Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

HATIMAYE KINYWAJI CHA SODA CHAANZA KUPIGWA MARUFUKU NCHI ZA NJE

$
0
0
*Yakatazwa shuleni, watoto chini ya miaka 12*Sasa yabainika kuwa ina sumu inayoua taratibu*Yagundulika kupumbaza na kusababisha uteja SIKU chache baada ya gazeti la Mtanzania kuripoti madhara yanayosababishwa na kinywaji aina ya soda, katika utafiti wake gazeti hilo limebaini mengine mapya. Kwa mujibu wa utafiti huo, imebainika kuwa soda imepigwa marufuku kutumiwa na watoto

WABUNGE WA CCM WANUSURIKA "KUTOANA MANUNDU" BAADA YA KUZINGUANA BUNGENI

$
0
0
WABUNGE wa CCM, jana walizua tafrani nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya kukasirishwa na kitendo cha mwenzao wa Nkasi Kaskazini, Ali Keisy kupinga Bajeti ya Wizara ya Ujenzi wakati akichangia hotuba ya wizara hiyo.   Katika mchango wake, Keisy alisema haungi mkono hoja kwa sababu Barabara ya Sumbawanga hadi Kanazi-Mpanda mpaka Kibaoni haijajengwa

POLISI 7 WATIWA MBARONI KWA KOSA LA " KUWATIA VIJITI MATAKONI " WATUHUMIWA NA KUSABABISHA VIFO

$
0
0
POLISI saba kutoka wilayani Kasulu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, iliyoanza kikao chake mjini Kigoma leo na kusomewa mashitaka ya kuua kwa kukusudia.    Mbele ya Jaji Sam Rumanyika, askari Polisi hao walidaiwa kuwa Agosti 6, 2011 walimpiga na kumuua kwa makusudi Festo Stephano, mkulima na mkazi wa Kijiji cha Rungwe mpya wilayani Kasulu mkoani Kigoma.

DR. SLAA AMKIMBIA NAPE NNAUYE KATIKA OFISI ZA ITV

$
0
0
Katika tukio lisilo la kawaida ambapo kituo cha Matangazo cha ITV kiliandaa mjadala wa kujadili hali ya kisiasa nchini na masuala mbalimbali ya kitaifa ambapo kwa busara za watendaji wa ITV waliwaalika wasemaji wakuu wa mjadala huo kuwa Viongozi waandamizi wa Vyama vya Siasa wakianza na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahaman Kinana na Katibu Mkuu wa CDM Ndugu Slaa.

VIDEO: WALIONASWA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA WAACHIWA KWA DHAMANA

$
0
0
VIDEO: Washukiwa wa ukahaba, wasichana 11 na mzungu kutoka Uswizi, wameachiliwa kwa dhamana. Wasichana hao walibambwa wakifanya ngono na mbwa.<!-- adsense -->

IKULU YAKANUSHA KUHUSU RAIS KIKWETE KUONGEZEWA MUDA WA KUKAA MADARAKANI

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Mheshimiwa Profesa Ibrahim Lipumba amekaririwa na Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatano, Mei 15, 2013 akisema kuwa “amenasa taarifa za siri za kuwepo kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya sasa kukaa madarakani”. Katika habari hiyo iliyoandikwa chini ya kichwa cha habari, “Lipumba: Kuna njama za kumwongezea JK muda” Mheshimiwa Lipumba anadai kuwa Serikali ya

MWANA FA AVUNA MILIONI 18 NDANI YA MIEZI MITATU KWENYE RINGBACK TONE

$
0
0
Kwa mujibu wa Mwana FA mwenyewe ambaye leo ameachia wimbo wake mpya, Kama Zamani, hivi karibuni alipokea malipo ya miezi mitatu kutoka kampuni moja ya kuuza miito ya simu aka RBT yanayofikia shilingi za kitanzania milioni 18. Akiongea leo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, FA aliyekuwa wa tatu kati ya wasanii waliopata fedha nyingi zaidi kwenye malipo hayo chini ya Rose Mhando na

AUNT LULU AAMUA KUACHANA NA MASHOGA

$
0
0
<!-- adsense --> MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amepigwa ‘stop’ kutembea na marafiki wanaodaiwa kuwa ni wanaume wenye vitendo vya kike ‘Kuku Watamu’. Akizungumza na mwandishi  wetu, Aunty Lulu alisema baada ya kuandamwa na maneno juu ukaribu wake na wanaume hao, mama yake mzazi na mpenzi wake wa sasa ambaye hakutaka kumtaja, wamemzuia ‘kumpiga stop’

"NATAKA GODBLESS LEMA AJE AJISAFISHE HUKU LONDON KAMA KWELI HAKUBAKA".... CHRIS LUKOSI

$
0
0
Ndugu zanguni,Baada ya kuona kila kukicha tunaendelea kusikia hizi habari zenye kukera kuhusu kesi inayomkabili mbunge wa Arusha God bless Lema.Mimi kama rafiki wa zamani wa Lema nimeamua kujitolea kumplipia gharama zote ili aje hapa UK kukanusha uzushi huu ambao ni aibu kwa taifa letu kuwa na mbunge ambaye anatafutwa kwa kesi ya aibu ya kubaka.Mimi kama wananchi wengine sipendi kuona

POLISI MTWARA IMETOA ONYO KALI KWA WANANCHI KUHUSU VURUGU WALIZOPANGA KUFANYA KESHO

$
0
0
Kupitia safari redio mtwara,Kamanda wa polisi mkoani Mtwara  alisikika akitoa tahadhari kwa wananchi wenye hasira kali dhidi ya mustakabali wa suala la gesi na nia ya serikali kwa maendeleo ya watu wa kusini... Licha ya serikali kutumia gharama nyingi kuendesha kipindi cha BARAGUMU LA MSIMBATI kupitia kituo chake cha habari cha TBC ambacho katika kipindi hiki ni kama nyenzo ya kutoa elimu

MAHAKAMA YA IRINGA YAKANUSHA POLISI KUMSHIKILIA MLINZI WAKE KWA KUIBA BANGI

$
0
0
MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Iringa  imepinga  vikali taarifa ya  jeshi la polisi mkoa  wa Iringa (RPC) Michael Kamuhanda  aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari  kuwa inamshikilia mtumishi  wa mahakama hiyo kwa kuiba bangi iliyofikishwa mahakamani hapo kama kielelezo."Taarifa ya kamanda wa polisi kuwa bangi imeibiwa mahakamani si ya kweli na imelenga kuichafua mahakama. Mahakama

MAELEZO YA WIZARA JUU YA KAULI YA DR. MWINYI KUHUSU DAWA BANDIA ZA UKIMWI ( ARV)

$
0
0
Tarehe 9 Mei, 2013, Mhe. Dkt. Hussein A. Mwinyi (Mb) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, katika kuhitimisha hoja ya bajeti ya Wizara alitolea ufafanuzi suala la dawa bandia ya ARV kufuatia hoja zilizokuwa zimetolewa na Mhe. Zarina S. Madabida (Mb) kuhusu kuhusika kwa kiwanda cha dawa chaTanzania Pharmaceutical Industries Ltd (TPI) katika sakata la dawa bandia ya ARV.Baada ya

MSANII WA CAMP MULLA ALIYEWAHI PIGA CHAFU ATIMULIWA NDANI YA KUNDI HILO

$
0
0
Habari zilizosambaa katika mitaa ya area code +254 zinadai kuwa kundi la hip hop lenye mafanikio makubwa nchini Kenya, Camp Mulla limempiga chini first lady na lead singer wa kundi hilo, Miss Karun  kutokana  na  skendo  zinazomkabili Kwa mujibu wa maneno ya mtaani  inasemekana nafasi ya Miss Karun itachukuliwa na mrembo mwingine aitwaye Tiri, ambaye ni mpenzi wa member na producer

MSIGWA AGOMA KUMUOMBA RADHI KINANA NA BADALA YAKE AMEMSHAURI AENDE MAHAKAMANI KAMA ANADHANI ALIONEWA

$
0
0
Mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa amemtaka  katibu mkuu  wa chama  cha mapinduzi (CCM) Bw  Kinana  kutosubiri muda  wa  siku  21 alizozitoa  kumfikisha mahakamani na kudai kuwa  yupo tayari  kwenda mahakamani hata kesho. Mbunge Msigwa amesema kuwa katika  ukweli  hatakuwa   tayari kumwogopa mtu na kuwa siku  zote atasimama katika  ukweli katika  kupigania maslahi ya

DIAMOND ATOA SABABU ZINAZOMFANYA AWE MALAYA......

$
0
0
KWA mara ya kwanza nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' ameacha gumzo London, Uingereza baada ya kueleza sababu za kwa nini ni kiwembe? Akifunguka katika mahojiano maalum wiki iliyopita na Kipindi cha Sporah Show cha runingani alipokuwa kwenye ziara ya kimuziki nchini humo, Diamond alizungumza ishu kibao za kimapenzi hasa juu ya msururu wa wanawake ambao tayari ametoka nao.

"SIJAWAHI MVULIA NGUO MWANA FA"...HUSNA

$
0
0
MISS Sinza 2011, Husna Maulid, juzikati ameibuka na kudai kwamba katika maisha yake hajawahi kutoa penzi kwa msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’. Husna aliyasema hayo Mei 15 mwaka huu baada ya kuvumishiwa kuwa anatoka kimapenzi na staa huyo na kwamba, kwa sasa hakuna kificho chochote kwani hadi picha zinazowaonyesha ukaribu wao zimezagaa kwenye mtandao.

TID NAYE AGOMA KUSHIRIKI KATIKA SHOW YA LADY JAYDEE

$
0
0
Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo. Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.   Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.   “Three reason why i can’t do lady

ASHLEY TOTO NI MREMBO ANAYETAKA KUKUPA KUKUPA MOYO WAKE......

$
0
0
Ashley Toto ni mwanadada msanii na   mrembo ambaye anaishi Germany kwa sasa ....  Ashley  yupo Germany  kwa  ajili  ya  kuutangaza  utamaduni  wa mwafrika  halisi  kupitia  fani  ya  maigizo.... Mrembo  huyo  ameshatoa filamu ndogo  kwa  ajili  yako  mdau iliyopo hewani kwa sasa   ili  ujionee uwezo alionao  katika  fani  hiyo......Jina  la filamu  hiyo  ni "MOYO WANGU"  na 

UNYAMA: POLISI AMCHARANGA MAPANGA MWANAE WA MIAKA 4 KISA KIKIWA NI WIVU WA MAPENZI

$
0
0
MTOTO WA MIAKA 4 DEVOTHA GERLAD ALIYEKATWA MAPANGA NA BABA YAKE,HAPA AKIWA HOSPITALI KWA HUDUMA AYA KWANZA. WANANCHI WAKIWA NJE YA HOSPITALI YA WILAYA WAKIWA NA SHAUKU YA KUMUONA MTUHUMIWA. KINA MAMA WALIOGUSWA NA TUKIO WAKIWA NJE YA HOSPITALI KUMUONA MTOTO HUYO. AFANDE BWIRE AKIWA HOI WODINI HAPA AFANDE AKIWA HOI BAADA YA KUFIKISHWA HOSPITALINI..

CD ZA UAMSHO NA ZILE ZA SHEIKH ILUNGA ZAPIGWA MARUFUKU....

$
0
0
Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar inayoongozwa na Dr Shein na Makamu  wake Maalim Seif kupitia Jeshi la Polisi wamepiga marufuku rasmi CD  zote za mawaidha ya Kiislam za UAMSHO,MUJAHID ABOUD ROGO na SHEIKH ILUNGA.  Agizo hilo lilitolewa na OCD  wa  zamani Murtad MKADAM ambae kwa  sasa yupo ofisi kuu ya polisi kitengo cha madawa ya kulevya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images