini ikiwemo huu mradi na mingine mingi”, amesema Waziri Mhandisi Kamwelwe.

Mhandisi Kamwelwe amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Impresa di Construction Ing E. Mantovani S. p. A con socio unico Via Belgio anayejenga kituo hicho kuhakikisha anakamilisha mradi huo ndani ya muda aliyoomba kuongezewa kwani hataongezewa muda mwingine.

“Nahitaji kituo hichi kikamilike ifikapo mwezi  Februari mwakani, kwani haya ni maazimio ya pamoja ya nchi za wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ya kupunguza ucheleweshwaji wa usafirishaji wa mizigo kupitia barabara ya kati kuelekea nchi jirani”, amesisitiza Mhandisi Kamwelwe.

Aidha, Waziri Kamwelwe ameeleza kuwa ukamilikaji wa vituo hivyo utapunguza muda na gharama za usafirishaji wa mizigo kupitia barabara ya Ukanda wa Kati (Central Corridor) kwani hadi sasa magari makubwa yanasimama vituo 31 kutokea Dar es Salaam hadi mipaka ya Burundi, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Awali akitoa taarifa ya mradi kwa Waziri huyo, Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Singida Mhandisi Leonard Kapongo ameeleza kuwa maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho cha Manyoni umefikia asilimia 60 na ujenzi huo unaenda sambamba na ujenzi wa kituo kilichopo Nyakanazi mkoani Kagera.

Ameongeza kuwa ujenzi wa kituo hicho utahusisha uwekaji wa mizani ya mwendo, ofisi za Mamlaka ya Mapato (TRA), Polisi, Uhamiaji, kituo cha mapumziko na mafunzo kwa wasafirishaji, maegesho ya magari makubwa na nyumba za watumishi.

Mradi wa ujenzi wa vituo vikuu vya ukaguzi wa pamoja wa magari makubwa yanayoenda nje ya nchi unahusisha vituo vitatu ambavyo ni Vigwaza, Manyoni na Nyakanazi  kwa umbali wa takribani kilomita 500 kutoka kituo kimoja hadi kingine ikiwa na lengo la kuondoa msongamano wa magari makubwa kwenye vituo vilivyopo.

Jokate Mwegelo : Mipaka Ya Jeshi Na Hifadhi Yenye Ulinzi Iheshimiwe

$
0
0
Na Mwamvua Mwinyi,Ruvu
SERIKALI Mkoani Pwani ,imewaasa wananchi kuheshimu mipaka ya jeshi na hifadhi yenye ulinzi pasipo kuingia katika maeneo hayo bila kufuata taratibu ,ili kujiepusha na migongano isiyo ya lazima.
 
Aidha ,imewaasa vijana wanaomaliza mafunzo ya awali ya kijeshi kwa mujibu wa kisheria ,wasitumie ovyo silaha na ulinzi wawapo uraiani bali watumie mafunzo hayo kuwa mabalozi wa uzalendo wa Taifa lao.
 
Akifunga mafunzo ya vijana wa JKT OP Mirerani ,mujibu wa sheria ,katika kikosi cha jeshi 832 JKT Ruvu ,Kibaha ,kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo ,Mkuu wa wilaya ya Kisarawe ,Jokate Mwegelo alisema, ifahamike maeneo ya ulinzi wa askari yanapaswa kuheshimiwa .
 
“Pale wananchi wanapokuwa wameingia kwenye maeneo hayo ni vema kuwa watiifu wanapotakiwa,kuamriwa ama kuelekezwa jambo la kulifuata iwapo wameingia kimakosa bila kukaidi ” alifafanua Jokate.
 
Hata hivyo ,Jokate ,aliwakumbusha vijana wajilinde na ngono zembe ili kujiepusha na maambukizi mapya ya VVU na magonjwa ya zinaa .
 
“Muwe wazalendo muwe mabalozi wazuri kwa kuipenda nchi yenu na kukataa rushwa “alielezea .
 
Akisoma risala ya wahitimu ,Joakim Jilolo ,aliaahidi kuwa wazalendo na kulitetea Taifa wakati wakielekea kwenye uchumi wa kati .

Nae mwenyekiti wa waliomaliza OP Kambarage ,mwaka 1990-1991 ,Amir Nondo aliwataka vijana  kuwa na heshima na maadili mema .
 
Nondo alisema, serikali kupitia wizara husika inatekeleza mafunzo kwa moyo wa uzalendo kwa vijana waliohitimu kidato cha sita ili waweze kupata malezi bora.
 
Awali kaimu kamanda wa kikosi 832 Ruvu JKT  ,meja James ,alisema walianza mafunzo 25,June 2018 wakiwa na vijana walikuwa 2,871 ,waliomaliza 2,857 ,wavulana 1,805 na wasichana 1,052 ambapo vijana 14 hawakumaliza kutokana na utoro na kukatisha mkataba.
 
Alitaja ,baadhi ya mafunzo waliyowapatia ni ujasiriamali ,nidhamu ,kupenda kazi ,kudumisha uzalendo ,utii ,umoja kwani ni nguzo katika mustakabali wa maisha yao .
 
Meja James aliwaasa ,wazazi na walezi kuielewa shabaha ya serikali ya kufanya mafunzo hayo kwani wapo wanaowakataza watoto wao  .
 
Mwakilishi wa mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa ,Lt Col JS Mlay , aliwashauri wahitimu kutumia elimu ya ujasiriamali ,stadi za maisha waliyopatiwa kwa lengo la kujiajiri ili kujikwamua kimaisha .
 
Alisema ,mafunzo hayo huwaandaa vijana kuwa viongozi bora ,wa Taifa lao siku za usoni ,wenye uzalendo na uchungu wa raslimali za nchi .

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Septemba 17

Julius Kalanga (CCM ) Aibuka Mshindi Ubunge Monduli

$
0
0
Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Jimbo la Monduli, Steven Ulaya ametangaza matokeo ya Jumla ya Ubunge katika jimbo la Monduli.,

Uchaguzi huo ulihusisha jumla ya vyama nane vya siasa vilivyo kuwa vinawania nafasi hiyo ya kupewa ridhaa na wananchi ya kuongoza jimbo hilo hadi mwaka 2020.

Julius Kalanga wa CCM (Pichani) ametangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo hilo baada ya kupata kura 65, 714 dhidi ya kura 3,187 alizopata mshindani wake Yonas Leiser wa CHADEMA.

Walioingia nchini kwa Kuhofia Ebola Warudishwa Nchini Kwao DRC

$
0
0
Idara ya Uhamiaji mkoani Rukwa imewarudisha nchini kwao watu 15 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kwa tuhuma za kuingia nchini bila sababu maalum ya hofu ya ugonjwa wa ebola.

Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki na Kaimu Ofisa wa Uhamiaji mkoa wa Rukwa, Lezius Mushongi, alipozungumza na vyombo vya habari katika Kijiji cha Wampembe wilayani Nkasi.

Alisema kutokana na Mkoa wa Rukwa kupakana na nchi mbalimbali ikiwamo DRC, Idara ya Uhamiaji imekuwa makini katika kuhakikisha watu wanaoingia mkoani hapa kutoka nchi za nje wanakuwa na sababu za msingi.

Alisema katika kipindi cha mwezi huu raia 15 kutoka DRC wamerudishwa kwao licha ya kuwa waliingia kwa kufuata taratibu, lakini sababu za kuingia nchini hazikutosheleza.

Baada ya kuwahoji sababu za kuja nchini mwetu na hazikuwa za msingi sana, tuliwasiliana na mamlaka za upande wa nchi yao kisha tuliwarudisha kwa nia njema," alisema.

“Sio kwao tu, hata raia wa nchi yetu kama hawana sababu za msingi za kwenda katika nchi hiyo hatuwapi vibali, kama lengo ni kusalimia na kufanya biashara wasubiri mpaka hapo ugonjwa huo utakapo kuwa umemalizika na hali itakapokuwa nzuri tutawaruhusu," alisema Mushongi.

Waziri Lukuvi Kutatua Migogoro Ya Ardhi Ya Mikoa Nane Kwa Wiki Mbili

$
0
0
Na. Hassan Mabuye, Wizara ya Ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi anataraji kufanya ziara ya kusikiliza migogoro na kero za wananchi zinanzohusu ardhi na kuzitafutia ufumbuzi katika mikoa nane ya Tanzania bara katika wiki mbili kuanzia tarehe 17 hadi 30 Septemba 2018.

Ziara hii ni katika utekelezaji wa kampeni yake ya “Funguka kwa Waziri wa Ardhi” ambayo aliizindua rasmi mwezi Januari mwaka 2018 yenye lengo la kuzunguka nchi nzima kusikiliza migogoro na kero za wananchi zinanzohusu ardhi na kuzitafutia ufumbuzi papo hapo.

Katika wiki mbili hizi za kutatua migogoro ya ardhi katika mikoa nane waziri Lukuvi ameeleza kuwa kuanzia tarehe 17 hadi 19 atakuwa katika mkoa wa Mara katika wilaya ya Bunda, Musoma na Tarime na baadae tarehe 20 hadi 30 atakuwa katika mikoa ya Tabora, Katavi, Rukwa, Songwe, Njombe, Iringa na Morogoro.

“Nipo njiani kuelekea mkoa wa Mara ambapo siku ya jumatatu tarehe 17 Septemba ntaanzia wilayani Bunda ili kutatua mgogoro wa Bibi Nyasasi Masike na kukagua kiwanja chake kama nilivyomuahidi Mheshimiwa Rais wakati alipofanya ziara yake wilayani Bunda na kunipigia simu moja kwa moja” Amesema Waziri Lukuvi.

Akaongeza Waziri Lukuvi, “nimeagizwa na Rais Magufuli katika kipindi cha miaka mitano hii hadi kufikia 2020 migogoro ya ardhi iwe imepungua kwa kiasi kikubwa kama sio kuisha na kazi hii ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, na ninawaagiza viongozi wajitokeze kuwasikiliza na kutafutia ufumbuzi kero za wananchi wanyonge ambazo zimekuwa zikiwatesa kwa muda mrefu”

Aidha, ameongeza kuwa siku hiyo hiyo atasikiliza migogoro na kero za wananchi zinanzohusu sekta ya ardhi na kuzitafutia ufumbuzi katika mkutano wa hadhara uliyopo ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda.

Ameongeza kuwa baadae ataelekea wilaya ya Musoma na Tarime ambapo atasikiliza na kutatua kero za wananchi zinazohusu migogoro ya ardhi papo hapo pamoja na kusikiliza na kutatua kero ya ardhi ya Bibi Ghati Mwita Bukura na kuona eneo lake.

Baada ya ziara ya mkoa huo Waziri Lukuvi ataelekea mkoani Tabora na mkoani Katavi kutatua migogoro ya ardhi ya wakazi wa mikoa hiyo na kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi kwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi kwa kutumia Kauli Mbiu ya Funguka kwa Waziri wa Ardhi na baadae kuelekea mkoani Rukwa.

Waziri Lukuvi katika Mkoa wa Rukwa anataraji kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa ardhi wa Shamba la Malonje lililo na mgogoro wa muda mrefu pamoja na kusikiliza migogoro ya ardhi na baadae kuwasili mkoani Songwe wilayani Tunduma ambapo atakagua na kusikilisa changamoto za mpaka wa Tanzania na Zambia.

Ziara hiyo itaendelea katika mikoa ya Njombe na Iringa kutatua migogoro ya ardhi ya wakazi wa mikoa hiyo na kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi kwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi kwa kutumia Kauli Mbiu ya Funguka kwa Waziri wa Ardhi na baadae kumalizikia katika mkoa wa Morogoro kwa ajili ya mgogoro wa eneo la Mabwegere

Waziri Lukuvi katika mwezi huu wa Septemba ameweza kutatua migogoro mikubwa katika mikoa ya Dar es salaam na Arusha katika nyakati tofauti, miongoni mwa migogoro hiyo ni ule wa mwekezaji wa kiwanda cha Minjingu na wananchi wa Pugu Stesheni jijini Dar es salaam ambao ameupatia ufumbuzi na wananchi wamefurahi kwa uamuzi wake.

Mgogoro mwingine alioupatia ufumbuzi ni ule wa eneo la msitu wa Kazimzumbwi ambao ulivamiwa na wananchi ambao walishindwa katika kesi na Waziri Lukuvi akatoa siku 30 ili kuwasaidia wananchi hao. Aidha mgogoro mwingine uliopatiwa ufumbuzi na Waziri Lukuvi akishirikiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi ni ule wa eneo la Pugu Mnadani ambalo pia wananchi wamevamia na limepatiwa ufumbuzi tayari.

Katika Mkoa wa Arusha Waziri Lukuvi ametembelea na kutatua migogoro mikubwa ya wakazi wa Wilaya ya Monduli katika vijiji vya Lolkisale, kijiji cha Lemooti, kijiji cha Eng’arooji, na Kijiji cha Nafco nyingine ni kata ya Sepeko, kata ya Mfereji iliyo na mgogoro kati ya Wilaya za Monduli na Arumeru ambapo ametatua kwa ufanisi mkubwa jambo ambalo limewafanya wakazi wa maeneo hayo kummwagia sifa na kumuombea kwa Mungu ampe umri mrefu wenye mafanikio.

Wizara inaendelea na utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi kwa kufanya mikutano na wananchi kwa kutumia Kauli Mbiu ya Funguka kwa Waziri wa Ardhi. Katika mikutano hiyo hadi sasa jumla ya malalamiko 4,168 yameshapokelewa na Wizara kwa kushirikiana na Halmashauri mbalimbali na imepatiwa ufumbuzi na mingine inaendelea kuchambuliwa ili kupatiwa ufumbuzi.

Jipatie Tiba ya Asili ya Ngiri, Vidonda vya Tumbo,Kisukari na Nguvu za Kiume

$
0
0
Super nzoka IKEMEKO TRDITONAL clinic Ni dawa ya Asili ya vidonge iliyotengenezwa kwa techknojia ya kisasa na ubora wa hali ya juu 

Huongeza nguvu za kiume maradufu hata kwa wale wasiojiweza kabisa kufanya tendo la ndoa na wapo abao hata wakifanya hushindwa kutoa maji maji maji ambayo ndani yake kuna mbegu za kiume zinazotakitakiwa kurutubisha yai

Dawa hii huboresha na tunatibu nakumaliza matatizo haya kwa muda mfupi tu na haina madhara kwa mtumiaji yeyote hata wa umri wa miaka 80 na kuendelea.... inaongeza hamu, urijali kwa wanaoshindwa kuendelea na tendo la ndoa.

Huanza kufanya kazi baada ya dakika 60 tu na kufanya uchelewe kufika kileleni dakika 20 kwa tendo la kwanza itakuwa unauhakika wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara tatu bila kuhisi kuchoka 

SILYA; inakuza uume uliosinyaa kurefusha umbile dogo urefu inchi (6-9)na unene wa cm 4 za upenyo kwa wenye kasoro za kimaumbile na walioathiriwa na kupiga punyeto pamoja na matatizo ya kiafya

Tiba hii ni ya kudumu.Pia tunatibu ngiri ya kupanda na kushuka,tumbo kuuguruma chini ya kitovu ,kaswende kisukari ,maumivu ya mgongo, kiuno, kutopata choo vizuri na uvimbe kupitia njia ya mkojo, presha, vidonda vya tumbo

Wasiliana Nasi kwa namba;  0716343218,0789289945. TUNAPATIKANA MBAGALA ZAKIEM STENDI ya musanga

Makanga 3 Power; Dawa Bora Nguvu Za Kiume

$
0
0
Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE.

Tiba ya kudumu kutibu maumivu ya mgongo,kiuno, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kupata choo vizuri, na kutibu uzazi, kutibu busha bila operesheni, kisukari, presha ,miguu kuuma, uzazi, fangas sugu, vidonda vya tumbo.

Ni docta bingwa wa kutibu magonjwa sugu, kutoa ndagu za utajiri kwa kutumia Pete, kazi ,cheni, mikufu maalumu ya bahati, una kesi umedhulumiwa Mali au pesa? Zitarudi muda wa Masaa matatu tuu.

Onana na Dr shilindes shida zako zote zitakwisha, anatoa Dawa za utajiri kwa wafanyakazi, wakulima, na wafugaji, wafanyabiashara na wachimba madini kwa kutumia pete, kazi kwa yeyote anaetaka kuwa na pesa nyingi.

Pia anaboresha akili kwa wanafunzi darasani, masomo na kufaulu mitihani pia kushinda bahati nasibu yeyote.

Pia tunatoa Dawa kumrudisha Mume, mke, mpenzi, hawara, kwa muda wa SAA moja tuu, na kuomba msamaha kwa kukupigia magoti na yeyote yule, unaemtaka kimapenzi au kuoana, utampata na kumfunga asitoke nje ya ndoa daima na kutekeleza shida zako zote. Kupunguza unene, kupunguza matiti makubwa, tumbo na nyama uzembe muda wa siku sita unapata saizi uipendayo.

Kutoa makovu mwilini, chunusi, upele na mabaka, pia tunayo Dawa ya kuongeza hipsi, makalio, mguu wa bia na kupata shepu safi kwa muda wa siku saba tuu.

Wa mikoani mtapata huduma popote mlipo.
Tupo dar es salam mbagala rangi tatu.

Mawasiliano simu namba: 0784 460 348. Au 0659 103 360.

Mwita Waitara Aibuka Mshindi Ubunge Ukonga

$
0
0
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mwita Mwikabe Waitara (CCM) ameibuka mshindi wa kiti hicho baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.

Mrembo kutokea Rwanda alikana Penzi la Diamond

$
0
0
Mrembo kutokea nchini Rwanda, Shaddy Boo amefunguka iwapo amewahi kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz.

Jana kwenye Red Carpet ya Biko Jibebe Challenge, Shaddy Boo akizungumza na Waandishi wa Habari alijibu hilo kwa kueleza kuwa yeye na Diamond ni marafiki tu.

"Nothing is much, we just are friend yeah!, aah!, no!, is not true we are friend," alisema Shaddy Boo.

Mara kadhaa Diamond alipoenda nchini Rwanda amekuwa akionekana naye na kuna kipindi ilielezwa walikuwa wote nchini Kenya. 

Pia mrembo huyo amekuwa akionekana akiimba na kucheza zaidi nyimbo za Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Alichokisema Mwita Waitara Baada ya Kushinda tena Ubunge Jimbo la Ukonga

$
0
0
Baada ya kutangazwa kama mshindi wa uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo la Ukonga kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Mwita Waitara, amesema mawakala wa CHADEMA katika vituo vya kupigia kura walimpigia yeye.

Akiongea leo baada ya kutangazwa, Mwita amesema alikuwa na matarajio ya kushinda kwa zaidi ya asilimia 95, hivyo hajashangaa kupata ushindi huo wa asilimia 89.

''Nina ushahidi wa ujumbe mfupi kwenye simu yangu, mawakala wa CHADEMA katika vituo jana wamenipigia kura na walikuwa wananitumia matokeo mapema tu hiyo inaonesha nilikuwa na uungwaji mkono mkubwa sana'', amesema.

Aidha Mwita amekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kujitazama kilipojikwaa na sio kilipo angukia huku akiweka wazi kuwa kama wanataka chama kibakie waachane na mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wakiendelea kumkumbatia chama kitawafia.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi leo, msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo hilo, Jumanne Mashauri amemtaja Mwita Waitara wa CCM kama mshindi wa kiti cha ubunge baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.

Dawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa

$
0
0
Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. 

NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya tumbo, Korodani moja kuvimba, Msongo wa mawazo, Presha, Magonjwa ya zinaa, Kufanyiwa tohara ukiwa na umri mkubwa, Kisukari. 

DR. LUTAJA Sasa anakuletea tiba sahihi ya tatizo la Nguvu za kiume. 

NTOMBO :Hii hutibu na kuponya kabisa tatizo la Nguvu za kiume, utakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kafika kileleni kwa mda wa dk 20-45. Dawa hii imechanganywa na miti 18,Hata wazee wenye umri mkubwa wa zaidi ya miaka 85 wanapona kabisa okoa mahusiano yako, ndoa yako sasa. 

SUNGURURU MIX:Ndio tiba sahihi kwa wale wenye maumbile madogo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo nchi 3-8 na unene cm 2-5,dawa hii ipo katika mfumo wakupaka nakunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji :Hii ni tiba tofauti kabisa nazile ambazo umekwisha wahi kutumia. 

Pia tunadawa za Kupandisha nyota , Uzazi, Pumu, Malaria sugu, miguu kuwaka moto, Kaswende, Kisonono pamoja na mvuto wa mpenzi.

 DR. LUTAJA ANAPATIKANA DAR-ES-SAALAM Simu 0713-821823 kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote ulipo.

Polisi Dar Kufanyiwa Sherehe Maalumu ya Kuwapongeza kwa Kulinda Uchaguzi Ukonga

$
0
0
Baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa ubunge Jimbo la Ukonga na Mwita Waitara  wa  CCM kuibuka mshindi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa kuitisha sherehe ya familia itakayowakutanisha askari -maarufu kama  polisi family day

Akizungumza jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa Paul Makonda amempongeza Kamanda Lazaro Mambosasa kwa kusimamia zoezi la uchaguzi wa Ukonga na maeneo mengine ndani ya jiji hilo kwa kufanyika kwa amani.

“Kamanda Mambosasa andaa polisi family day nataka iwe siku ya mfano Tanzania, ili tupunguze msongo wa  kazi ngumu mliyokua nayo wakati wa kulinda amani ya Dar es salaam…”

Aidha Paul Makonda amesema askari wa jeshi hilo watarajie kupata unafuu wa gharama za ujenzi kufuatia kiongozi huyo kuzungumza na baadhi ya wamiliki wa viwanda vya saruji pamoja na kiwanda cha Mabati ili kuangalia namna ya kuliinua jeshi hilo.

Mapema leo katika ukumbi wa Anatoglo jijini Dar es salaam Msimamzi wa Uchaguzi ilala Jumanne Shauri alimtangaza Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi kuwa mbunge mteule wa Ukonga kwa kupata jumla ya kura 77, 795 huku mpinzani wake CHADEMA Asia Msangi akipata kura  8676.

Kuwa Wakwanza Kupokea Habari Zetu....Download App Yetu Kwa Kubonyeza Hapa, Huhitaji tena kuwa na Computer

$
0
0
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa urahisi kabisa kupitia simu yako ya mkononi muda wowote hata usiku wa manane au ukiwa kazini...

Pata kurasa za mbele Magazetini, habari za kitaifa, matukio yote ya kisiasa, burudani na udaku   kupitia simu yako ya mkononi.

Huhitaji tena kuwa na Computer. Ingia Play Store, pakua App yetu  tukuhabarishe masaa 24.

Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images