Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SORRY MADAM -Sehemu ya 78 & 79 (Destination of my enemies)

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWAILIPOISHIAMacho ya Eddy yakaweza kuona msafara mzima wa raisi Praygod unavyo ingia katika sehemu ya abiria wanao safari. Macho ya Eddy yakagongana na macho ya Manka ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanza: Mwalimu Afumaniwa Akifanya Mapenzi na Mwanafunzi Wake Darasani

Mwalimu Abasi Hussein wa shule ya msingi Mwabomba iliyopo tarafa ya Ngula wilayani Kwimba mkoani Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kukutwa darasani akifanya mapenzi na mwanafunzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Kufungua Na Kuzindua Miradi Tisa Ya Barabara Na Uwanja Wa Ndege

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF Yamwachia Huru Mkuu wa Kitengo cha Habari wa klabu ya Simba Haji Manara

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemuachia huru Mkuu wa Kitengo cha Habari wa klabu ya Simba Haji Manara kuendelea na majukumu yake kama kawaida.Hayo yameweka wazi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampeni ‘Magufuli Baki’ yaanzishwa........Mikutano kufanyika nchi nzima

Na Regina Mkonde  Rais John Pombe Magufuli ameendelea kupongezwa na wananchi pamoja na Taasisi za kiraia mbalimbali kutokana na misimamo yake na kazi kubwa anayoifanya ya kupigania rasilimali za nchi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete amfariji Dk Mwakyembe...."Kifo Tumeumbiwa Sote"

Rais wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ni miongoni mwa waombolezaji wa kifo cha Linah, mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe kilichotokea juzi.Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya July 18

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Mtaalamu wa Kusafisha Nyota........Anatoa Mvuto wa Biashara,...

Kutana Maajabu ya Mtabibu CHIEF SULTAN(MAKATA WA MAKATANI) Mganga wa Waganga Sasa Yupo Mikoa Yote TanzaniaPia anatoa Tiba kwa Njia ya Simu ukiwa popote Pale Tanzania au Nje ya Tanzania..CHIEF SULTAN ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Gazi Pamoja...

Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEMC Yafumuliwa.....Baadhi ya Vigogo Watumbuliwa, Wengine Wahamishwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Januari Makamba amefanya mabadiliko makubwa kwenye Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC).Akizungumza jana Jumatatu, Julai 17, Makamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ebitoke : Ben Pol Ananipenda Kama Nilivyo

Msanii wa vichekesho Anastazia Kisaveli alimaarufu kama Ebitoke ameweka wazi jambo ambalo anavutiwa zaidi na Ben Pol na kusema ni vile msanii huyo alivyompenda na kumkubali jinsi alivyo.Ebitoke ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni...

Watu wawili wamefariki dunia kwa  kuzama katika mto Ungwasi wakati wakiwa kwenye ibada ya ubatizo.Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, linawashikilia watu watatu akiwamo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jipatie Riwaya ya Kusisimua iitwayo President Wife Toka kwa Mtunzi Makini

PRESIDENT WIFE, MUENDELEZO WA SORRY MADAM(Destination of my enemies)  Story ya sorry madam d.f.e ikiwa inakaribia kuisha, sasa huu ni wakati wako kupata kitabu cha President wife kwa ofa ya sh 5000 Tu....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tundu Lissu Azungumzia Sakata la Madiwani wa CHADEMA Kuhamia CCM........Pia...

Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), Tundu Lissu amesema Ukawa unatangaza vita na CUF ya Profesa Ibrahim Lipumba kama walivyo vitani na Chama cha Mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Efatha Ministry Ruvuma: Huduma Zetu Pamoja na Raitiba za Ibada......Nyote...

EFATHA MINISTRY RUVUMAEFATHA maana yake ni Funguka[MARKO 7:34], Efatha ni huduma iliyo chini ya Mtume na Nabii JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA,Huduma ilianzishwa mwaka 1997.Huduma ya Efatha mkoa wa Ruvuma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tundu Lissu: Sipendi kukamatwa maana mahabusu si pazuri ila sitaacha kupaza...

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amesema hapendi kukamatwa na vyombo vya dola kwa kuwa mahabusu si mahala pazuri pa kuishi watu hususan wasiokuwa na hatia, hata hivyo amesema kitendo hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tundu Lissu: Nimepewa Siri Lowassa Atapelekwa Mahakamani na Kushitakiwa kwa...

Wakati  Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, akiwa bado anakabiliwa na kesi kadhaa za uchochezi, amefytuka tena na kutoa maneno mazito juu ya viongozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Kitambi Kinavyopatikana na Jinsi Kinavyoondolewa na Dawa ya Mkataa Kitambi

Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na  kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia  hatua  ya  kunin’ginia.JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANAKwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA Yamkana Ngeleja Sakata la fedha za Escrow........Yadai Jukumu Lake ni...

Waziri wa Nishati na Madini wa zamani Ngeleja ni mmoja kati ya watu waliopokea mgawo wa fedha zinazodaiwa kuwa zao la kashfa ya Tegeta Escrow, lakini akatangaza kuzirejesha kwa TRA Jumatatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unasumbuliwa na Kiharusi,Ngiri au Kifafa?......Unatatizo la Nguvu za Kiume,...

SASA YUPO DAR; Anauwezo wa kutabiri nyota yako na kukuletea mafanikio makubwa katia biashara yako, kazini na malengo yako ya maisha.Pia anatoa pete ya bahati yenye uwezo wa kukuletea mafanikio makubwa...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>