Kutana na Maajabu ya Mtabibu CHIEF SULTAN(MAKATA WA MAKATANI) Mganga wa...
Kutana Maajabu ya Mtabibu CHIEF SULTAN(MAKATA WA MAKATANI) Mganga wa Waganga Sasa Yupo Mikoa Yote Tanzania Pia anatoa Tiba kwa Njia ya Simu ukiwa popote Pale Tanzania au Nje ya Tanzania..CHIEF SULTAN...
View ArticleTAKUKURU yaisaidia Serikali kuokoa Sh53 bilioni
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanikiwa kuokoa Sh bilioni 53.9 kutokana na uchunguzi na operesheni mbalimbali zilizofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)...
View ArticleJela Miaka 23 Kwa Kuiba Cheti Kidato cha Nne
Mahakama ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu kwenda jela miaka 23 mkazi wa kijiji cha Kalovye, Osward Mpalasinge (26).Amepewa adhabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja na kuiba vitu...
View ArticleMeya wa Jiji la Arusha Amtaka Mkuu wa Mkoa Amuombe Radhi
Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro ametoa siku saba kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amuombe radhi kwa kosa la kumuweka ndani wakati alipokuwa anakabidhi rambirambi kwa wazazi waliofiwa...
View ArticleSerikali yasaini mkataba kupanua na kuongeza kina cha Bandari ya Dar es Salaam
Benjamin Sawe-MaelezoMamlaka ya Bandari nchini (TPA), imesaini mkataba wa upanuzi na uongezaji wa kina cha bandari utakaowezesha bandari ya Dar es Salaam kupokea meli kubwa za mizigo na kushindana na...
View ArticleBasi la BATCO Lateketea Kwa Moto
Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW limeteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara. Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka...
View ArticleBreaking News: Mkurugenzi Mkuu EWURA Asimamishwa Kazi
Usiku wa kumkia leo( saa saba usiku) Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngalamgosi.Kwa mujibu...
View ArticleMauaji Kibiti: IGP Sirro Awataka Waandishi Kuwa Wazalendo
Wakati Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akisema matukio ya mauaji ya hivi karibuni mkoani Rufiji yana harufu ya kisiasa, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amevitaka...
View ArticleOFA: Jipatie Riwaya Kali ya Kusisimua Ya President Wife
OFA KABAMBE SI YA KUKOSA MPENDWA MSOMAJI WANGU Nunua kitabu cha PRESIDENT WIFE kwa sh 10000 ujipatie kitabu cha SORRY MADAM season ONE BureEEE kabisa. OFA hii ni wa watumiaji wa mtandao wa Whatsapp...
View ArticleMajaliwa apokea taarifa uchunguzi wa Salfa, Ni ya makontena 211 yaliyokuwa...
Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema salfa iliyoingizwa nchini kwenye makontena 211 haina kasoro na inafaa kwa matumizi ya kupulizia kwenye mikorosho.Majaliwa amesema hayo...
View ArticleIGP Sirro: Ni kosa Polisi Kudai Hela ya Mafuta kwa Raia
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro amewataka makamanda wa polisi mikoa kuhakikisha wanatumia vizuri mafuta ya magari wanayowekewa ili kuepuka malalamiko ya wananchi kwa magari ya polisi...
View ArticleTFF Wakanusha Kutowalipa Posho Serengeti Boys
Kufuatia taarifa zilizokuwa zikienea na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, zikidai kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatelekeza wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ya...
View ArticleZitto Kabwe Afunguka Mazito kutimuliwa kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA
Hili la Mkurugenzi Mkuu wa EWURA linahusu tangazo la leseni ya Kampuni ya kifisadi ya IPTL?Ni muhimu sana Rais afahamu kwamba kuna kazi kubwa ya chinichini inafanywa na wasaidizi wake ( sina hakika...
View ArticleJinsi Kitambi Kinavyopatikana na Jinsi Kinavyoondolewa na Dawa ya Mkataa Kitambi
Kitambi ni ile hali ya tumbo kuwa kubwa na kuchomoza kwa mbele na wakati mwingine kufikia hatua ya kunin’ginia.JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANAKwa mujibu wa tafiti mbalimbali za...
View ArticleFundi Mbao Atiwa Mbaroni Kwa Kuwabaka Watoto Wake Wawili
Fundi mbao, Japhet Lendiman (38) mkazi wa Daraja Mbili, anashikiliwa na Jeshi la Polisi, baada ya kubaka watoto wake wa kike wa darasa la sita na kidato cha kwanza.Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa...
View ArticleEWURA Wasitisha Mchakato wa Kuiongezea Leseni Kampuni ya IPTL......Ni Baada...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha mchakato wa kushughulikia maombi ya IPTL ya kuongezewa muda wa leseni yake ya biashara kwa miezi 55 ili iendelee kuzalisha umeme na...
View Article