Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Watu Sita Watiwa mbaroni kwa uchochezi Tarime

$
0
0
Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kituo cha Sirari wilayani hapa Mkoa wa Mara kwa tuhuma za kula njama ya kuanzisha mapigano baina ya koo mbili za Wakira na Wanyabasi katika vijiji vya Kebweye na Kyoruba.

Akizungumza leo Jumatatu Julai 16, 2018 Kamanda wa polisi Tarime/Rorya,  Henry Mwaibambe amesema watu hao walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi wa koo wakigombea mipaka ya vijiji hivyo.

Amesema walipanga kuanzisha vurugu lakini polisi walipata taarifa na kufanikiwa kuizima.

Mwenyekiti wa kijiji cha Kebweye, Marwa Nyasoko amesema vurugu hizo ziliibuka Julai 13, 2018 baada ya wananchi wa kijiji cha Kyoruba kuvamia miji iliyopo mpakani na kuchoma nyumba moto.

"Saa tatu usiku walivamia miji mitatu ya mpakani wakachoma nyumba mbili za nyasi na kukatakata bati zilizokuwa zimeezeka nyumba moja lakini polisi wakawa wamefika na kuwatawanya,” amesema  Nyasoko.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya July 17

Rais Magufuli atangaza neema kwa wafanyabishara wa Mbezi Jijini Dar es Salaam

$
0
0
Rais Dkt. John Magufuli ametangaza neema kwa wafanyabiashara wadogo wadogo wa eneo la Mbezi Jijini Dar es Salaam kuendelea kufanya biashara zao pembezoni mwa barabara huku akizitaka mamlaka husika zisiwanyanyase wafanyabiashara hao wanaotafuta kipato .

Dkt. Magufuli ameeleza hayo jana Julai 16, 2018 wakati akiwa njiani kuelekea Ikulu akiwa anatokea Mkoa wa Pwani, Kibaha kuweka jiwe la msingi la Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere na kusema wafanyabiashara hawawezi kunyanyaswa katika kipindi chake ambacho atakuwa madarakani huku akiwataka wafanyabiashara hao nao pia kuacha tabia ya kuinyanyasa serikali.

"Biashara haifanywi porini, biashara inafanywa mahali pa watu. Kama mnaviongozi wenu mkae nao na muambizane msisogee barabarani kufanya biashara zenu, kwasababu kwa amri hii niliyoitoa ikitokea watu wakafa kesho kwa kugongwa na gari watasema Magufuli aliamrisha watu wagongwe, maana nitakuwa nina deni kubwa la kulipa kwa Mwenyezi Mungu", amesema Rais Magufuli.

Pamoja na hayo, Magufuli ameendelea kwa kusema "sitaki nikalipe hiyo dhambi kwa hiyo nawaomba sana ndugu zangu wa Mbezi na TANROADS wameshanisikia. 

"Kuanzia leo wasiwanyanyase watu wa pembeni lakini na nyinyi msifanyie biashara barabarani maana TANROADS watawashika na Jeshi la Polisi litashughulika. Kama kuna wafanyabiashara wowote wameshikiliwa bidhaa zao warudishiwe".

Kwa upande mwingine, Rais Magufuli amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Ubungo na Mkurugenzi kutenga eneo kwaajili ya wafanyabiashara hao waliopo katika eneo la Mbezi mwisho jijini Dar es Salaam ili kusudi wawe na eneo maalum la kufanyia kazi zao.

Wazalisha Dawa Kutoka Nchi 130 Wakutana Na Bohari Ya Dawa (MSD) Jijini Dar Es Salaam

$
0
0
Na Dotto Mwaibale
KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Dkt.Mpoki Ulisubisya, amesema uwezo wa Bohari ya Dawa (MSD), umeongeza na kupanua wigo wa uwekazaji na uzalishaji wa dawa nchini.

Akizungumza kwenye Mkutano wa pili wa mwaka wa MSD na wazalishaji na washitiri wa dawa na vifaa tiba zaidi ya 130 kutoka nchi 25, Dkt. Mpoki amesisitiza kuwa, MSD niya kiwango cha kimataifa hivyo milango iko wazi kwa wawekezaji wa dawa na vifaa tiba kuja kuwekeza nchini.

Aliongeza kuwa mkutano huo ni fursa ya kubadilishana uzoefu na kujadili namna yakufanya manunuzi,utekelezaji wamikataba na uimarishaji wa uwekezaji katika sekta ya afya.

“Tunaitikia wito wa serikali wa kuhakikisha wawekezaji wa ndani wanapewa kipaumbele, hivyo mkutano huu wakiutendaji,utaijengea uwezo MSD na kuongeza ushirikiano kati yake na wawekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba kwa kujua mahitaji aliyopo na kuwashauri soko tulilonalo ndani na njeya nchi ilikupanua wigo wautendaji,”alisema.

Aidha alisisitiza  kuwa  uwezo wa MSD katika usambazaji wa dawa na vifaa tiba umekua na  ndio sababu ya kukidhi viwango vya kimataifa, huku  mwaka wa fedha uliopita wakiwa wameweza  kutumia dola milioni 700 kwa ajili ya kufanya manunuzi.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel, alisema utendaji wa MSD meboresha huduma za afya nchini na uhusiano wa karibu kati ya wizara yake na sekta ya afya nikichocheo muhimu cha uchumi nchini.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Rugambwa Bwanakunu, alisema hatua ya bohari kununua dawa moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji, imewawezesha kupanua wigo wa huduma na  kuwa karibu na wafanyabiashara na wawekezaji 160 alioingia nao mikataba, hivyo mkutano huo utawajengea uwezo na kuongeza ushindani kwa wazalishajihao.

Aidha, kwa upande wake mwakilishi wa wazalishaji wa ndani, kutoka kiwanda cha Prince Phermaceutical,HetalVitalan, lisema uimarishaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba  hapa nchini,umesaidia fedha inayotengwa na serikali katika bajeti ya dawa  kuweza kukuza uchumi wa ndani,kuongeza ajira kwa watanzania  na kupanua wigo waukusanyaji wa kodi kwa viwanda vya ndani.

Vigogo Kesi ya Uhujumu Uchumi wa Madini ya Almasi Kuendelea Kusota Mahabusu

$
0
0
Jalada la kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi wa Uthaminishaji Almasi na Vito Tanzania (Tansort),  Archard Kalugendo na mthamini almasi wa Serikali, Edward Rweyemamu bado lipo kwa Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) kwa ajili ya uamuzi.

Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi amedai hayo jana Jumatatu, Julai 16, 2018 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri wakati kesi hiyo inayowakabili waajiriwa hao wa Wizara ya Madini, ilipotajwa.

Kishenyi alidai kesi ilipangwa kwa ajili ya kutajwa, upelelezi bado haujakamilika akibainisha kuwa jalada la shauri hilo lipo kwa DPP kwa ajili ya kulipitia na kulifanyia uamuzi.

Baada ya kueleza hayo aliomba kesi hiyo ipangiwe tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa ili kuangalia kama upelelezi utakuwa umekamilika.

Baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mashauri ameahirisha kesi hiyo hadi Julai 30, 2018.

Kalugendo na Rweyemamu wanasota mahabusu kutokana na DPP kuzuia dhamana zao.

Waandishi Wa Habari Za Mahakamani Watakiwa Kuzingatia Weledi

$
0
0
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro,Elizabeth Nyembele, amewataka waandishi wa Habari za Mahakamani kufikisha taarifa sahihi kwa jamii.

Nyembele, ameyasema hayo jana alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tano ya Waandishi wa habari za Mahakamani.

Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania, yanashirikisha waandishi na Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya Habari.

Nyambele alisema mafunzo hayo ni muhimu kwa Waandishi kwani yatawaongezea uelewa wa shughuli za Mahakama.

Alisema watajua hatua zinazofikiwa katika kesi na maboresho yanayofanywa na Mahakama.

Alisema kuna changamoto ya mashahidi kufika Mahakamani kwa wakati, jambo ambalo linasababisha mashauri kuchelewa kumalizika.

“Mpango wa Mahakama ni kumaliza mashauri kwa wakati, lakini bado kuna baadhi ya wadau hawajajua hilo…. Sisi tunakwenda mbio, wao wanatambaa.

“Mashahidi bado ni kikwazo hali inayochangia kuonekana mashauri yanachukua muda mrefu mahakamani, tunaomba wadau watupe ushirikiano tuweze kumaliza mashauri kwa wakati, “alisema.

Kigwangalla Aagiza Mbinu Hii Mpya Itumike Kudhibiti Tembo Waharibifu Bunda

$
0
0
Na Hamza Temba-Bunda, Mara
.........................................................................
Kilio cha muda mrefu cha wananchi wa wilaya ya Bunda hususan katika ukanda unaopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuhusu wanyamapori waharibifu jamii ya Tembo kuvamia makazi yao na  mashamba kinaelekea kupata ufumbuzi wa kudumu.
 
Hatua hiyo inakuja kufuatia agizo la Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuanzisha mradi wa ufugaji nyuki kwa vijiji kumi vinavyopakana na hifadhi hiyo ili watumike kama uzio wa kudhibiti wanyamapori hao.
 
Dk. Kigwangalla ametoa agizo hilo jana kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mariwanda, kata ya Hunyari wilaya ya Bunda mkoani Mara wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja wilayani humo. 
 
"TANAPA wakishirikiana na TFS waje waanzishe mradi wa ufugaji nyuki wa kisasa katika vijiji vyote 10 vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa Serengeti, waje wahamasishe uundwaji wa vikundi, wafundishe namna ya kuweka mizinga ya kisasa na namna ya kufuga nyuki na kuvuna, na mwisho wa siku wananchi wapate faida ya kuzuia wanyamapori kuvamia mashamba na makazi yao pamoja na kuvuna asali itakayowatengenezea kipato mbadala" ameagiza Dk. Kigwangalla. 
 
Akielezea mbinu hiyo mpya inavyofanya kazi Dk. Kigwangalla amesema, wataalamu ndani ya wizara yake wameeleza kuwa mbinu hiyo ya kuweka mizinga ya nyuki kuzunguka maeneo ya mashamba na makazi ya wananchi itasaidia kudhibiti Tembo  kwakuwa huogopa sana nyuki na endapo wakisikia tu harufu yake huwa vigumu kusogelea maeneo hayo.
 
Awali akiwasilisha malalamiko kwa niaba ya wananchi wa vijiji hivyo, Mbunge wa Bunda Vijijini, Bonifasi Mwita Getere alisema kwa muda mrefu sasa wananchi hao wamekuwa wakipata madhara ya kuvamiwa na Tembo ambao hula mazao yao mashambani na hata majumbani, kuwajeruhi wananchi na wengine kupoteza kabisa maisha.
 
Baraka Abdul ambaye ni mkazi wa kijiji cha Mariwanda wilayni humo alisema, mbinu zinazotumika kufukuza Tembo hivi sasa ikiwemo kupiga makelele na madebe na kutumia tochi za mwanga mkali zimekua hazisaidii, hivyo ameiomba Serikali kuongeza idadi ya askari na vituo katika maeneo yanayoathirika zaidi na matukio hayo.
 
Wakati huo huo, Waziri Kigwangalla ametoa onyo kali kwa wananchi wanaofanya vitendo vya ujangili na uingizaji mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuwataka kuacha mara moja kwakuwa wakikamatwa watachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kutaifishwa mifugo yao kwa mijibu wa kifungu cha 111 Na. 5 cha Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya mwaka 2009.
 
Katika hatua nyingine, ameliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kupitia eneo la mpaka wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Bufer Zone) kuanzia Ghuba ya Speke hadi kwenye mpaka na nchi ya Kenya, wabaini mipaka halisi na ramani na kuainisha mahitaji ya wananchi na changamoto zilizopo na hatimaye kuwasilisha kwake mapendekezo ya kuondoa changamoto zilizopo.

Benki Ya Credit Suisse Kuipatia Tanzania Mkopo Wa Sh. Bilioni 450 Kujenga Reli Ya Kisasa Na Umeme

$
0
0
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
Benki ya Credit Suisse ya nchini Uingereza imeonesha nia ya  kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa zaidi ya Dola milioni 200 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwemo miradi mikubwa ya Nishati ya Umeme na miundombinu ya Reli.

Hayo yamebainishwa Jijini Dar es Salaam katika Mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Ujumbe wa  Benki ya Credit Suisse  ya Uingereza  ulioongozwa  na Mkurugenzi Mkuu  wa Benki hiyo Bw. Lawrence B. Fletcher,  kuhusu ushirikiano katika miradi ya maendeleo.

Dkt. Mpango alisema kuwa tayari zipo hatua mbalimbalimbali zimefikiwa katika kufanikisha upatikanaji wa Mkopo kutoka Benki ya Suisse hivyo kuwa na tumaini la kupata kiasi cha Dola milioni 2000 katika mwaka wa fedha wa 2018/19 .

“Miradi ya Kipaumbele ambayo Serikali inaitekeleza ni pamoja na Ujenzi wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR), kufufua Shirika la Ndege Tanzania kwa kununua Ndege mpya na miradi ya umeme ambayo itachochea maendeleo ya watu na Taifa kwa ujumla”, alieleza Dkt. Mpango.

Aliitaja miradi mingine ambayo Serikali inampango wa kuitekeleza kuwa ni pamoja na Ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji (Rufiji Haydro Project) ambalo kukamilika kwake kutasaidia kuzalisha umeme wa Megawati 2100 ambao utatumika katika kuchochea uchumi wa viwanda unaohitaji umeme wakutosha.

Waziri Mpango amebainisha kuwa Serikali inatekeleza miradi ya kupanua Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Kigoma pamoja na ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara ambazo zitahudumia nchi ya Tanzania na nchi jirani ya Rwanda na Burundi hivyo kuchochea maendeleo.

Ameishukuru Benki ya Suisse, kwa kufadhili miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya Maji, barabara na Umeme na kuahidi kuendelea kukuza ushirikiano na Benki hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu  wa Benki ya  Credit Suisse ya nchini Uingereza,  Bw. Lawrence B. Fletcher,  amesema kuwa Benki yake inaangalia uwezekano wa kufadhili miradi  ya kipaumbele  ya Serikali ili kuweza kufanikisha nia yake ya kufikia uchumi wa kati unaotegemea viwanda.

Aidha amesema Benki yake itatoa mkopo wa  Dola milioni  200 baada ya hatua za mkopo huo kukamilika katika mwaka huu wa fedha ili kuweza kufanikisha kutekeleza miradi mbalimbali lakini pia ikiwa ni sehemu ya kudumisha ushirikiano kati ya Benki yake na Tanzania.

Mwisho

Viwanja Vinauzwa..............Surveyed plots for sale: Mapinga (Baobab Sec, km 5 kutoka Bunju-DSM)

$
0
0
Surveyed plots for sale: Mapinga (Baobab Sec, km 5 kutoka Bunju-DSM).
 
Viwanja ni vikubwa sana (low density plots). Viwanja viko umbali wa km 2 kutoka main road (Bagamoyo Road).
Ziko plots za sqm 1400, sqm 2100, na sqm 2700.
Bei ya kila sqm ni sh 13,000 (negotiable)
 
Huduma za kijamii (maji, umeme) zipo na miundombinu yote iko vizuri (mradi wa kusogeza lami mpaka nyumbani umeanza). Ramani zote (Town plan & Deed plan) zipo tayari. Hati ya miaka 99 itapatikana ndani ya miezi 2 tu.
 
Hakuna dalali, contact mhusika: 0758603077
Pia, vipo viwanja vya bei nafuu sana ambavyo taratibu za upimaji zimeanza lakini bado hazijakamilika (on-process). Hivi viko Kimele, ni kilometa 3 kutoka main road (Bagamoyo Road). Viwanja viko planned (kwa mpangilio mzuri) na ukinunua unapimiwa ili upate hati kwa gharama ya sh 300,000 tu.
 
Bei ya viwanja inabadilika kuendana na size ya kiwanja ulichochagua.
Bei ni: milion 2 for 10/20, mil 3 for 15/20, mil 4 for 20/20, mil 5 for 25/20, mil 6 for 20/30, mil 8 for 20/40, mil 11 for 25/45, mil 12 for 30/40 na mil 16 for 40/40, mil 20 for 0.5acre, mil 38 for 1 acre. 

Ruksa kulipa kwa awamu ndani ya miezi 3-4.
 
Hakuna dalali, mpigie mhusika,0758603077

Nyalandu Ageuka 'Mbogo' Baada ya Wafuasi wake Mtandaoni Kumtaka Arudishe TWIGA

$
0
0
Aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu amejikuta kwenye majibizano na baadhi ya wafuasi wake kwenye mtandao wa kijamii wa twita  baada ya kuambiwa arudishe twiga (Bila kufafanuliwa ni twiga yupi).

Majibizano hayo yaliibuka ikiwa ni muda mfupi  baada Mh. Nyalandu kuweka maneno yakutia ujasiri, na ya ushauri wa kutokata tamaa na baada ya maoni akafikia hatua ya kumjibu mfuasi mmoja kwa kumfananisha na watu waliolaaniwa.

Mfuasi huyo aliyekwenda kwa jina la 'Tamankila1' katika mtandao wa Twitta alimwambia Nyalandu kwamba anapaswa kurudisha Twiga ili aweze kueleweka, huku mfuasi mwingine akimwambia kwamba neno moja kwenye biblia ndilo litakalomuokoa ambalo ni lile la "Mimi sikuja kwa wenye haki bali kwa waovu".

"Tamankila1 watu kama wewe wamelaaniwa. Huwezi kuanza siku kwa kusema uongo ili ujisikie umesomeka kwenye mitandao ya kijamii. Ni twiga yupi unayetaka nimrudishe, na nilimchukua wapi. Imeandikwa, waongo wote, sehemu yao ni katika ziwa liwakalo kwa kiberiti" Ujumbe wa Nyalandu kwa mmoja wa wafuasi wake..

Majibizano hayo ambayo bado yameendelea kwenye ukurasa wa Twitta yalitokana na  ujumbe wa  Mh. Nyalandu unaosema;  "Ukweli katika maisha ni huu, kwamba Mungu hakuachi. Amini katika uwezo na ukuu wake. Ujapopita katika changamoto zozote katika maisha, hata wale wa karibu nawe wakikuacha, Yeye ni Amini na Kweli, hatakuacha, atakupigania, na atakufanya heri kwa ajili ya utukufu wake"

Tangu alipojiuzulu nafasi ya ubunge wa Singida Kaskazini, Oktoba 30, 2017,  Mh. Nyalandu amekuwa akiandamwa na skendo za kuuza vitalu pamoja na twiga ambapo aliweka wazi kuwa yupo tayari kujibu tuhuma hizo kwa kuwa anajiamini aliitumikia wizara hiyo kwa uaminifu mwaka 2014 - 2015.

Baada ya tuhuma hizo akiwa nje ya uongozi, Nyalandu aliwahi kumjibu Waziri wa Maliasili na utalii wa sasa Dk. Hamisi Kigwangalla kwamba anasikitika sana kuona Waziri huyo akitumia muda wake ndani ya Bunge kumchafua na kumdhihaki ilihali alifanya mambo makubwa ndani ya wizara hiyo ikiwa kupambana na ujangili kwa kiasi kikubwa.

==>>Ujumbe wa Nyalandu uliozua majibizano mtandaoni

Lugola: Sitaki Kusikia Habari za Wafungwa Kula Bure

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema hataki kuona wafungwa nchini wanaishi kama ndege wa angani. 

Amesema hayo akimaanisha kuwa hawalimi ila wanakula bure, badala yake wanatakiwa wafanye kazi na kujitafutia chakula wao wenyewe badala ya kusubiri kupewa chakula na Serikali.

Lugola ameyasema hayo jana Julai 16 wakati akihojiwa katika kipindi cha Tuambie kilichorushwa na kituo cha televisheni cha TBC1 Jumatatu usiku, na kubainisha kuwa amewaagiza wasaidizi wake kupitia sheria vizuri na kumpelekea mpango mzuri wa utekelezaji wa agizo la Rais, la kuwatumia wafungwa kufanya kazi za kilimo na ufugaji na kujitafutia chakula wao wenyewe.

“Hata kama ni meno, lazima walimie meno, watatumia meno yao kulima mahindi, kulima maharage ili wajilishe, na nimemwambia Inspekta Jenerali wa Magereza, katika hili sitaki kisingizio cha aina yoyote".

Lugola amesema kuwa amemueleza Inspekta Jenerali wa Magereza kutumia Shirika la Uzalishaji Mali, Benki ya Kilimo na TIB kuchukua mikopo katika kutekeleza agizo hilo la Rais.

Waziri Lugola amesema utoaji wa chakula bure gerezani umepelekea baadhi ya wafungwa kuona gerezani kama ndiyo sehemu ya kupumzika na kula bure bila kufanya kazi, na kusababisha baadhi yao kila wanapobakisha mwezi mmoja kumaliza vifungo au wakimaliza vifungo na kuachiwa huru, wamekuwa wakifanya makosa mengine kwa makusudi ili warudi tena gerezani.

"Wanajitafutia makosa na kuendelea kukaa bure na kula chakula bure bila kufanya kazi,"amesema.

TCRA imekuja na mpango huu wa kudhibiti Rushwa

$
0
0
Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA imezindua rasimu ya mkataba kwa wateja sambamba na kampeni ya kupambana na rushwa ndani ya mamlaka hiyo.

Lengo la rasimu hiyo ni kuweka ufanisi na uwazi katika kazi za mamlaka hiyo.

Jana Jumatatu Julai 16, 2018 Mkurugenzi wa TCRA, mhandisi James Kilaba alisema mkataba huo utabainisha viwango vya utoaji huduma kwa wateja na haki na wajibu wa wateja kulingana na huduma zinazotolewa.

Alisema TCRA itatumia mkataba huo kama nyenzo muhimu ya kuzuia na kupambana na rushwa  kama inavyopewa uzito na Rais John Magufuli.

“Ndani ya mkataba huu tutawaonyesha wateja huduma tunazotoa, viwango vya hudumana uhusiano kati ya watumishi na wateja. Mkataba huu pia unalenga kuongeza tija na uwajibikaji kwa watumishi wa TCRA katika kutoa huduma bora kwa wateja wetu,"alisema.

Alibainisha kuwa hatua hiyo itawezesha dhamira ya ukweli na uwazi katika kazi zao kutimia, kubainisha kuwa kutimia kwa dhamira hiyo  itakuwa kinga ya kuzuia malalamiko ambayo yanaweza kutafsiriwa na wananchi kuwa ni vitendo vya rushwa.

“Upatikanaji wa habari sahihi bila vikwazo utaongeza uwazi na uwajibikaji wa kila mtumishi na hivyo itapunguza malalamiko,” alisema na kwamba mkataba huo utaendelea kuboreshwa kulingana na mahitaji ya utoaji huduma.

Je Wewe ni Mwanasiasa, Mfanyabiashara.?...... Tunazo dawa na PETE za bahati Zenye Uwezo wa Kubadili Maisha Yako

$
0
0
Je Wewe ni Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Msanii wa Maigizo, Mwanamziki, ama mwanafunzi tunazo dawa na PETE za bahati zenye uwezo mkubwa wakuyabadilisha maisha yako nakukupatia mafanikio makubwa ndani ya mda mfupi tu.
 
Kutana na Sharif Al_noor. Yeye ni mtaalam na mtabibu wa nyota za binadam na bingwa wa tiba za asili Afrika mashariki. Wasiliana na mtaalam huyu kwani yeye ufaulu pale wote waliko shindwa na pia humaliza kazi zilizo shindikana ama zilizo achwa ndani ya siku1 tu. -SHARIF ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOASHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO SAIDIA- Sasa amezianza ziara zake za mikoani na atayatembelea maeneo mbali mbali ndani na inje ya nchi.
 
Anatibu magonjwa sugu yanaojulikana nasiojulikana kwakutumia QUR_AN MAJI , KIOO MAJINI NA MITISHAMBA.
 
Anazo dawa za mapenzi( Mpigie Simu sasa Hivi Ujionee Muujiza wa Papo Anauwezo wa Kurudisha Mahusiano yako na Kuimarisha NDOA Ndani ya saa 12 tu LIMBWATA) kumrudisha  alipotea(MSUKULE), kutoa Mikosi, Kutatuwa shida za chumaulete, mvuto wa biashara na sehem za kazi, kusafisha nyota, kurudisha mali zilizo ibiwa, zilizpotea, ama zilizodhulumiwa, kushika wezi na wachawi, kutoa ndagu, Kutoa kinga ya mwili, nyumba, Biashara, kufukuza majini wabaya, KUUZA kwa haraka (shamba, NYUMA, GARI..), Kesi mahakamani, Kuweka Zindiko ya mwili, nyumba, shamba, Gari, kupata Kazi na kupandishwa cheo, mali na UTAJIRI bila masharti na mengine mengi ya Siri. (Anazo Pia Pochi zisizo kwisha Hela MAGIC WALLET) Kwa tiba na ushauri wasiliana na ofisi kwa nambari ya simu
 
+255 746 426 604

Mtaalam na Bingwa wa Magonjwa Yote Sugu Yaliyoshindikana Kama Vile Pumu, Vidonda vya Tumbo, Bush's, Nguvu za Kiume

$
0
0
MTALAAM NA BINGWA WA MAGONJWA YOTE SUGU NAYALIYOSHINDIKANA KAMA VILE PUMU, VIDONDA VYA TUMBO, BUSHA, NGUVU ZA KIUME, KISUKARI,MIVUTO YOTE, KUSAFISHA NYOTA, KURUDISHA MALI, NK.

Tatizo la upungufu ukosefu wa nguvu za kiume, maumbile madogo ya uume limekuwa kubwa kwa lika zote hapa duniani

Matatizo hayo sio mageni kigeni ni ile tiba sahihi yakutibu na kuponya haya.chanzo cha hayo matatizo ni:KISUKARI, NGIRI,CHANGO, TUMBO KUUNGURUMA NA KUJAA GESI, KIUNO KUUMA, MAUMIVU YA MGONGO,MAGONJWA YA ZINAA, KORODANI KUVIMBANAKUUMA,VIDONDA VYA TUMBO, NK.

Tiba sahihi nabora ya tatizo la nguvu zakiume ni 3Power,;Nidawa ya vidonge asilia vilivyotengenezwa kwa kiwango bora na salama kwa ajili yakutibu mojakwamoja tatizo la nguvu za kiume maradufu

1,hutibu nguvu za kiume mda mfupi sana kati ya umri wa miaka 18-85 naitakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dk 20 hadi 40 tendo lakwanza bila kuchoka naitakufanya uwe nahamu yakuendelea na tendo la ndoa zaidi ya mara 5 bila hamu kuisha.

FINA Power: Nidawa yakuboresha maumbile ya kiume kwa kunenepesha na kurefusha kwa saizi uipendayo inchi 6,7 hadi 8 kwa mda mfupi sana.dawa hizi huanza kufanya kazi kwa mda wa dk 67 ukisha tumia guarantee miaka 55 ikishakutibu.

Pia tunatibu,KISUKARI, PRESHA, UZAZI, NGIRI, PUMU,MALARIA SUGU, VIDONDA VYA TUMBO, CHANGO AINA ZOTE, BP, BUSHA BILA UPASUAJI NK.

ISHOSHA,Nidawa ya mvuto wa biashara,kazi,hupandisha cheo humfanya mfanyakazi apendwe na mwajiri wake,humvuta mme,mke,hawara,mchumba,unaemhitaji au hakutaki hatimizi ahadi zako kwa dhati utampata kwa mda wa dk 45 tu naatatulia milele nakumfunga asitoke inje ya ndoa.

SHEPU EXRA,Nidawa ya yakupunguza matiti,unene tumbo,kitambi kwa akina baba,hutoa mafuta mabaya mwilini,makovu sehemu mbalimbali mwilini,chunusi sugu,minyama uzembe,michirizi mwilini,nakuongeza makalio hips,mguu wa bia nk.

HUDUMA HIZI NANYINGINE NYINGI MTALAAM BINGWA DR SHEIKH OMARY
Anapatikana dar magomeni moroco hotel
SIMU NO 0767 14 53 57/0629 03 45 50.

NAKAMA NAFASI YAKUFIKA OFISINI HAIPO UTALETEWA HAPO ULIPO.

Tizeba awataka Wakulima wa tumbaku kuachana na kilimo cha kutegemea Mkopo

$
0
0
Na, magdalena kashindye.
Waziri wa kilimo Charles Tizeba amewataka wakulima wa tumbaku wilayani Kahama mkoani Shinyanga kuachana na kilimo cha kutegemea Mkopo kwakua kinazoofisha soko la zao hilo

Tizeba ametoa wito huo wakati akiwahutubia wakulima wa halmashauri ya ushetu iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga katika uzinduzi wa bima ya Afya kwa wakulima iliyoziduliwa na waziri Mkuu Kasim Majaliwa.

Tizeba amesema soko la tumbaku limekua likizoofu kila siku kutokana na wakulima kuingia kwenye madeni na kampuni moja ambalo hulazimika kuwauzia  pindi wanapovuna na hali hiyo haileti ushindani wa soko.

Aidha tizeba amewataka wakulima kuanza kutunza akiba mwaka huu ili msimu ujao wa kilimo wasikope tena na waweze kuuza zao hilo kwa njia ya mnada.

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Awaagiza wananchi kuzifuata dawa zinazoibiwa na wahudumu wa Afya.

$
0
0
Na, Magdalena Kashindye
Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kasim Majaliwa amewaagiza wananchi kuzilinda dawa katika hospital zote nchi.

Majaliwa amesema hayo wakati akihutubia wanchi wa halmashauri ya Ushetu iliyopo wilayani Kahama mkoani shinyanga katika uzinduzi wa bima ya Afya kwa wakulima wa vyama vya msingi.

Waziri Majaliwa amewaambia wananchi pindi watakapowaona wahudumu wa Afya wanaiba dawa ni vema wakawatarifu viongozi ili waandamane nao kuzifuata na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.

Aidha Majaliwa amezindua Mradi wa bima ya Afya kwa wakulima wa vyama vya msingi, bima hizo zitawawezesha kutibiwa bure popote nchini

Polisi yaua jambazi aliyejaribu kuwatoroka

$
0
0
Jeshi  la Polisi mkoani Rukwa limemuua kwa kumpiga risasi anayedaiwa kuwa jambazi sugu aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu katika mikoa tofauti hapa nchini, baada ya kujaribu kutoroka akiwa chini ya ulinzi.

Akitoa taarifa ya tukio hilo jana, Kamanda wa Polisi mkoani humo, George Kyando, alimtaja jambazi huyo kuwa ni Patrick Steven (41), maarufu kwa jina la Kamagali, ambaye aliuawa katika eneo la Kashai kata ya Senga katika Manispaa ya Sumbawanga.

Alisema kuwa Julai 15, mwaka huu majira ya saa 12:45 jioni, polisi walimuweka chini ya ulinzi mkali mtuhumiwa huyo, waliyemkamata katika mji mdogo wa Laela akiwa na risasi 30 za bunduki aina ya AK-47 anazodaiwa kuzisafirisha mkoani Mbeya, ambako amekuwa akifanya vitendo vya ujambazi.

Alisema baada ya kuhojiwa alikiri kuwa anamiliki bunduki na polisi walimchukua akiwa chini ya ulinzi mpaka porini karibu na nyumbani kwake, ili akawaonyeshe silaha hiyo na aliwatolea bunduki ya kivita aina ya SMG yenye namba za usajili 56-3806320 ikiwa imehifadhiwa katika mifuko ya sandarusi.

Wakati polisi wakiwa wanaendelea kuiangalia silaha hiyo, ghafla mtuhumiwa alitoroka na kuanza kutimua mbio, ndipo polisi walimkimbiza bila mafanikio na kuamua kutumia silaha kumpiga risasi mgongoni, kiunoni na mguuni.

Alisema polisi walijitahidi kumuwahisha Hospitali ya Mkoa ya Sumbawanga, lakini alifariki dunia akiwa njiani.

Kamanda Kyando alisema marehemu alikuwa anasakwa kwa muda mrefu kutokana na vitendo vyake vya ujambazi na mauaji katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Rukwa, Katavi, Tabora na Kigoma na amekuwa akitembelea maeneo hayo kwa ajili ya kufanya uhalifu wa kutumia silaha.

Tiba Bora ya Tatizo Sugu la Nguvu za Kiume

$
0
0
OFA! Je umepungukiwa nguvu za kiume na umetumia dawa bila mafanikio? Sasa utapona kwa sh 15000 tu .Ofa ni kwa watu kumi wakwanza kila siku .Ofa hii itadumu ndani ya wiki 2 baada ya hapo bei itakuwa nyingine na kama hujapona tunakurudishia hela yako !

Dawa hii ni dawa ya maajabu, huwezi kuamini Ila wengi wameiamini,inatibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na utapewa garantee ya mwezi mmoja 

Dawa hii inapatikana hapo hapo ulipo nyumbani kwako na tutakupatia maelezo ya namna ya kuiandaa wewe mwenyewe na baada ya kuiandaa utakunywa Mara moja tu,na hautatumia dawa yoyote ya nguvu za kiume 

Dawa hii inawafaaa watu kuanzia miaka 18 mpaka miaka 70 zaidi ya miaka hyo haitakusaidia 

Ni dawa ya asilia, haina madhara yoyote,watafiti na waganga wameikubali pia hii dawa inawafaa hata wanawake wasiopata hisia za mapenzi

Pia tunaweza kukutumia dawa popote ulipo lakini s kwa bei ya ofa, ukiitumia dawa hii unakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara 3 bila hamu kuisha na itakufanya uwe na uwezo wa kufanya tendo la ndoa muda wowote 

Imesaidia watu zaidi ya 148 ndani ya mwaka mmoja tangu igunduliwe  na Dr kiboko mganga wa tiba za jadi toka kisiwani mafia 

Pia tunatibu magonjwa mbalimbali, kurudisha mpenzi aliye kuacha,biashara iliyoyumba, nk 

OMBI LANGU; kwanza naomba radhi kwa watu wanaofika kwenye ofisi yangu na kuchelewa kupata huduma kutokana na foleni ya watu wengi kuja pia pongezi nyingi nimepata kutokana na mafanikio makubwa wanayoyapata baada ya kutumia hii dawa ombi langu naomba upige cm nikuelekeze hii dawa hapohapo kuepuka usumbufu na kuokoa mda wako asante

Maelezo zaidi ; Dr kiboko-  0679923297

Dawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa

$
0
0
Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. 

NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya tumbo, Korodani moja kuvimba, Msongo wa mawazo, Presha, Magonjwa ya zinaa, Kufanyiwa tohara ukiwa na umri mkubwa, Kisukari. 

DR. LUTAJA Sasa anakuletea tiba sahihi ya tatizo la Nguvu za kiume. 

NTOMBO :Hii hutibu na kuponya kabisa tatizo la Nguvu za kiume, utakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kafika kileleni kwa mda wa dk 20-45. Dawa hii imechanganywa na miti 18,Hata wazee wenye umri mkubwa wa zaidi ya miaka 85 wanapona kabisa okoa mahusiano yako, ndoa yako sasa. 

SUNGURURU MIX:Ndio tiba sahihi kwa wale wenye maumbile madogo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo nchi 3-8 na unene cm 2-5,dawa hii ipo katika mfumo wakupaka nakunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji :Hii ni tiba tofauti kabisa nazile ambazo umekwisha wahi kutumia. 

Pia tunadawa za Kupandisha nyota , Uzazi, Pumu, Malaria sugu, miguu kuwaka moto, Kaswende, Kisonono pamoja na mvuto wa mpenzi.

 DR. LUTAJA ANAPATIKANA DAR-ES-SAALAM Simu 0713-821823 kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote ulipo.

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME... DR SITTA NDO SULULISHO LAKO

Tatiza, hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine. Kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo... baadhi ni  upungufu wa vichocheo vya, HORMONES ZA CETROGEN .

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mrija iliyosinyaa,

NSHOLA; ni dawa bora, ya kurudisha nguvu za kiume kwa kutibu kabisa  tatizo hilo na kukupa  hamu ya  kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara nne 4 bila kuchoka 

Pia  kuna dawa za kutibu presha ya kupanda na kushuka, kisukari , kuondoa mafuta  mwilini na maumivu ya mgogo kiuno, matazo, ya hedhi kwa wanawake, hedhi zisizokuwa na mpangilio.

NKANYA; ni dawa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi aliyekuacha, mke, mme atakurudia .

NKOMA; Ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada ,

NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu miguu kufa ganzi na kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! 

DR SITTA, amebobea kwa tiba asilia 

Kwa DAR ANAPATIKANA MBAGALA ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI, SHINYANGA- KAHAMA MJINI, 

KWA MAELEZO ZAIDI  PIGA SIMU; 0763172670/ 0715172670,/

WOTE  MNAKARIBISHWA... KAMA, UTAKUWA NA TATIZO, UTAHUDUMIWA,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images