Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Huyu dada anahitaji msaada wako wa USHAURI kutokana na unyama aliotendewa na rafiki yake... Karibuni wadau

$
0
0
Mwaka jana mwezi wa tisa nikiwa na rafiki zangu mara baada ya kumaliza mitihani tuliamua kwenda kujirusha. Tulikubaliana twende tukakae pahali patulivu tukiwa sisi kama sisi yaaani mimi, evelyne, Trice na shakira. Baada ya kufika bar mwenzetu Trice akadai rafiki yake wa kiume angependa kuja pale, tukabishana sana kuwa mbona huu ulikuwa mtoko wa sie peke yetu? Lakini baadae tukaamua

Watoto Wamchinja Kikatili Mpenzi wa Mama yao na kuutupa Mwili wake Porini

$
0
0
NDUGU wawili wa kiume wa familia moja wilayani Mlele mkoa wa Katavi, wanatuhumiwa kumuua mpenzi wa mama yao kwa kumchinja, kisha kutelekeza mwili wake porini.   Wakazi hao ambao mmoja ni mtoto mwenye umri wa miaka 16 ni wakazi wa Kitongoji cha Milumba Kata ya Kibaoni na aliyeuawa ni Kitungulu Luhende (65).   Inadaiwa mama yao, Sai Mponje (65) ambaye ni mjane anayeshikiliwa na polisi

CHADEMA yaanza mchakato wa kumtafuta Mpinzani wa Ridhiwani Kikwete katika Jimbo la Chalinze.

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza mchakato wa kutafuta mgombea wa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Chalinze, ambapo jana fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho zilianza kutolewa.   Tayari Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishaanza mchakato wa kutafutia mgombea wa kuwania nafasi hiyo, ambapo Ridhiwani Kikwete, alishinda kura ya maoni ya wanachama wa

Vurugu zaibuka BUNGENI na kupelekea Mwenyekiti wa Muda kuahirisha kikao cha bunge hadi saa kumi jioni

$
0
0
Semina ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba leo imelazimika kuahairishwa baada ya kuibuka vurugu ndani ya ukumbi wa Bunge.    Zogo hilo liliumuka baada ya kuibuka kwa mvutano baina ya wajumbe uliosababishwa na kutuhumiana kwamba zipo dalili za upendeleo wanazofanyiwa baadhi ya wajumbe kutokana na sababu za kiitikadi za vyama.    Hali hiyo ya hewa ilichafuka  baada ya

Madaktari na wauguzi wasitisha kutoa huduma kwa wagonjwa baada ya Hospitali kukumbwa na mafuriko jijini Dar

$
0
0
   Huu ni mtaro wa kupitisha maji taka ambao umepita katikati ya Hospitali ya Palestina ambapo ulifumuka na kusababisha kusambaa kwa maji machafu katika kila kona ya hospitali hiyo.  Mmoja wa wagonjwa akiwa anangojea kupata huduma baada ya mvua hiyo kubwa kuisha.  Haya ni maji machafu ambayo yametapakaa kila sehemu ya hospitali.  Kushoto ni mgonjwa akiwa amelala juu ya benchi

Hizi ni nafasi mpya za kazi toka Access Bank....Work Experience haihitajiki, Mwisho wa kuomba ni tarehe 11 mwezi huu

$
0
0
AccessBank Tanzania is a full commercial bank providing micro, small and medium-sized enterprises (MSMEs) with a broad range of appropriate financial services. Established in 2007, the bank is owned by a multinational shareholder group and member of an emerging global network of commercial microfinance banks (the “Access Group”) with headquarters in Berlin/Germany.As one of the

Majibu ya vipimo vya DNA yahatarisha ndoa jijini Mbeya.....Asilimia 40 ya wanaume waliopima wamebaini kuwa watoto waliozaa na wake zao si wao

$
0
0
ASILIMIA 40 ya Wanaume waliopima vinasaba ili kubaini uhusiano wa kibaiolojia na watoto wanaowalea, wamebainika kuwa watoto hao si wao licha ya kuzaliwa na wake zao au wapenzi wao. Taarifa hiyo imetolewa na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali kutokana na wanaume waliotaka kufahamu ukweli kuhusu watoto wao hadi Januari mwaka huu kwa mujibu wa Sheria ya Vinasaba vya Binadamu namba 8 ya

Jeshi la polisi Mkoani Dodoma lawakamata MAKAHABA 15 waliokuwa wakijiuza mitaa ya Uhindini.....Tazama majina yao hapa

$
0
0
  Na Sylvester Onesmo  wa Jeshi la Polisi Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port. Kamanda wa Polisi Mkoa wa

Ajali yaua, magari yakwama kwa saa tatu barabara ya Dar- Moro

$
0
0
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Bwawani Barabara ya Chalinze - Morogoro.    Ajali hiyo ilitokea jana saa 4.30 asubuhi baada ya basi hilo aina ya Toyota Coaster lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Ifakara kugongana na lori la mafuta lililokuwa likitoka Morogoro kuelekea Chalinze.   Kamanda wa

Mvua yazua balaa jijini Dar.....

$
0
0
Dereva wa Bodaboda, akiwa na abiria wake, wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mvua ya siku mbili tu tayari imeanza kuleta kasheshe, si kwa wenye magari pia wenye bodaboda, watembea kwa miguu. Mto Msimbazi ukionekana Alhamisi Machi 6, 2014 baada ya mvua ya siku mbili jijini Dar es Salaam

Atupwa Jela mwaka mmoja kwa kosa la kutumia jina la Nape Nnauye kutapeli

$
0
0
MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu Selemani Nkwenda (36) kwenda jela mwaka mmoja baada ya kumtia hatiani kwa kutapeli watu kwa kutumia jina la Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye.   Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu wa mahakama hiyo, Zablon Kesase, alisema ameridhika pasipo shaka kwamba mtuhumiwa alitenda kosa hilo.   Alisema mtuhumiwa huyo

Nyumba yateketea kwa Moto wilayani Misungwi mkoani Mwanza. ....Chanzo ni Jiko la Gesi

$
0
0
Moto huo unaotajwa chanzo chake kusababishwa na jiko la gesi ulilipuka na kuiteketeza kabisa nyumba hiyo ikiwa na furniture zake. Huku baadhi yao wakiwa wamejitosa kufanya uokoji wa mali, wananchi wengine kama kawaida yao walikimbilia  eneo la ajali kushuhudia moto huo uliokuwa ukivuma kuashiria hatari na eneo hilo si salama.  Moto ukipamba moto

Wananchi wakatishwa tamaa na Bunge La Katiba

$
0
0
Wananchi kadhaa wameeleza kusikitishwa na mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba, huku wakimtaka Rais Jakaya Kikwete aikemee hali hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Hellen-Kijo Bisimba, amesema, ni aibu kwa kinachoendelea katika bunge hilo. “Leo (jana) niliacha kazi zangu na kujipa muda wa kuangalia shughuli ya hilo bunge na kwa kweli

Shilole na Nuhu Mziwanda waanika uhusiano wao, wasema wana mpango wa kufunga ndoa

$
0
0
Wasanii wa muziki Shilole na Nuhu Mziwanda wameamua kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi na kudai kuwa wapo tayari kufunga ndoa.  Wakizungumza na U heard ya XXL, Clouds FM juzi,Shilole na Nuhu wamesema wanapendana sana na wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa zaidi ya miezi mitatu sasa.  “Tunajipanga mambo fulani yakae sawa pamoja na mke.Ki kweli tuna kama miezi miwili

Nicki Minaj atupia picha mtandaoni akiwa mtupu bafuni akioga

$
0
0
  Nicki Minaj anataka umuone akiwa anaoga bafuni. Jumatano  ya  wiki  hii, rapper huyo alipost picha kadhaa kwenye Instagram akiwa mtupu bafuni akioga. Nicki hakuandika chochote kwenye picha hizo. Zitazame picha hizo hapa. <!-- adsense -->

Kampuni ya kumuenzi marehemu Steven Kanumba kuzinduliwa April 7 mwaka huu jijini Dar

$
0
0
Uzinduzi wa taasisi ya marehemu Steven Kanumba ijulikanayo  kwa jina la Kanumba The Great Foundation utafanyika Aprili 7 kwenye ukumbi maarufu wa Dar Live uliopo Mbagala, jijini.  Uzinduzi huo utaenda sambamba na maadhimisho ya miaka miwili tokea kufariki kwa marehemu Kanumba ambaye alifariki dunia Aprili 7. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mama mzazi wa

Kampeni za CCM jimbo la Kalenga zazidi kupamba moto....

$
0
0
Mgombea kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa (wapili kushoto), Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemba, wakiserebuka na wananchi baada ya kuwasili katika Kijiji ya Kibebe Kata ya Ulanda kwa ajili ya mkutano wa kampeni, jana. Mgombea kwa tiketi ya CCM katika

ITV, Star TV na Radio Free Africa vyapewa onyo kali na TCRA leo...

$
0
0
  Leo March 07 Kamati ya maudhui ilikua na kikao cha kusoma uamuzi dhidi ya vituo vilivyokiuka kanuni za utangazaji. Akisoma uamuzi huo mbele ya waandishi wa Habari, Mwenyekiti wa Kamati maudhui ya Tcra mama Magreth Mnyagi amevigusia vituo vitatu vilivyokiuka kanuni hizo. Vituo vilivyopewa onyo hilo ni vituo vinavyomilikiwa na Ipp pamoja na Sahara Media ambayo kwa Ipp onyo limepewa kituo

Kiongozi wa UVCCM afunga tawi la CHADEMA Lushoto na kupandisha bendera ya CCM

$
0
0
Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka Mkoa wa Tanga Ndugu Husna Mbwambo Sekiboko amefunga tawi la Chadema katika Kijiji Cha Lukozi na kupandisha Bendera ya Chama Cha Mapinduzi kutangaza Ufalme mpya wa Chama hicho cha siasa. Tukio hilo limetokea jana tarehe 6th March 2014 katika kijiji cha Lukozi, wilaya ya Lushoto Mkoa

Wahamiaji haramu 46 toka Ethiopia wakamatwa na jeshi la Polisi mkoani Iringa wakiwa katika matenga ya nyanya ndani ya Lori

$
0
0
Wahamiaji Haramu hao walikamatwa juzi katika kitongoji cha Gezaurole katika kata ya Ruaha Mbuyuni tarafa ya Mahenge wakati jeshi la polisi likiwa katika doria ya kawaida na kulitilia mashaka gari hilo lililokuwa limebeba matenga ya Nyanya.  Kiongozi wa Wahamiaji Haramu,akiwagawia wenzake mikate  ilionunuliwa na wanahabari waliokuwepo kwenye tukio hilo kwa kushirikiana na Jeshi la
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images