Zitto Kabwe Aitupia Lawama Serikali Baada ya Acacia Kusema Hawana hizo Dola...
Baada ya Kampuni ya uchimbaji madini nchini, Accacia kudai kwamba haina pesa za kuilipa serikali ya Tanzania kama ilivyodaiwa juzi na kampuni ya Barrick Gold Mining, Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto...
View ArticleRais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Baraza la Maaskofu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Mhashamu Tercisius Ngalalekumtwa kufuatia kifo cha Askofu...
View ArticleJe,una Upungufu Wa Nguvu Zakiume,kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa,kufika Kileleni...
Tatizo la kukosa au kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo ya kiume husababishwa na mambo mengi kama,KISUKARI,NGIRI,CHANGO,TUMBO KUUNGURUMA,MAUMIVU YA KIUNO,UNENE KUPITA KIASI,KUJICHUA...
View ArticleDaktari wa Kanumba Atoa Ushahidi Wake Mahakamani Jinsi Alivyofariki
DAKTARI wa familia ya msanii maarufu wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Dkt, Paplas Kagaia, ameileza mahakama Kuu ya Tanzania kanda Dar es Salaam Kanumba alifariki toka nyumbani baada ya...
View ArticleSerikali Yamwaga Ajira 400 TRA
Benny Mwaipaja, ShinyangaSerikali inatarajia kuajiri wafanyakazi 400 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi kifupi kijacho ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa watumishi katika...
View ArticleShahidi Aieleza Mahakama Jinsi Scorpion Alivyomtoboa Mtu Macho
Mahakama ya Wilaya ya Ilala Oktoba 31,2017 itatoa uamuzi iwapo mshtakiwa Salum Njwete maarufu Scorpion ana kesi ya kujibu au la.Uamuzi utatolewa baada ya jana Ijumaa Oktoba 20,2017 upande wa Jamhuri...
View ArticleKwa Nini Wanaume Wengi Wana Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo
Asilimia 85 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vema wake au wapenzi wao na kuwasababishia waweze kuwasaliti na kutoka nnje ya ndoa NI NINI CHAZO CHAKE ; upiga punyeto, ngiri, vidonda...
View ArticleKwa Nini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?
Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao.NINI CHANZO CHA HAYO?Kupiga punyeto,Ngiri,Vidonda vya tumbo,Magonjwa ya...
View ArticleMwalimu Ajiua Kwa Kujichinja Koromeo
Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mtenga wilayani Nkasi, Leonard Mwipugi (29) amejiua kwa kujichinja koromeo akiwa nyumbani kwake. Taarifa zilizotolewa na Mratibu wa Elimu Kata ya Mtenga, Hebron...
View ArticleZitto Kabwe: ACT- Wazalendo Sio Kijiwe cha Kuisifia Serikali
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema chama chake siyo jukwaa sahihi la kuisifia Serikali kama wanachama wengine wanavyodhani.Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi, Zitto amesema...
View ArticleUteuzi wa Mugabe kuwa balozi wa ‘WHO’ waibua maswali
Shirika la afya duniani (WHO) limemteua rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe kuwa balozi wa kuunganisha vita ya kupambana na magonjwa yasiyoambukiza barani Afrika.Kuteuliwa kwa Mugabe mwenye umri wa miaka...
View ArticleMganga wa Jadi Atiwa Mbaroni kwa Kubaka watoto 14
Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia mganga wa kienyeji mkazi wa mtaa wa Minga, Daud Idd (74), kwa tuhuma ya kunajisi watoto 14 wenye umri kati ya miaka saba na 12 na kuwasababishia maumivu...
View ArticleJipatie Dawa ya Asili ya Kupunguza Maziwa, Kupunguza Tumbo,Kuongeza Unene,...
NATURAL BEAUTY PROD. NDIYO KAMPUNI PEKEE INAYOTOA BIDHAA ORIGINAL GARANTII PAMOJA NA SISITI. Sasa ni wakati wako mpendwa wa kupendeza na bidhaa hizi bila kemiko wala madhara kwa mtumiaji...
View ArticleRais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bi. Janeth Masaburi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Rais Magufuli amefanya uteuzi huo kwa...
View ArticlePolisi na Wanajeshi 53 Wauawa Misri
Idadi ya wanajeshi na polisi waliouawa katika mapambano na wapiganaji wa Kiislamu katika eneo la Bahariya magharibi mwa jangwa imefikia 53, maofisa usalama na matabibu wamesema.Wizara ya mambo ya ndani...
View ArticleNape Awataka Watanzania Waache Ushamba
Mbunge wa Mtama, kwa tiketi ya (CCM) Nape Moses Nnauye amefunguka na kuwataka watu kuacha ushamba kwani kusifu au kukosoa juu ya jambo fulani ni kazi ambazo Mungu amewapa watu kuzifanya hivyo mtu baki...
View Article