Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

WAARABU WATATU WALIOHUSISHWA NA MLIPUKO WA BOMU KANISANI WAMEACHIWA HURU

$
0
0
Raia watatu wa UAE waliokuwa wamekamatwa wakikuhusishwa na tukio la mlipuko wa Bomu huko Arusha wameachiwa  huru  na  wamesharejeshwa  nchini  mwao... Taarifa  zinadai  kwamba, Raia  hao  hawahusiki  na  mlipuko wa bomu  hilo.Kilichotokea  ni  kwamba, siku ya tukio walikuwa  karibu na  eneo la kanisa  na  ndo  maana walikamatwa... Raia hao  wameachiwa  kwa ushirikiano  mkubwa  wa  ubalozi 

MAJINA YA WATUHUMIWA WALIOACHIWA HURU PAMOJA NA RIPOTI YA POLISI KUHUSU BOMU LA ARUSHA

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAENDELEO YA UPELELEZI WA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA LA MT. JOSEPH – OLASITI JIJINI ARUSHA LILILOTOKEA TAREHE 05/05/2013 Ndugu wanahabari, mtakumbuka kwamba mara ya mwisho nilipokutana nanyi niliwaahidi kwamba nitaendelea kuwapa mara kwa mara taarifa juu ta maendeleo ya upelelezi wa tukio la mlipuko wa bomu lililotokea katika

HEMED PHD ANUSURIKA KUTANDIKWA MAKOFI JUKWAANI NA MREMBO ALIYEMTOMASA NA KUMPULIZIA PERFUME KINYEMELA

$
0
0
Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume kwa mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage..... Hemed alikosea  kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe unyunyu...Alimfuata  na  "tomasa toma style"

REGINALD MENGI ATANGAZA DAU LA MILIONI MOJA KWA MTU ATAYEMTUMIA TWEET NZURI

$
0
0
Upo kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka ujiunge sababu kuna ulaji huko!! Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema kuanzia mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1 kwa kila tweet itakayomfurashia. Not to fast though…… Sio tweet zile za ‘I’m having fun being single, #TeamSingle, tupa kuleee!  Mengi anataka ulikune jicho lake kwa tweet yenye akili ambayo

IKULU YAMJIBU DR. SLAA KUHUSU KASHFA YA UDINI WA RAISI KIKWETE ALIZOZITOA

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mheshimiwa Wilbroad Slaa, leo, Jumatatu, Mei 13, 2013, amekaririwa na gazeti moja akidai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na timu yake ya kampeni, “ilikuwa ikisaka kura kwenye nyumba za ibada na kumwaga sumu mbaya ya udini ambayo sasa inaitesa

MTUHUMIWA NAMBA MOJA WA BOMU LA ARUSHA AMEFIKISHWA MAHAKAMANI LEO NA KUSOMEWA MASHITAKA 21

$
0
0
Mtuhumiwa mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka 21 ya mauaji na kujaribu kuua. Victor Ambrose Calist (20) ambaye ni dereva wa bodaboda na mkazi wa eneo la Kwa Mromboo jijini Arushai amesomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu mkazi, Devotha Kamuzora.

VIDEO: RIPOTI YA POLISI YATOFAUTIANA NA RIPOTI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA KUHUSU BOMU LA KANISANI

$
0
0
--->KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA LIBERATUSI SABAS – ACP ATOFAUTIANA NA TAARIFA YA AWALI YA MKUU WA MKOA.  --->WAGENI WAACHIWA KWA KUKOSA USHAHIDI ,WATANZANIA WASOTA RUMANDE. ---> ALIYEFIKISWA MAHAKAMANI ASHITAKIWA KWA MAUAJI NA SIYO UGAIDI. ---> WAANDISHI WAPIGWA NA BUTWA KILA MMOJA AONDOKA NA LAKE.<!-- adsense -->

FLORA BAHATI LYMO NI MWANAMKE ANAYEDAI KUBAKWA NA MBUNGE WA TANZANIA

$
0
0
BINTI mrembo aitwaye Flora Bahati Lyimo anamtuhumu mbunge mmoja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloongozwa na Spika Anne Makinda kuwa amembaka...   Katika uchunguzi wake, hivi karibuni ,Uwazi lilielezwa kuwa kuna habari ya kashfa nzito inayomtafuna mbunge huyo anayetokea Kanda ya Kaskazini lakini haikufafanua kwamba inahusu nini. Baada ya kutulia na kupekua kwenye vyanzo

WENYE MABASI WATAKA NAULI IPANDE TENA

$
0
0
BAADHI ya wamiliki wa mabasi mkoani Shinyanga, wamesema asilimia 24.46 iliyoongezwa katika nauli haitoshi.  Wamiliki hao wameyasema hayo ikiwa ni takriban mwezi mmoja tangu kuanza kutumika kwa nauli mpya za usafiri wa barabara, reli na kupandishwa kwa tozo za huduma za meli bandarini.  Hatua hiyo ilichukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Aprili 3

WALIONASWA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA NI WANAFUNZI WA CHUO KIKUU..... UONGOZI UMEWAKANA

$
0
0
CHUO Kikuu cha Kiufundi cha Mombasa (TUM) kimekanusha madai kwamba wanafunzi wake ni makahaba wanaofanya vitendo vya ngono na mbwa.   Kwenye barua ya kukana dai hilo iliyopelekwa kwenye vyombo vya habari baada ya chuo hicho kutajwa kama chenye wanafunzi 11 waliokamatwa Nyali juzi kwa kashfa ya ngono, chuo hicho kilisema kina mikakati mikali ya kufundisha maadili. “Tunapenda

UPDATE: WANAFUNZI WA SHULE YA MANZESE WAKUMBWA NA "POPO BAWA"....30 WAMEANGUSHWA CHINI MUDA HUU

$
0
0
Wanafunzi wa shule ya secondary manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na kusema a maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti: Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka. Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka.

ZITTO KABWE APIGWA KIBUTI LIVE MTANDAONI NA DEMU WAKE ( LOVENESS DIVA)

$
0
0
Waswahili  husema  ..."Mapenzi  ni UCHIZI"...  Hili  ndo  tunalolishuhudia  kwa  Mh Zitto  na Manzi  wake MAPEPE ( Loveness Diva )  ambaye  ameamua  kumtema  na  kupeleka  penzi  lake  kwa Prezzo wa Kenya.... Kwanza  ulianza  ujumbe  wa  kumpongeza  Prezzo  na  ahadi  ya  kumtema  RAIS WETU MTARAJIWA....  Baaye  kikafuata  KIBUTI  kwa  mh. Mbunge. <!-- adsense -->

KASHIFA YA NGONO YALITAFUNA BUNGE LETU....WABUNGE WADAIWA KUBEBANA NA KUPEANA MIMBA

$
0
0
SKENDO nzito inalitafuna Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikitawala madai kwamba kuna wabunge wawili wanawake, wamejazwa mimba na waheshimiwa wenzao wanaume. Awali, ulitawala uvumi kuwa mmoja wa wabunge wa upinzani (viti maalum), akitokea Kanda ya Kaskazini, amepewa ujauzito na mheshimiwa mwingine ambaye ni kiongozi anayeshika nafasi za juu kwenye moja ya vyama vikuu vya

PICHA 5 ZA WANAFUNZI WA MANZESE WALIOVAMIWA NA MASHETANI LEO ASUBUHI

$
0
0
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese iliyopo Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam wamevamiwa na mashetani na kuanguka hovyo darasani huku wakipiga kelele na kuongea maneno yasiyoeleweka na kusababisha hofu kutanda maeneo hayo. Tukio hilo limetokea kuanzia saa nne asubuhi ambapo alianza mwanafunzi mmoja kupiga kelele na kuanguka wakati wakiendelea na masomo ambapo alitolewa

GODBLESS LEMA ASAKWA NA POLISI WA U.K KWA KOSA LA KUMBAKA FLORA BAHATI LYMO

$
0
0
Leo  asubuhi  tuliweka  habari ya  mwanadada Flora Bahati Lymo anayedai kubakwa  na  mbunge..... Taarifa  hiyo  ilinukuliwa  katika  gazeti la Uwazi, toleo la leo tarehe 14 may 2013....Ni taarifa  iliyozua  utata mkubwa.  Unaweza kuisoma habari hiyo kwa kubofya hapa   << Mrembo adai kubakwa na mbunge>> Kwa mdomo wake mwenyewe, mwanamke huyo ameamua kufunguka   mchana  huu na 

"MKITUKAZA KUNYWA VIROBA TUTAANZA KUNYWA GONGO"....WANANCHI WALIJIBU BUNGE

$
0
0
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Dar es Salaam hivi karibuni. Baadhi ya wananchi jijini Dar es Salaam, wamelalamikia hoja iliyozuka bungeni wiki hii kwamba kinywaji cha Konyagi aina ya Kiroba kipigwe marufuku nchini. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi hao

MAJI YAKO SHINGONI...LADY JAYDEE ATAKA KUIKIMBIA NCHI ILI KUJINASUA

$
0
0
Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kuihama nchi yake  na kuelekea nchi jirani ya  KENYA ... Lady Jaydee anafikiria kwenda kuomba uraia KENYA ama MALAWI kwa kile kinachoonekana kuwa ni kutaka  kujinasua  katika  migogoro  inayomkabili ambayo  tayari  iko mahakamani....    Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa kijamii wa twitter na

RIPOTI KUHUSU RAISI KIKWETE KUONGEZEWA MUDA WA KUKAA MADARAKANI HADI 2017

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa taarifa za siri za kuwapo kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya sasa kukaa madarakani.  Rais Jakaya Kikwete Profesa Lipumba alisema hiyo inatokana na wasiwasi kuwa mchakato wa Katiba Mpya hautaweza kukamilika mwaka 2014 hivyo kutokuwa rahisi kwa uchaguzi kufanyika mwaka 2015. Akizungumza

VIDEO YA WANAFUNZI WA MANZESE WALIOKUWA WAKIDONDOSHWA NA MAPEPO JANA

$
0
0
Hali ya taharuki ilitokea jana katika shule ya sekondari Manzese jijini Dar es salaam baada ya zaidi ya wanafunzi 40 kupatwa na ugonjwa wa kuanguka ovyo na kusababisha kukatishwa kwa masomo na kulazimishwa wanafunzi kurudi nyumbani kwa kuhofia usalama wao.  VIDEO YA RIPOTI YA ITV <!-- adsense -->

KINANA AMTAKA MBUNGE WA IRINGA AMUOMBE RADHI HADHARANI, VINGINEVYO WATAMALIZANA MAHAKAMANI...

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Omar Kinana, kupitia kwa wanasheria wa LAW OFFICES OF ERIC S. NG'MARYO wa Moshi amemuandikia Mbunge wa Iringa Ndugu Peter Msigwa agizo la kumtaka amuombe radhi kwa matamshi ambayo kinana anadai ni ya uongo kwamba,  HII NI SEHEMU  YA  BARUA  HIYO:  "Nakuandikia kwa maagizo niliyopewa na mteja wangu, Ndugu Abdulrahman Kinana, kufuatia matamshi yako ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images