Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Basi la Saibaba laua mmoja na kujeruhi vibaya watu 22

0
0
Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya saibaba walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es salaam kwenda Kyela mkoani Mbeya kupinduka katika kijiji cha Mwambegele wilayani Rungwe.    Safari ya basi la kampuni ya Saibaba lenye namba za usajili T 973 AVW kutoka jijini Dar es Salaam kwenda wilayani Kyela imeishia kwenye kona kali ya

Msajili wa vyama aingilia kati sakata la kutekwa kwa Padri huko Kalenga mkoani Iringa

0
0
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imeingilia kati sakata la kutekwa na kujeruhiwa kwa Paroko wa Kanisa la Orthodox, Parokia ya Mtakatifu Basili Mkuu,  Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, Padri Costantino Mbilinyi (36), ikisema kulifumbia macho ni kuruhusu matukio ya uvunjifu wa amani na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi. Msajili Msaidizi, Sisty Nyahoza, akizungumza na waandishi wa

Dayna awataka wasanii Chipukizi wasogope kutongozwa.....

0
0
Staa wa wimbo wa Mafungu ya Nyanya, Mwanaisha Said ‘Dyana’ amewataka wasanii wa kike chipukizi kuacha kuogopa kutongozwa kwani uamuzi unabaki kuwa kwao. “Namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia. Vikwanzo ni vingi hususan kwa waimbaji wa kike lakini nawashangaa wale ambao wanakata tamaa ya kuendelea kuimba kisa kutongozwa. Wasiogope,” alisema Dayna ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa

Simba Yapigwa faini kwa kuendekeza vitendo vinavyoashiria ushirikina ( Uchawi )

0
0
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani.   Simba ilifanya vitendo hivyo katika mechi yake dhidi ya Mbeya City ambapo imepigwa faini ya sh. 500,000. Pia imepigwa faini nyingine ya sh. 500,000 kwa makocha wake Loga, Selemani Matola na Idd Pazi kuingia

African Magic Viewers' Choice Awards kutolewa leo (March 8) jijini Lagos Nigeria, Siri ya Mtungi inawania vipengele 7

0
0
Moja kati ya tuzo kubwa zenye heshima Afrika zinazojulikana kama African Magic Viewers’ Choice Awards zinazoandaliwa na Multichoice Africa na Amstel Malta zitafanyika leo (March 8) jijini Lagos Nigeria na kuwakutanisha vinara wa filamu barani Africa.   Tamthilia maarufu ya Tanzania ‘Siri ya Mtungi’ inawania tuzo hizo katika vipengele 7 ambavyo ni muigizaji bora kwenye drama

Mainda alikumbuka penzi la Marehemu MAX....

0
0
STAA wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amejikuta akikumbuka pete aliyovishwa na aliyekuwa mchumba wake, marehemu Saidi Banda ‘Max’ na kusema ataendelea kumuombea kwani alikuwa ni mwanaume aliyekuwa na malengo makubwa kwake. Mainda alifunguka hayo kupitia mtandao mmoja wa kijamii na kusema kuwa kila akiziona picha za siku alipovishwa pete ya uchumba, anajikuta akitokwa na

Rehema Fabian ANASWA LIVE akipapaswa na kibabu cha kizungu

0
0
  Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu katika moja ya ufukwe wakila bata....   Rehema  Fabian  akiwa  kimahaba  na  babu  wa  kizungu  ambaye  kimtazamo  ni  sawa  na  baba  yake.... <!-- adsense -->

Picha: Muonekano mpya wa Msanii Jackline Wolper

0
0
  Star wa filamu mwenye  mvuto  kwa  sasa , Jackline  Wolper  akiwa  katika  mapozi  ya  ukweli  kama  anavyoonekana  katika  picha  hapo  juu.... <!-- adsense -->

Victoria Kimani awadatisha mashabiki baada ya kuzianika tattoo zake za MAPAJANI na mgongoni....

0
0
  Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna.  Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, ameamua kuyaonjesha macho ya followers wake wa Instagram jinsi urembo huo ulivyomtoa chicha, mashalaah.. Safisha macho kwa uumbaji huu wa Mola.. Victoria na Henna za

Shamsa Ford atoa ONYO kali kwa Wanawake wanaomvizia mume wake

0
0
Mwanadada anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja. Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho.  “Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae mbali na mume wangu kabla

Matukio katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 2014 na TGNP

0
0
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam Baadhi ya viongozi wa vyama anuai vya wanawake wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

CHADEMA kutumia Helikopta huko Kalenga mkoani Iringa......Mbowe atamba kufanya kampeni za mtaa kwa mtaa, CCM yamponda, yadai moshi wa Helikopta una madhara kwa binadamu

0
0
Kampeni  za  uchaguzi  mdogo  wa  ubunge  katika  jimbo  la  Kalenga, Iringa  vijijini  zimeanza  kuchukua  sura  mpya  baada  ya  chama  cha  demokrasia  na  maendeleo  (  CHADEMA )   kuanza  kutumia  helikopta  ambapo  kwa  siku  watafanya  mikutano  sita..... Mwenyekiti  wa  chama  hicho  taifa, Bw. Freeman  Mbowe, alisema  chama  hicho  kitapasua  anga  ya  jimbo  hilo  kupitia  kauli

Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la kijasusi la Marekani ( CIA ) , Tanzania ni nchi ya 12 kiuchumi barani Afrika, ya 83 duniani

0
0
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la kijasusi la Marekani, CIA iitwayo The World Fact Book, Tanzania ni nchi ya 12 kiuchumi barani Afrika na 83 duniani.<!-- adsense -->

Siri ya Mtungi yaambulia patupu kwenye tuzo za mwaka 2014 za AfricaMagic Viewers’ Choice Awards (AMVCAs), Kenya yatamba

0
0
Tuzo za mwaka 2014 za AfricaMagic Viewers’ Choice Awards (AMVCAs) zimefanyika  jana  Jumamosi  huko Eko Hotel and Suites Victoria Island, Lagos, Nigeria. Tuzo hizo ziliburudishwa na wasanii mbalimbali wakiwemo Flavour, Davido na Waje. Tamthilia ya Siri ya Mtungi iliyokuwa imetajwa kuwania vipengele saba imeambulia patupu. “Kwa bahati mbaya Siri ya Mtungi haijafanikiwa kupata

Mshindani wa JK kupambana na Ridhiwani Kikwete Chalinze

0
0
Aliyekuwa mshindani wa Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi wa Jimbo la Chalinze mwaka 2000 kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (Cuf), Fabian Leonard atapambana na mtoto wa rais huyo, Ridhiwani Kikwete katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo utakaofanyika Aprili 6, mwaka huu.    Chama hicho, kikimtangaza mgombea huyo Makao Makuu ya Cuf yaliyopo Buguruni Dar es Salaam jana, kilisema kinakwenda

CUF yapinga Watanzania Bara kumiliki ardhi Visiwani Zanzibar.

0
0
Chama Cha Wananchi(CUF) kimepinga wazo na rai ya kupunguza masharti ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ili kulegeza nguvu zake kisheria na kuwapa fursa Watanzania Bara kumiliki ardhi Visiwani Zanzibar.    Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Mwasiliano ya Umma wa CUF Salum Bimani katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana visiwani humo, siku chache baada

Watanzania watatu na wanyarwanda watatu wakamatwa katika jaribio la mauaji ya Mkuu wa Majeshi wa Rwanda ( Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ) aliye mafichoni Afrika Kusini

0
0
Watanzania watatu ni miongoni mwa washtakiwa sita  wanaodaiwa kumvamia Mkuu wa Majeshi wa Rwanda  aliye mafichoni , Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa.   Washtakiwa hao  pamoja na Wanyarwanda watatu wamefikishwa katika mahakama za Afrika Kusini kujibu mashtaka hayo.   Jenerali Nyamwasa  alishambuliwa wiki hii, ikiwa ni muda mfupi baada ya mauaji ya Mkuu wa Usalama wa Taifa wa Rwanda

Rushwa ya ngono yamtafuna afisa elimu

0
0
AFISA Elimu Sekondari wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Julius Kakyama, anaandamwa na tuhuma nzito. Tuhuma hizi zinatoka wilayani Muleba, mkoa wa Kagera alikofanya kazi kabla ya kuhamishwa.    Anadaiwa kutumia madaraka yake kuomba rushwa ya ngono; kuomba rushwa ya fedha taslimu kutoka kwa walimu, wanafunzi na watumishi wengine katika halmashauri ya Muleba.   Ni mazingira hayo ya

Kalenga kwachafuka.....Dereva wa Mwigulu Nchemba ashambuliwa, magari yavunjwa vioo....Diwani wa CCM ajeruhiwa usoni, CHADEMA yadaiwa kuhusika

0
0
DEREVA wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, Mohamed Kunambi, ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wanaodhaniwakuwa wafuasi wa chama cha CHADEMA.Tukio hilo liletokea usiku wa kumkia jana eneo la Ifunda jimbo la Kalenga wilaya ya Iringa Vijijini mkoa wa Iringa.Mbali na dereva huyo diwani wa kata ya Ifunda, Eliya Mngwila, naye amejeruhiwa na watu hao waliposhambulia gari

Aliyempa mwanafunzi Mimba na tabibu aliyeitoa wahukumiwa kwenda jela miaka 10....Mwanafunzi na mtoto wafariki dunia

0
0
   Mfanyabiashara wa Mbuzi na kusaga nafaka katika kijiji cha Kintandaa Adamu Shaban Hole (46) (mbele mwenye kofia baraghashia) na aliyekuwa tabibu msaidizi katika dispensari ya Tumaini mjini Singida, Godlisten Raymond (37) aliyefunika uso, wakisindikizwa gerezani kwenda kuanza kutumikia kifungo cha miaka 10 baada ya kutiwa hatiani na mahakama kuu kanda ya kati kwa kosa la kumpa mimba
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images