Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Nguvu Ya Mafuta Ya Manemane Katika Kusafisha , Kutakasa Na Kupandisha Nyota Ya Mtu

$
0
0
Mafuta  ya   Manemane  ni  mafuta  yenye  nguvu  kubwa  sana katika  kusafisha, kutakasa   na  kupandisha  nyota  ya  mtu.

Nguvu  ya  mafuta  haya  matukufu  haipo  tu  katika  kusafisha  na  kupandisha  nyota  za  watu  pekee.

Mafuta  ya  manemane  yana  uwezo  mkubwa  sana pia  katika  kutakasa  maeneo  kama  nyumbani    au sehemu ya  biashara.

Chochote kitakacho  pakwa  kwa  mafuta  ya  manemane  basi  kitatakaswa.

Hata  ukipaka  vyombo  vyako au  nguo  zako  za  kuvaa  kwa  mafuta  ya  manemane  basi  vitatakaswa pia.

Hata  ukipaka  banda  lako  la  kufugia  kuku  au  shamba lako  kwa  mafuta  ya  manemane  basi  vitatakaswa.

JINSI   YA   KUANDAA   MAFUTA   YA  MANEMANE
1.   Mafuta  ya  manemane  lita moja.

2.   Mdalasini  laini  nusu kilo (  Tumia  mdalasini  wa  India  wa  magome, utwange  hadi  ulainike  na  kuwa  laini  kabisa )

3.   Mafuta  ya  Kane  nusu lita

4.   Mafuta  ya  kida  nusu  lita

5.   Na  mafuta  ya  Mzeituni  vijiko  vikubwa vitano.

Changanya  vitu  vyote  hapo  juu  kisha  hifadhi  kwenye  chupa safi.

JINSI   YA  KUTUMIA
 Tumia kupaka  kwenye  paji  la  uso  kila  siku  asubuhi  unapoenda  kwenye  shughuli zako   na  usiku  kabla  ya  kulala  baada  ya  kuwa  umeoga  tayari.

Unaweza  kutumia  kwa  kuoga  pia  au  kupigia  deki  nyumba  yako  au  eneo  lako  la  biashara.

Unaweza  pia  kupaka  mafuta  haya  kwenye  mlango  wa kuingilia  nyumbani  kwako au  kwenye  eneo  lako  la  biashara.

Haya  ni  mafuta  matukufu  mno   ambayo  yanakaliwa  na  majini  na  malaika  wakubwa.

 Unapo  jipaka  mafuta  haya  maana  yake  ni  kwamba  unakuwa  umejipaka  nguvu ya  majini  na  malaika  wanao  kalia mti  wa  Manemane.

Hivyo  ukijipaka  mafuta  haya  unakuwa  unatembelea  nyota  ama  nguvu  ya  majini  wakubwa  wanao  kalia  mti  wa  Manemane   kwa  sababu  unakuwa  umeunganisha  nyota  yako  na  nguvu  ya  majini  watukufu  wanao yakalia  mafuta  haya  matukufu.

Ni mafuta  mujarabu  sana  katika  kusafisha  na  kupandisha  nyota  ya  mtu.

Mafuta  haya  hukimbiza  wachawi  na  majini  wote  wachafu  na  kisheitwani na  kuvuta  heri  na  mambo  yote  mazuri  kwenda  kwa  mtu  aliye  jipaka  kwa  sababu  anakuwa  anatembelea  nyota  ya  majini wanao kalia  mafuta  haya.

Mafuta  haya  hutumika  kubatilisha  vifungo  vyote  vya  kichawi  kuanzia  vifungo  vya  maisha  hadi vile vya   magonjwa  ya  kichawi.

Kama  umefungwa  usizae  basi  mafuta  haya  ni  mujarab  sana, kwa  sababu  yatasaidia  kufungua  kifungo  hicho  cha  kutokuzaa.

Kama  umetupiwa  maradhi  ya  kifafa  cha  kichawi  au  maradhi  ya  kupooza basi  mafuta  ya  manemane  yatakusaidia  sana.

Kwa  ufupi  ni  mafuta  yanayo  fungua  vifungo  vya magonjwa  ya  kichawi  ya  aina  zote.

Kama  una  madhabahu  yako nyumbani  kwako  basi  itakase  kwa  mafuta  ya  manemane.

unataka  kutakasa ndoa  yako, familia  yako, watoto wako, biashara  yako, kazi  yako  au  nyota  yako  kwa  ujumla  basi  mafuta  ya  manemane  ni mujarab  sana  kwa  kazi  hiyo.

Mafuta  ya  manemane  ni  mafuta  ya  kinabii  ambayo yamekuwa  yakitumika  kutakasa  watu  na  maeneo  toka  enzi  za  mitume  na  manabii.

Enzi  za  mitume  na  manabii  watu  wa  kawaida  walikatazwa  kabisa kujipaka  mafuta  haya.

Walio  ruhusiwa  kupakwa  mafuta  haya  ni  makuhani  na  wafalme  pekee.

Sababu  kuu  iliyo  fanya  watu  wa  kawaida  kukatazwa  kutumia  mafuta  haya  ni  nguvu  kuu  inayo  ambatana  na  mtu  alie  pakwa  mafuta  haya.

Ilihofiwa  kwamba watu  wa  kawaida  wangejipaka  mafuta  haya  basi  nao  wangekuwa  na  nguvu za kikuhani  na  kifalme.

 Ndio  maana  ilikatazwa  kabisa  kwa  mtu  wa  kawaida  kupakwa  mafuta  haya  na  yoyote  alie enda  kinyume  basi  angeuwawa  yeye  pamoja  na  familia  yake  yote.

Pia  watu  wa  kawaida  walikatazwa  kuyatengeneza  mafuta  haya  isipokuwa  makuhani  tu  na  yeyote  ambae  angeenda  kinyume  basi  adhabu  yake  ilikuwa  ni  kuuwawa  yeye  pamoja  na  familia  yake  yote.

Pia  ilikatazwa  kwa  wageni  kupakwa  mafuta  hayo  kwa  sababu  ili  hofiwa  wangepata  nguvu  sawa  sawa  na  wayahudi  kwa  hivyo  iliwekwa  sharia  kali  ambayo  iliwakataza  wayahudi  kuwapaka  mafuta  hayo  wageni  na  yeyote  ambae  angeenda  kinyume  basi  adhabu  yake  ilikuwa  ni  kukatiliwa  mbali  yeye  pamoja  na  watu  wake  wote.   (   KUTOKA  30 :32-33 )

Kama  nilivyo  dokeza  hapo  juu  mafuta  ya  manemane  ni  mafuta  ya  kikuhani  ambayo  yalitumika  katika  nyakati  za  manabii  na  mitume.

Ndio  maana  ukisoma  Taurati  vizuri  utaona  kuwa  mafuta  haya  yameelezewa  kwenye  kitabu  cha  KUTOKA 30 : 23 – 31.

Ukisoma kitabu  hicho  hicho  cha  KUTOKA 30: 32 -33  ndio  utaona  sasa   adhabu  kali  iliyo  tolewa  dhidi  ya  mtu  yoyote  yule  ambae  angejaribu  kutengeneza  mafuta  hayo  yeye  mwenyewe  au  kujipaka  au  kumpaka  mgeni  wake.

Adhabu  hiyo  kali  iliwekwa  ili  kuzuia  nguvu  ya  mafuta  ya  manemane  isiende  kwa  watu  wa kawaida  ambao  pengine  wangeweza  kutumia  nguvu  ya  mafuta  hayo  kinyume  na  mipango  ya  Mwenyezi  Mungu  kwa  sababu  mtu  aliepakwa  kwa  mafuta  ya  manemane  alipata  nguvu  kubwa  sana  za  kiroho.

Manemane  ni  mti  mtukufu  wenye  kukaliwa  na  malaika  watukufu.

Ni mti  ambao  uliheshimika  na  kutukuzwa  sana  toka  enzi  za  mitume  na  manabii.

Nabii  ISSA  BIN MARIAM  alivyo  zaliwa , zawadi  ya  kwanza  kabisa  kupewa  ilikuwa  ni  Manemane, Ubani na Dhahabu  ambavyo  alipewa  na  Mamajusi  walioenda  kumshuhudia  baada  ya  kuona  nyota yake  mashariki.

( MATHAYO  2  : 11 )
 Ukisoma  vizuri  maandiko  matakatifu utagundua  kuwa  Mwenyezi  Mungu  kupitia  mitume  na  manabii  wake  anatushauri  wana wa  Adamu  tufukize  na  kutakasa  nyumba  zetu  kwa  kutumia  Manemane.

 Manemane  ina  matumizi  mengi  sana . Miongoni  mwa  matumizi  ya  manemane  ni  kutumika  kama  mafusho  kwa  ajili  ya  kufukuza  majini  wachafu  katika  eneo  husika.

Manemane  inapo chomwa  kama  fusho  husaidia  kuleta  Amani  na  maelewano  ndani  ya  nyumba  kwa  sababu  hufukuza  majini  wote  wabaya  ndani  ya  nyumba.  ( KAMA  WEWE  NA  MUMEO/MKEO  HAKUNA  MAELEWANO  KATI  YENU BASI  NINAWASHAURI  ANZENI  KUCHOMA  MANEMANE  INSHAALAH  MTAPATA  MATOKEO  MAZURI  SANA )

Manemane  husaidia  kuongeza  nguvu  ya  mafusho  yoyote  yale.

Unacho  takiwa  kufanya  ni  kuongeza  Manemane  katika  kila  fusho  unalo  fukiza.

Ndio  maana  tunapokuwa  tunachoma  ubani  huwa  tunachanganya  na  Manemane  ili  kuuongezea  nguvu  ubani.

Moshi  wa  Manemane  husaidia  kutakasa  eneo  linalo sumbuliwa  na  majini  wachafu. 

Kama  unahisi  unasumbuliwa  na  wachawi  nyumbani kwako  au  katika  eneo  la  biashara  basi  we  fukiza  eneo  hilo  kwa  Manemane.

Manemane  pia  hutumika  kama  tiba  ya  magonjwa  na  maradhi  mbalimbali  yanayo msumbua  mwanadamu.

Manemane  inapochanganywa na dawa mbalimbali  za  asili  na  za  kisunna  huwa na uwezo  wa  kutibu  na  kuondosha  kabisa  maradhi  lukuki yanayo msumbua  mwanadamu.

Baadhi  ya  magonjwa  na  maradhi  hayo  ni  pamoja  na : Vidonda vya  tumbo, pumu, homa, matatizo katika  mapafu,  matatizo  katika  ini, magonjwa  ya  moyo, tatizo  la  magoti kuvimba, maumivu  katika  tumbo, saratani, ukoma,kaswende, msuli, tatizo  la  kukosa  choo,  matatizo  ya  kinywa na  meno, tatizo  la  harufu  mbaya  ya  kinywa,  bawaziri, vidonda  vya  majeraha,  matatizo  katika  hedhi, majipu  nakadhalika.

Uwezo  wa  kiroho  wa  Manemane  pamoja  na  uwezo  wa  kutibu  na  kuondosha  magonjwa  na  maradhi  mbalimbali  yanayo  mkabili  mwanadamu, nimeulezea  kwa  kina  sana  katika  kitabu  change  kiitwacho “ MAMBO  TISA  YANAYO  UNDA  NYOTA  YA  MWANADAMU : UHUSIANO  KATI  YA  NYOTA  YA  MTU  NA MAFANIKIO  YAKE  KATIKA  MAISHA.”

Kujua  kuhusu  yaliyomo  ndani  ya  kitabu  hicho, tembelea : http://mungwakabhili.blogspot.com/2018/06/mambo-tisa-yanayo-unda-nyota-ya.html

MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  DOKTA. MUNGWA  KABILI.  ANAPATIKANA  KWA  SIMU  NAMBA  0744  - 000  473.

Rais Magufuli Afungua Mkutano Kati Ya Vyama Vya Siasa Vya Afrika Na Chama Cha Kikomunisti Cha China (CPC) Jijini Dar Es Salaam.

$
0
0
Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli amesema huu ni wakati kwa nchi za Afrika, kuungana pamoja katika mapambano dhidi ya umaskini kwa kuandaa misingi bora ya kiuchumi.

Rais Magufuli amesema hayo leo Juali 17 wakati akifungua mkutano wa kidunia wa vyama vya siasa uliovikutanisha zaidi ya vyama 40 kutoka Afrika na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC).

Miongoni mwa vyama hivyo, saba vilishiriki katika harakati za ukombozi kusini mwa Afrika ikiwamo CCM.

Rais Magufuli amesema kama nchi za Afrika zitashikamana zinaweza kubadili na kukuza uchumi wake.

Pia aliiomba China kusaidia katika ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini ikiwamo ujenzi wa kisasa wa reli ya kati, gesi, mradi wa kufua vyuma wa Mchuchuma na Liganga na uendelezaji wa viwanda.

"Niwaombe China iunge mkono katika utekelezaji wa miradi yetu mikubwa ya kimaendeleo, ushirikiano kiuchumi ndio unaohitajika zaidi," amesema.

Rais Magufuli amesema nchi za Afrika hazihitaji misaada yenye masharti isipokuwa ile ya kirafiki inayojengwa kwenye misingi ya kuelewana.

Awali Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Watu wa China (CPC) Song Tao alisema ili kufikia malengo ya kiuchumi nchi za Afrika zinapaswa kuheshimu haki za binadamu.

Amesema China ipo tayari kusaidia mipango ya kichumi kwa nchi za Afrika na kuwataka wajiandae kulingana na mazingira ya nchi zao.

Amesema japo nchi yao ina watu zaidi ya 2.5 bilioni lakini wameweza kujenga mfumo wa maendeleo na jamii bora yenye manufaa.

Ameshauri vyama vya Afrika kujikita katika kutafuta suluhisho la matatizo ya nchi zao kubwa ikuwa ni kuwaondoa watu kwenye umaskini.

Lugola Ampa Siku 14 IGP Sirro Awe Amefika Ofisini Kwake

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mh. Kangi Lugola, ametoa muda wa siku 14 kwa Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Simon Sirro kufika ofisini kwake kumueleza mikakati ya kuwawezesha Watanzania kufanya kazi kwa saa 24 ikiwa ni pamoja na kuzuia matishio ya mabasi kutembea nyakati za usiku.
 
Waziri Lugola ametoa agizo hilo mara baada ya kufanya ziara ya kikazi katika makao makuu ya kikosi cha kutuliza ghasia kilichopo Ukonga Jijini Dar es Salaam na kuongea na Askari wa Kikosi hicho na wale wanaohudumia katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.

Wakati  akitoa agizo hilo, Mhe. Lugola amesema kuwa ili kufikia Uchumi wa kati Watanzania wanatakiwa kufanya kazi za kiuchumi kwa masaa 24 hivyo IGP anapaswa kumhakikishia mikakati ya jeshi lake katika ushiriki wao wa kuwapatia  watanzania usalama kwa muda wotewakifanya shughuli hizo za kiuchumi.

"Nataka IGP aje aniambie kwamba je, jeshi la polisi limesalimu amri kwa majambazi ndiyo maana mabasi hayatembei usiku, lakini biashara mbalimbali ikifika saa 12 zinafungwa, ukiuliza unaambiwa ni kwa sababu ya usalama, nataka IGP aniambie kama majambazi ndio wanaotupatia amri...

"Hatuwezi kukubali kupewa amri na majambazi ni masaa mangapi tunatakiwa kuganya shughuli za kiuchumi au kupangiwa maeneo ya kwenda na wapi tusiende," Waziri Lugola.

Msikilize hapa chini Waziri Lugola.


Tume ya Madini Yaibua Mapya Ukuta wa Tanzanite Mirerani

$
0
0
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Professa Idris Kikula ameagiza lijengwe haraka banda la dharura pembeni ya lango kuu la ukuta wa madini ya Tanzanite, Mirerani kwa ajili madalali badala ya kwenda kuyanunulia ndani.

Kauli hiyo aliitoa juzi wakati wa ziara ya wajumbe wa tume hiyo waliotembelea eneo hilo wakifuatana na Kamishna wa Tume, Professa Abdulkarimu Mruma na mwanasheria wa tume.

Tume hiyo ilifanya ziara katika migodi hiyo kufahamu undani wa shughuli za madini zinavyofanyika, kubaini changamoto na kuzitafutia ufumbuzi ili kuimarisha na kuendeleza sekta ya madini.

Akizungumza katika eneo la Mirerani, Profesa Kikula alisema wamelazimika kutoa maagizo hayo   kuepuka upotevu zaidi wa madini hayo.

“Hatuwezi kusubiri, tumewapa maagizo wajenge haraka banda la hawa wanunuzi ili waishie pale kwenye lango kuu tukiacha tunaweza kuendelea kupoteza,” alisema Profesa Kikula na kuongeza:

“Huwezi kujua brokers wakiingia ndani na baadaye kutoka wanaweza kuficha Tanzanite kwenye nini… wanaweza kuweka hata ndani ya gurudumu la gari, pale kuna mambo mengi yanafanyika lazima tuendelee kudhibiti,” alisema.

Alisema katika ziara hiyo walibaini matofali  yaliyopangwa nje ya ukuta huo hali inayoonyesha kuna watu wanaingia au kutoka nje kwa njia isiyo rasmi.

“Tumeomba waongeze ulinzi na ukaguzi pamoja na mambo mengine tutaandika ripoti yetu na kuieleza wizara husika,” alisema Profesa Kikula na kuongeza:

“Upo upungufu tuliouona pale, eneo lile lina watu wengi   wanaoingia ndani na kila mtu ana kazi yake, pale tumekuta kuna udanganyifu kutoka kwa wanunuzi wakienda kununua ndani wanapotoka husema hawajanunua madini wakati si kweli”.

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Zephania Chaula aliyetembelea eneo hilo jana, alisema wamejipanga kuhakikisha mapendekezo na ushauri wa tume hiyo yanafanyiwa kazi.

“Kwenye lango kuu bado hatujapata vifaa kwa ajili ya uchunguzi kwa watu wanaopita mlangoni, vifaa havijafungwa na ulinzi unaofanyika ni wa kawaida.

“Sisi hata kabla ya tume tayari tulishaeleza tunahitaji CCTV camera na scana, tayari Serikali ipo kwenye maandalizi ya kuvileta   vianze kazi haraka,” alisema Chaula.

Alisema kwa sasa, wameanza kuzuia magari yote yasiyo na ulazima wa kufika kwenye migodi  yasisababishe usumbufu katika ukaguzi kwa wanaopita kwenye lango la ukuta huo.

“Kuna magari yanayobeba baruti, maji na vitu vingine muhimu, haya yanaingia kwa ukaguzi na uangalizi mkali wa kusindikizwa yakimaliza kushusha mizigo yao tunawasindikiza mpaka watoke,” alisema

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume,maumbile Madogo, Mvuto Wa Mapenzi ,magonjwa Sugu

$
0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO  0759208637 / 0785687900

Alichokiamua Waziri Jafo Baada ya Jangwani Kuwa ya Mwisho Katika Matokeo Kidato cha 6

$
0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo ametembelea Shule ya Jangwani Sekondari Dar es salaam ambayo imetajwa juzi kuwa miongoni mwa Shule 10 zilizoshika nafasi za mwisho katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018.

Jafo amesema Shule hiyo ni miongoni mwa Shule chache zenye Walimu wengi lakini imekuwa katika kundi la mwisho 

“Shule ya Jangwani ina walimu 87, Shule ya Kibaha ina Walimu 52, yenye Walimu 52 inakua ya kwanza kitaifa lakini yenye Walimu 87 inakua ya tatu kutoka mwisho kitaifa”

Waziri Jafo ametoa maagizo kwa Katibu Tawala wa Mkoa Afisa wa  Dar abadilishe uongozi lakini pia mabadiliko ya Walimu yafanyike.

“Badilisheni Walimu wa Jangwani, waleteni Walimu wengine waje wafanye mabadiliko hapa, nimepata taarifa kuwa kuna Walimu hawafundishi, watoto wanajipinda wanaandika notes wenyewe, wengine wana moyo wa kusoma lakini Walimu wenye moyo hakuna,”

Vyama Vya Siasa Vyakumbushwa Kuzingatia Matakwa Ya Sheria Ya Gharama Za Uchaguzi

$
0
0
Wakati tukielekea kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu na kata 77 utakaofanyika tarehe 12 Agosti, 2018, nachukue fursa hii kuwakumbusha wadau wote hususani vyama vya siasa, wagombea na Asasi za kiraia kuzingatia matakwa ya Sheria ya Gharama za Uchaguzi na Sheria ya Vyama vya Siasa.

Sheria ya Gharama za uchaguzi inamtaka kila Mgombea wa Ubunge na Udiwani kuweka wazi mapato na matumizi ya gharama anazotarajia kuzitumia wakati wa uchaguzi husika kwa kujaza fomu maalumu ( EE1 & EE2) ambazo hujazwa na kuwasilishwa kwenye mamlaka husika ndani ya siku saba, kuanzia siku ya uteuzi wa wagombea. Hivyo ninasisitiza ujazaji sahihi wa fomu hizo maalumu ili kukidhi matakwa ya Sheria.

Pia, ninawakumbusha wagombea, vyama vya siasa na umma kwa ujumla kuepuka kufanya vitendo vinavyokatazwa na Sheria za nchi hususani Kanuni za Maadili ya Vyama vya Siasa, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Gharama za Uchaguzi ili kuhakikisha kuwa uchaguzi unakuwa huru na wa haki na pia unaendeshwa katika hali ya Amani na utulivu.

Nichukue nafasi hii pia kuwatakia Wadau wote maandalizi na uchaguzi Mwema.

Jaji Francis S.K. Mutungi
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA.

Mizizi 29 Power ,ndio Dawa Bora Na Imara Kwa Sasa Kwa Kutibu Na Kuponesha Tataizo La Nguvu Za Kiume Kwa Dakika 30 Tu

$
0
0
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni janga kubwa sana kwa sasa sio vijana au wazee wanalalamiki kukimbiwa na wa wapenzi wao au ndoa kuvunjika kutokana na mwanaume kulala na mwanamke kitanda kimoja hata wiki mbili bila kushiriki tendo la ndoa na hii ndio inachangia wanawake wengi kutoka nje ya ndoa kwa nini huteseke na wakati dawa zipo ambazo zitarudisha heshima yako ya ndoa 

MIZIZI 29 POWER; ni ambayo hutibu na kurudisha virutubisho mwilini ambavyo humfanya mwanaume awe na matatizo yafatayo 1 kuwahi kukojoa kabla mke au mpenzi wake

 2. kushindwa kurudia tendo dawa, hii itakufanya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu 

3... dawa hii inatibu uume uliolegea na kusinyaa 

4. dawa hii inatoa miungurumo ya tumbo na uchovu wakati wa kumaliza tendo 

NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupiga punyeto kwa mda mrefu 
2 upungufu wa vichochoe mwilini 
3 magonjwa ya moyo, kisukari, presha, vidonda vya tumbo kiuno na mgongo 
4 utumiaji ovyo wa madawa ya kizungu 
4 usongo wa mawazo, hasira, tumbo kujaa gesi na kutopata choo.

 PATA TIBA YANGU NA NI TOFAUTI NA ULIZO WAHI KUTUMIA: 

Je una uume mfupi na mwembamba? MASHESHA MIX ni dawa ya kuboresha uume saiz upendayo asa kwa wale waliofanyiwa tohara wakiwa wadogo.. chagua saizi upendayo inch 5,6,7, adi 8 iyo ni kwa urefu na unene sentimita 2,3,4, adi 5 .dawa hizi zipo za kupaka na kunywa na hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ,

Tunatibu kisukari,vidonda vya tumbo,ngiri, korodani iliyovimba, kupnguza kitambi, maziwa makubwa NK 

KWA TIBA NA USHAULI FIKA OFISINI KWANGU DARE S SALAAMU MBAGALA ZAKHEMU NA MIKOA YA KANDA YA ZIWA YUPO WAKALA WETU HAPO MWANZA NA KWA AMBAO HAWANA NAFASI YA KUJA OFISINI HUDUMA YETU UTALETEWA POPOTE ULIPO PIGA SIMU 0783185060 DR MAKOYE

Waziri Mkuu Amwagiza RPC Shinyanga Awakamate Viongozi Tisa Wa AMCOS Ya Ushetu.....Ni kwa upotevu wa dola za Marekani 21,000

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Simon Haule awakamate viongozi wa Chama cha Msingi cha Mkombozi kwa upotevu wa dola za marekani 21,000 za chama hicho.

“Wabebe hawa watu, wahoji waseme hiyo fedha iko wapi na jambo la kwanza wailete hiyo fedha ya wakulima. Wakishindwa kurejesha fedha, wawekwe ndani,” amesema.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Jumatatu, Julai 16, 2018) wakati akizungumza na mamia ya wananchi wa kijiji cha Kangeme, kata ya Ulowa katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama ambao alienda kuzindua mpango wa Ushirika Afya na NHIF.

Waziri Mkuu amefikia uamuzi huo baada ya kuwaita viongozi wa chama cha Mkombozi watoke hadharani na kubaini kuwa hakuwepo hata mmoja. Inadaiwa kwamba walitoroka baada ya wananchi kuanza kuzomea.

Kamanda Haule amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Mwenyekiti, Bw. Shilinde Abdallah na mhasibu wa AMCOS hiyo, Bw. Kulwa Shinzi pamoja na wajumbe saba wa bodi ya chama hicho.

Akiwa katika tukio hilo, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Kahama (KACU), Bw. Emmanuel Cherehani alisoma taarifa ya Chama na alipotaja bei ya tumbaku kuwa ni nzuri, wananchi walimzomea kupinga kile alichokisema. Bw. Cherehani alikuwa akitoa mafanikio ya chama hicho, na kusema kuwa bei ya tumbaku ni nzuri.

Akitoa ufafanuzi kuhusu kadhia hiyo, Waziri wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba alisema kuna tatizo katika uteuzi (grading) wa tumbaku kwani wakulima wanalima tumbaku nzuri lakini katika upangaji bei, wanalipwa bei ndogo. “Kuna wakulima wanakidai chama cha Mkombozi kiasi cha dola za Marekani ambayo ni madai ya tumbaku waliyoiuza tangu mwaka 2014.”

Akizungumza na wananchi hao, Waziri Mkuu alisema Serikali imeamua kufufua ushirika kwa sababu ndiyo mkombozi wa wakulima. “Tumeamua kurudisha ushirika aminifu kwa wakulima, na nirudie kutoa onyo kwa viongozi waliopata dhamana ya kuongoza ushirika wasidhani kule wameenda kupata ulaji.”

“Tunataka ushirika unaosimamiwa na viongozi waaminifu. Kwenye ushirika kuna fedha na kuna mali za chama, kwa hiyo ni lazima tupate viongozi ambao ni waaminifu,” amesema.

“Kwa mfano, hapa Ulowa wakulima wamekuwa wakilalamikia kupewa bei ya chini wakati wakati wao viongozi wanabeba kile cha juu na kuwaumiza wakulima. Kiongozi wa KACU kasoma taarifa hapa mkaanza kuzomea, hiyo ni dalili tosha kwamba kuna tatizo la msingi,” amesema.

Waziri Mkuu alitumia fursa hiyo kuwaasa wakulima waachane na tabia ya kukopa pembejeo na kufunga mikataba na makampuni ya ununuzi wa tumbaku na badala yake wajiwekee akiba ili msimu wa kilimo ukianza wasirudie tena kukopa.

“Gharama za kulima ekari moja, kuweka dawa, palizi na kuchoma haizidi sh. 150,000. Wewe amua unataka kulima ekari ngapi, weka fedha zako kwenye akaunti usubiri msimu ujao. Kwenye hii biashara ya tumbaku, ukitafuta mikopo utabakia kuwa maskini kwa sababu huna nguvu ya kubishania bei. Wenzenu wanaolima korosho, wameacha kukopa na bei mnazisikia kila mwaka zinapanda,” amesema.

“Ukiwa na mazao yako utaweza kubishana na mnunuzi. Tanzania bei ya tumbaku iko chini sababu wakulima mmetufikisha hapo kwa kupitia mikopo na mikataba na makampuni ya ununuzi. Kuanzia sasa badilikeni, ili muweze kuinua bei ya zao hili muhimu, alisema.

TRA Yakusanya Trilioni 15.5 Kwa Mwaka Wa Fedha 2017/18

$
0
0
Na Veronica Kazimoto
Makusanyo ya kodi kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 yameongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 15.5 kutoka shilingi trilioni 14.4 kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 sawa na ongezekeo la asilimia 7.5.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya makusanyo ya kodi ya mwaka wa fedha 2017/18, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Richard Kayombo amesema kuwa katika mwezi Juni, 2018 pekee, TRA imekusanya jumla ya shilingi trilioni 1.5 ikilinganishwa na shilingi trilioni 1.4 kwa mwezi Juni, 2017 ambayo ni sawa na ukuaji wa asilimia 8.0.

“TRA inapenda kuwapongeza na kuwashukuru walipakodi wote ambao mchango wao umeiwezesha Serikali kupata mapato haya tunayotangaza leo kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo na za jamii zikiwemo ujenzi wa miundombinu ya reli na barabara, ununuzi wa ndege, upatikanaji wa elimu, afya na mambo mengine kwa manufaa ya watanzania wote,” alisema Kayombo.

Kayombo amezitaja sababu zilizosababisha kuongezeka kwa makusanyo hayo kuwa ni pamoja na elimu ya kodi kuzidi kueleweka kwa walipakodi na wananchi kwa ujumla, kuongeza ukaribu na walipakodi kwa kuwasikiliza na kutatua changamoto zao za kikodi, kuongezeka kwa walipakodi wapya kupitia kampeni ya kuwasajili kwa kuwafuata waliko na kurahisisha ulipaji wa kodi kwa njia ya kielektroniki.

Aidha, Mkurugenzi huyo alisema kuwa, katika Mwaka huu wa Fedha 2018/19, TRA imedhamiria kutekeleza kwa vitendo kampeni kabambe ya msamaha wa riba na adhabu kwa malimbikizo ya madeni ya nyuma na inategemea kuongeza urahisi wa kulipa madeni ambayo yalikuwa kikwazo kwa wafanya biashara wengi kulipa na hata kuendelea na biashara.

“Vilevile, mamlaka imedhamiria kuongeza kasi ya usajili wa walipakodi wapya. Hivyo, tunaendelea na kasi ya utambuzi na usajili wa wafanyabiashara wadogo ili kila mtu anayestahili kulipa kodi asajiliwe na kuchangia kikamilifu maendeleo ya Taifa,” alieleza Kayombo.

Mkurugenzi Kayombo ametoa wito kwa walipakodi na wananchi wote kuendelea kulipa kodi kwa hiari na kujenga utamaduni wa kudai Risiti za Kielektroniki za Kutolea Risiti (EFDs) kila mfanyabiashara anapofanya mauzo na mnunuzi anatakiwa kudai risiti kila anaponunua bidhaa na huduma mbalimbali.

Mahakama yatengua hukumu kesi ya ufukwe wa Oysterbay

$
0
0
Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na mwenendo wa kesi ya mkataba wa uendelezaji wa ufukwe wa Oysterbay kwa kuwa Jaji Aghaton Nchimbi aliyetoa hukumu hiyo hakueleza sababu za kuisikiliza yeye, badala ya jaji wa awali.

Kutokana na hali hiyo, Mahakama hiyo imeirudisha kesi hiyo Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi ili ianze kusikilizwa upya na jaji mwingine tofauti na aliyetoa hukumu hiyo.

Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, lililoongozwa na Kipenka Mussa akishirikiana na Jaji Richard Mziray na Jaji Gerald Ndika.

Jopo hilo la majaji lilisikiliza rufaa ya kesi ya Manispaa ya Kinondoni dhidi ya Kampuni ya Q Consult Limited.

Mahakama Kuu katika hukumu yake iliyotolewa na Jaji Nchimbi Julai 23, 2015, ilikubaliana na madai ya mlalamikaji, Q Consult Limited kuwa Manispaa ya Kinondoni ilivunja makubaliano ya uendelezaji wa ufukwe huo kwa kutotekeleza majukumu yake.

Hivyo, Jaji Nchimbi aliiamuru manispaa kutekeleza wajibu wake kulingana na makubaliano ya mkataba huo na pia akaiamuru imlipe mdai fidia ya Sh500 milioni.

Manispaa ya Kinondoni ilikata rufaa kupinga hukumu hiyo, ikidai kuwa Jaji Nchimbi aliyetoa hukumu hiyo hakuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo.

Hata hivyo, Mahakama ya Rufani katika hukumu yake iliyoandikwa na Jaji Ndika kwa niaba ya jopo hilo, ilieleza kuwa Jaji Nchimbi kutokueleza sababu za kuisikiliza kesi hiyo kunamfanya akose mamlaka ya kushughulika nayo.

Katika hukumu hiyo ambayo Gazeti la Mwananchi imeiona nakala yake, Mahakama ya Rufani imeeleza msimamo wa kisheria kwamba jaji au hakimu anapolazimika kuendesha kesi ambayo tayari ilishaanza kusikilizwa na jaji/hakimu mwingine ni lazima aeleze sababu za yeye kuisikiliza.

Huku ikirejea hukumu za kesi mbalimbali pamoja na kifungu cha 214 (1) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai (CPA), Mahakama ya Rufani imesema kutokuwepo kwa sababu yoyote kwenye kumbukumbu za shauri husika kunamfanya jaji/hakimu huyo asiwe na mamlaka kuiendesha.

Imesisitiza kuwa matokeo yake mwenendo wote wa shauri hilo ambao umeshaendeshwa na jaji/hakimu mwingine unakuwa ni batili.

Watu Sita Watiwa mbaroni kwa uchochezi Tarime

$
0
0
Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kituo cha Sirari wilayani hapa Mkoa wa Mara kwa tuhuma za kula njama ya kuanzisha mapigano baina ya koo mbili za Wakira na Wanyabasi katika vijiji vya Kebweye na Kyoruba.

Akizungumza leo Jumatatu Julai 16, 2018 Kamanda wa polisi Tarime/Rorya,  Henry Mwaibambe amesema watu hao walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi wa koo wakigombea mipaka ya vijiji hivyo.

Amesema walipanga kuanzisha vurugu lakini polisi walipata taarifa na kufanikiwa kuizima.

Mwenyekiti wa kijiji cha Kebweye, Marwa Nyasoko amesema vurugu hizo ziliibuka Julai 13, 2018 baada ya wananchi wa kijiji cha Kyoruba kuvamia miji iliyopo mpakani na kuchoma nyumba moto.

"Saa tatu usiku walivamia miji mitatu ya mpakani wakachoma nyumba mbili za nyasi na kukatakata bati zilizokuwa zimeezeka nyumba moja lakini polisi wakawa wamefika na kuwatawanya,” amesema  Nyasoko.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya July 17

Rais Magufuli atangaza neema kwa wafanyabishara wa Mbezi Jijini Dar es Salaam

$
0
0
Rais Dkt. John Magufuli ametangaza neema kwa wafanyabiashara wadogo wadogo wa eneo la Mbezi Jijini Dar es Salaam kuendelea kufanya biashara zao pembezoni mwa barabara huku akizitaka mamlaka husika zisiwanyanyase wafanyabiashara hao wanaotafuta kipato .

Dkt. Magufuli ameeleza hayo jana Julai 16, 2018 wakati akiwa njiani kuelekea Ikulu akiwa anatokea Mkoa wa Pwani, Kibaha kuweka jiwe la msingi la Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere na kusema wafanyabiashara hawawezi kunyanyaswa katika kipindi chake ambacho atakuwa madarakani huku akiwataka wafanyabiashara hao nao pia kuacha tabia ya kuinyanyasa serikali.

"Biashara haifanywi porini, biashara inafanywa mahali pa watu. Kama mnaviongozi wenu mkae nao na muambizane msisogee barabarani kufanya biashara zenu, kwasababu kwa amri hii niliyoitoa ikitokea watu wakafa kesho kwa kugongwa na gari watasema Magufuli aliamrisha watu wagongwe, maana nitakuwa nina deni kubwa la kulipa kwa Mwenyezi Mungu", amesema Rais Magufuli.

Pamoja na hayo, Magufuli ameendelea kwa kusema "sitaki nikalipe hiyo dhambi kwa hiyo nawaomba sana ndugu zangu wa Mbezi na TANROADS wameshanisikia. 

"Kuanzia leo wasiwanyanyase watu wa pembeni lakini na nyinyi msifanyie biashara barabarani maana TANROADS watawashika na Jeshi la Polisi litashughulika. Kama kuna wafanyabiashara wowote wameshikiliwa bidhaa zao warudishiwe".

Kwa upande mwingine, Rais Magufuli amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Ubungo na Mkurugenzi kutenga eneo kwaajili ya wafanyabiashara hao waliopo katika eneo la Mbezi mwisho jijini Dar es Salaam ili kusudi wawe na eneo maalum la kufanyia kazi zao.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya July 18


Dk. Kigwangalla Aagiza Katibu Wa UVCCM Tarime Kukamatwa Na Kufunguliwa Mashtaka Ya Kuikashifu Serikali

$
0
0
Tarime - Mara: WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliagiza Jeshi la Polisi wilaya ya Tarime mkoani Mara kumkamata na kumfungulia mashtaka Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wa Wilaya hiyo, Newton Mongi na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya wilaya hiyo, Richard Tiboche kwa tuhuma za kuikashifu Serikali na kuchochea mgogoro wa mpaka kati ya hifadhi ya Serengeti na vijiji jirani.

Dk. Kigwangalla ametoa agizo hilo jana majira ya saa tatu usiku baada ya kuhitimisha ziara yake wilayani humo iliyolenga kutafuta suluhu ya mgogoro uliodumu kwa miongo kadhaa kuhusu mpaka wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na vijiji jirani ikiwemo kijiji cha Kegonga.

Akiwa njiani majira ya saa tatu za usiku kwenye gari la wazi baada ya kukagua eneo hilo la mpaka kwa zaidi ya masaa sita, Waziri Kigwangalla na msafara wake walikuta lundo la mawe yakiwa barabarani ndani ya eneo la hifadhi hiyo, hali iliyosababisha taharuki kubwa na msafara wake kushuka na kuanza kuondoa mawe hayo ili kupata njia ya kupita.

Wakati zoezi hilo likiwa  linaendelea, Kiongozi huyo wa UVCCM alisikika akiituhumu Serikali kwa kuweka mawe hayo na kwamba hayakuwekwa na wananchi wa eneo hilo, jambo lililozua mshangao mkubwa  kwa viongozi wa Serikali waliokuwepo katika msafara huo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.

Mkuu huyo wa mkoa alisema tukio hilo sio la mara ya kwanza na kwamba limewahi kuripotiwa mara nyingi na uongozi wa hifadhi hiyo kuwa wananchi wa vijiji jirani hujaza mawe barabarani kwa ajili ya kuzuia magari ya doria ili waweze kulisha mifugo yao ndani ya hifadhi hiyo. Alisema hata msafara wa tume ya Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda iliyoundwa na CCM hivi karibuni kufuatilia mgogoro katika eneo hilo nao ulizuiliwa kwa mawe barabarani.

Imedaiwa pia kuwa kwa nyakati tofauti viongozi hao wamekuwa wakiwatolea viongozi wa Serikali maneno ya kejeli pamoja na kuwakwamisha kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ipasavyo.

Awali, kabla ya tukio hilo la mawe barabarani moja ya gari lililokuwa likiongoza msafara huo lilipata pancha baada ya kukanyaga misumari iliyokuwa imetengwa kwenye moja ya barabara zinazoingia na kutoka ndani ya Hifadhi ya hiyo ya Serengeti.

Waziri Kigwangalla alisikitishwa na kitendo hicho ambacho alikielezea kuwa sio cha kiuungwana kwa kuwa kinalenga kudhoofisha juhudi za Serikali kumaliza mgogoro huo kwa faida ya pande zote.

"Mimi ni Muislam, nimesikia kwa masikio yangu na wala sijaambiwa na mtu yeyote na siwezi kumsingizia mtu, nimeshangazwa sana na kiongozi tena mtendaji wa chama tawala anawezaje kuitukana Serikali, na hapa sisi tumekuja kuwahudumia wananchi" alisema Dk. Kigwangalla kwa masikitiko makubwa.

Wakati huo huo, Waziri Kigwangalla ametoa miezi mitatu kwa wananchi wote waliovamia ndani ya Hifadhi ya Serengeti na eneo la wazi (buffer zone) ambao wanaendesha shughuli zao ikiwemo kilimo, ufugaji na makazi kuachia maeneo hayo kwa hiari yao wenyewe, na kwamba muda huo ukipita wataondolewa kwa nguvu na chochote kitakachokutwa ndani ya eneo hilo kitatekezwa kwa mujibu wa sheria.

Akizungumzia kuhusu suluhu ya mgogoro huo wa mpaka amesema, Serikali itaunda timu ya wataalam kutoka wizarani kwake, wizara ya ardhi, uongozi wa mkoa wa Mara na wilaya ya Tarime ambao watashirikiana na watu wengine huru watakaochaguliwa na wananchi wa vjiji husika wakiongozwa na mbunge wao, John Heche ambao watakuwa na uelewa wa kusoma ramani na kutafsiri mipaka ili kushirikiana kuhakiki mipaka halisi ya eneo hilo na kufikia muafaka.

Waziri Mkuu Ampa Heko Dkt Tizeba Usimamizi Wenye Tija Kwenye Korosho, Amtaka Kuipaisha Na Tumbaku

$
0
0
Na Mathias Canal, Ushetu-Shinyanga
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa (Mb) amempongeza Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba katika kipindi cha miaka miwili tangu ateuliwe kuhudumu katika nafasi hiyo kwa kupaisha zao la Korosho kutoka shilingi 1470 kwa kilo moja au 1480 na hatimaye kufikia shilingi 4300 kwa kilo moja.

Alisema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita zao hilo lilikuwa likiuzwa kati ya shilingi 700 mpaka 800 kwa kila kilo moja jambo ambalo lilimdidimiza mkulima kwani aliwekeza nguvu nyingi katika Kilimo lakini tija ya nguvu zake ilikuwa na thamani ndogo.

Waziri Mkuu alitoa pongezi hizo juzi 16 Julai 2018 kijijini Kangeme Kata ya Ulowa wakati akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye sherehe za uzinduzi wa mpango wa matibabu kwa wanachama wa vyama vya ushirika nchini unaojulikana kama Ushirika Afya.

Alitoa pongezi hizo pia kwa waziri Tizeba kutokana na juhudi zake anazozifanya ikiwa ni pamoja na kuongezeka maradufu kwa bei kwenye zao la ufuta kutoka shilingi

Aidha, katika kuongeza ufanisi kwenye kuimarisha na kufanua mabadiliko ya kimazoea katika vyama vya msingi, Waziri Mkuu alimuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Simon Haule kuwakamata viongozi wa Chama cha Msingi cha Mkombozi kwa upotevu wa dola za marekani 21,000 za chama hicho.

"Wabebe hawa watu, wahoji waseme hiyo fedha iko wapi na jambo la kwanza wailete hiyo fedha ya wakulima. Wakishindwa kurejesha fedha, wawekwe ndani," alisema.

Waziri Mkuu amefikia uamuzi huo baada ya kuwaita viongozi wa chama cha Mkombozi watoke hadharani na kubaini kuwa hakuwepo hata mmoja. Inadaiwa kwamba walitoroka baada ya wananchi kuanza kuzomea.

Kamanda Haule amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Mwenyekiti, Bw. Shilinde Abdallah na mhasibu wa AMCOS hiyo, Bw. Kulwa Shinzi pamoja na wajumbe saba wa bodi ya chama hicho.

Akizungumzia kuhusu Ushirika, Waziri Mkuu alisema Serikali imeamua kufufua ushirika kwa sababu ndiyo mkombozi wa wakulima. "Tumeamua kurudisha ushirika aminifu kwa wakulima, na nirudie kutoa onyo kwa viongozi waliopata dhamana ya kuongoza ushirika wasidhani kule wameenda kupata ulaji.”

“Tunataka ushirika unaosimamiwa na viongozi waaminifu. Kwenye ushirika kuna fedha na kuna mali za chama, kwa hiyo ni lazima tupate viongozi ambao ni waaminifu,” alisema.

Waziri wa Kilimo, Dkt Charles Tizeba alisema kuna tatizo katika uteuzi (grading) wa tumbaku kwani wakulima wanalima tumbaku nzuri lakini katika upangaji bei, wanalipwa bei ndogo. “Kuna wakulima wanakidai chama cha Mkombozi kiasi cha dola za Marekani ambayo ni madai ya tumbaku waliyoiuza tangu mwaka 2014.”

Akizungumzia kuhusu Ushika Afya, Dkt Tizeba aliongeza kuwa Tume ya maendeleo ya Ushirika kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wameunda mpango wa matibabu kwa wanachama wa vyama vya Ushirika nchini ikiwa ni mafanikio yanayoendelea kuonekana katika kuimarisha Ushirika nchini kwa kuakisi utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambayo ndiyo mkataba kati ya wananchi na serikali katika kipindi cha miaka mitano 2015-2020.

Alisema kupitia utaratibu huo wanachama Wa Ushirika Afya atanufaika na huduma za afya zinazotolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya zaidi ya elfu sita na miatano (6500) vilivyosajiliwa na Mfuko Wa Taifa Wa Bima ya Afya nchini na hatimaye kuchangia kikamilifu katika uzalishaji na ukuaji wa uchumi wa nchi.

MWISHO.

Tazama Hapa Kuona Majina Ya Walimu Wa Ajira Mpya Waliopangwa Katika Vituo Vya Kazi Kwenye Shule Za Msingi Na Sekondari Julai, 2018

$
0
0
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI JULAI, 2018

Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuutarifu Umma kuwa, jumla ya Walimu 4,840 wamepangiwa vituo vya kazi kwenye Shule mbalimbali za Msingi na baadhi kwenye Shule za Sekondari nchini. 

Walimu hao waliopangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kuripoti katika Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri zilipo shule walizopangiwa na baadaye kuripoti kwenye Shule walizopangiwa. 

Walimu wote wanatakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 23 Julai, 2018 hadi tarehe 7 Agosti, 2018 wakiwa na mahitaji yafuatayo:
  • Vyeti halisi vya taaluma vya Kidato cha Nne na/au Kidato cha Sita;
  • Vyeti halisi vya kitaaluma vya mafunzo ya Ualimu katika ngazi husika; na
  • Cheti halisi cha kuzaliwa.
Walimu wote waliopangiwa vituo vya kazi wanaelekezwa kuwa:
  • Vituo vyao vya kazi ni Shule ya Msingi au Sekondari alizopangiwa na sio Makao Makuu ya Halmashauri;
  • Mwajiriwa atakayeripoti na kuchukua posho ya kujikimu kisha akaondoka katika kituo chake cha kazi alichopangiwa Serikali itamchukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo; na
  • Hakuna Mwalimu atakayekubaliwa kubadilisha kituo kwa sababu yoyote ile. Kila mwajiriwa mpya anapaswa kuripoti katika kituo chake alichopangiwa na si vinginevyo. Waajiriwa wapya ambao watashindwa kuripoti katika vituo walivyopangiwa nafasi zao zitachukuliwa na Walimu wengine 5,220 wenye sifa waliokosa nafasi.
Wakurugenzi wa Halmashauri husika wawapokee Walimu waliopangwa kwenye Halmashauri zao kwa kuzingatia taratibu na kanuni zote za utumishi wa Umma, ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa ya kuripoti kwao. Taarifa ya kuripoti waajiriwa hao itumwe Ofisi ya Rais- TAMISEMI ifikapo au kabla ya tarehe 10.08.2018 baada ya tarehe ya mwisho ya kuripoti.
 
Majina ya Walimu waliopangiwa vituo yanapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Rais – TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz
 
Imetolewa na:
KATIBU MKUU OFISI YA RAIS – TAMISEMI

Waziri Mkuu Asema Serikali Imejenga Vituo Vya Afya 108.....Aweka jiwe la msingi kituo cha afya Chela

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 108 na inatarajia kujenga vingine 68 katika mwaka huu wa fedha.

Ametoa kauli hiyo jana asubuhi (Jumanne, Julai 17, 2018) wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye kituo cha afya cha Chela, kata ya Chela katika Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga.

Ameipongeza kamati ya ujenzi ya kijiji pamoja na watumishi wa Halmashauri hiyo kwa kusimamia vizuri ujenzi na kupata majengo yenye viwango kupitia "Force Account." Baadhi ya Halmashauri hutumia njia ya manunuzi ya “Force Account” badala ya kutumia wakandarasi ili kupunguza gharama na kukamilisha mradi ndani ya muda mfupi.

"Majengo haya yamegharimu sh. milioni 400, hongera wananchi na kamati ya ujenzi iliyosimamia hapa. Tumepata majengo mazuri kwa sababu ile kamati na watumishi wa Halmashauri ni waaminifu, ndiyo maana majengo yanapendeza," amesema.

Waziri Mkuu alise kuna ombi la zahanati lilitolewa na mmoja wa wabunge wa viti maalum wa mkoa huo lakini akatumia fursa hiyo kuwapa mwongozo wananchi kwamba ujenzi wa maboma ya zahanati hivi sasa unafanywa na wananchi na Halmashauri inamalizia kwa kutoa vifaa vya kuezekea.

"Tuna vijiji zaidi ya 16,000 kwa nchi nzima na tumesisitiza kila kijiji kiwe na zahanati. Tumeamua wananchi wajitolee kujenga boma na Halmashauri itamalizia kwa kutoa vifaa vya kiwandani kama mabati na misumari."

Alisema wanahitaji kujenga nyumba ya vyumba vinne ili wapate chumba cha mganga, chumba cha kufunga vidonda, cha sindano na cha kutolea dawa.

"Serikali yenyewe inaenda kwenye kata na kujenga vituo vya afya vyenye uwezo wa kutoa huduma zote ili wananchi wasipate taabu ya kusafiri hadi makao makuu ya wilaya," alisema.

"Kila kituo cha afya kinapaswa kiwe na maabara, chumba cha daktari, cha upasuaji, chumba cha kujifungulia akinamama wajawazito na chumba cha kupumzikia mama na mtoto. Pia kuwe na chumba cha sindano, vidonda na kutolea dawa," alisema.

Alisema vituo vyote vya afya vilivyojengwa vimepatiwa sh. milioni 500 kila kimoja za kununulia vifaa na samani.

Amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala, Bw. Simon Berege apeleke maombi kwenye Baraza la Madiwani ili waweze kuongeza majengo mawili, moja likiwa ni wodi ya akinamama na watoto ya magonjwa mchanganyiko na nyingine iwe ya akinababa ya magonjwa mchanganyiko.

Mapema, mbunge wa Jimbo la Msalala, Bw. Ezekiel Maige alisema wananchi wa kata hiyo wanakabiliwa na ukosefu wa soko la dengu, hali iliyosababisha bei ishuke sana.

"Wananchi wa kata ya Chela ni wazalishaji wakubwa wa dengu na msimu ukiwa mzuri, bei ya gunia moja inafikia sh. 200,000. Lakini sasa hivi, imeshuka hadi chini ya sh. 100,000. Tunaomba watafutiwe soko ili uchumi wa hapa uinuke," alisema.

Akiwa Chela, Waziri Mkuu alimtambulisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Kahama, Bw. Anamringi Macha ambaye ameanza kazi leo hii baada ya kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Bibi Zainab Tellack.

"Nimtambulishe kwenu Mkuu mpya wa Wilaya ya Kahama ambaye hajafikisha hata saa mbili tangu alipoapishwa asubuhi hii. Tayari ameanza kazi, na hii ndiyo Serikali ya Hapa Kazi Tu," alisema.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,

Trump ajichanganya na kauli yake kuhusu Urusi

$
0
0
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anakubaliana na hitimisho lililotolewa na Taasisi za Ujasusi za nchi yake kwamba Urusi iliingilia kati uchaguzi mkuu wa nchi hiyo wa mwaka 2016.

Akikanusha kauli yake aliyoitoa siku moja iliyopita baada ya mkutano wake na Rais Vladmir Putin wa Urusi.

Amesema alieleweka vibaya siku ya Jumatatu na kwamba alikuwa akimaanisha kwamba hakuona sababu kwanini isiwe Urusi ambayo ilifanya udukuzi katika uchaguzi huo.

Ni Rais Trump akiitolea ufafanuzi na kuikanusha kauli yake ya awali, ambayo imezua sintofahamu na kukosolewa vikali. Hata kwa baadhi ya washirika wake wakitaka ufafanuzi zaidi na kusafisha kauli hiyo.

Amedai kuwa katika mkutano huo wa Helsinki alimaanisha kusema kwamba hakuna sababu ya kufikiria kuwa Moscow haiwezi kuingilia kati uchaguzi wa Marekani.

Amesema ana imani na kuunga mkono taasisi za usalama za nchi yake.
 
''..Naanza kusema kwamba nina imani na kuunga mkono mashirika ya kijasusi ya Marekani na siku zote ni hivyo. Acha niweke wazi kabisa kwa kusema kuwa na nimekuwa nikisema hivyo mara kadhaa, nakubaliana na hitimisho lililotolewa wapelelezi wetu kwamba Urusi ilifanya udukuzi katika uchaguzi uliofanyika mwaka 2016..'' Ameongezea Trump

Lakini hata hivyo baadhi ya wapinzani wake, wamesema hawana imani na utetezi huo alioutoa Rais Trump, Huku baadhi yao wakiionya Urusi kwamba kilichotokea mwaka 2016, kisitokee tena.

Hata hivyo Kwa upande wake Mark Warner, Seneta kutoka chama cha upinzani nchini Marekani cha Democratic ameweka wazi kwamba hana imani na kauli za kiongozi huyo.

''...Sikubaliani na kauli alizotoa Rais leo. Kama angetaka kutoa kauli hizo, angepaswa kuwa na uwezo wa kufanya hivyo mbele ya Vladmir Putin. Huyu ni Rais ambaye alionesha udhaifu mbele ya kiongozi wa Urusi, alionesha udhaifu mbele ya dunia nzima...'' Alisema Seneta Warner 

Credit: BBC
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images