Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Kuajiri Watumishi Wa Kada Ya Afya Kuziba Pengo La Wenye Vyeti Feki

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuajiri watumishi wa idara ya afya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi na watumishi ambao wameondolewa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapya yaibuka mauaji ya kada wa CCM.......Kamanda wa Polisi Ataja Ujumbe...

Siku moja baada ya Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani Kibiti, Alife Mtulia, kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake, imeelezwa kuwa wauaji hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majeruhi Ajali Iliyoua 35 Arusha Wasafirishwa Kwenda Marekani

Majeruhi  wa ajali  ya gari iliyohusisha vifo 35 vya wanafunzi, walimu pamoja na dereva wa shule ya msingi Luck Vicent  wilayani Karatu, wamesafirishwa jana kwenda Marekani kwa ajili  ya matibabu zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vita ya Kitwanga na Waziri wa Maji Yachukua Sura Mpya.......Lwenge Amtaka...

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge, amesema kauli ya Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga (CCM), aliyoitoa bungeni wiki hii, kwamba kama Serikali haitapeleka maji atahamasisha wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Korea Kaskazini Yasema Kombora Jipya Lililorushwa Jana Lina Uwezo Wa Kubeba...

Korea Kaskazini imedai kwamba kombora la masafa marefu lililofanyiwa majaribio siku ya Jumapili ni kombora jipya linaloweza kubeba kichwa cha nyuklia.Kombora hilo lililorushwa lilienda angani urefu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Machinjio Yafungwa kwa Uchafu

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeyafunga nusu ya machinjio ya ng’ombe, kuku na nguruwe katika Manispaa za Temeke, Ilala, Ubungo na Kinondoni baada ya kufanya ukaguzi.Mkurugenzi wa TFDA,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi Kukishitaki Chuo Kikuu cha UDSM

Mwanafunzi aliyefukuzwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Alphonce Lusako, amewasilisha maombi Mahakama Kuu chini ya hati ya dharura, aruhusiwe kukishtaki chuo hicho kwa kumkatisha masomo.Mwanafunzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Wachawi Wanavyo Tumia Mafiga Mabichi Ya Mti Wa Mfausiku Kupika Uchawi...

Na. DOKTA  MUNGWA  KABILI …0744 -000  473. Wachawi  wanaweza  kutumia  uchawi  kumvuta  kimapenzi  mtu  aliye  mbali. Moja  kati  ya  vitu  vinavyo  tumika  katika  uchawi  huu  ni  pamoja  na  mafiga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: Yaliyojiri Bungeni Dodoma leo Mei 15, 2017

Fuatilia hapa matangazo moja kwa moja ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mjini Dodoma leo Mei 15, 2017, kipindi cha maswali na majibu. ==>Bofya hapo chini kutazama.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge Walalamika Kugeuzwa ATM Mashine na Wananchi

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema), amesema wananchi wamewageuza wabunge wa Tanzania na kuwa kama mashine za kutolea fedha (ATM) na Vyama vya Kuweka na Kukopa (SACCOS).Kutokana na hali hiyo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwigulu Nchemba: Bado Hatuna sheria ya kuthibiti shisha

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba bungeni leo amesema serikali bado haina sheria ya kuthibiti matumizi ya kilevi aina ya shisha ila lipo agizo la Waziri Mkuu la kupiga marufuku biashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Manara alalama kubambikiwa mzigo usiomhusu Kuhusu Sportpesa

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba SC, Haji Manara amedai anaonewa kwa kupewa lawama zisizomuhusu baada ya kile kinachoaminiwa kuwa naye ni miongoni mwa viongozi walioshiriki katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haji Mnara: Hans Pope amefuta uamuzi wa kujiuzulu uongozi Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope amerudi kundini Simba baada ya kufuta uamuzi wake wa kujiuzuluMkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara amethibitisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serengeti Boys kutupa karata yake ya kwanza AFCON U-17 nchini Gabon.........

Hatimaye siku iliyokuwa imesubiriwa kwa hamu na Watanzania ya kuishuhudia timu yao ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefika ambapo, leo Jumatatu inafungua pazia lake katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli aivunja Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA)

Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 15 Mei, 2017 ameivunja rasmi Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) na ameagiza mali na shughuli zote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Elimu awasimamisha kazi vigogo wa Taasisi ya Elimu ya Tanzania

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako leo Jumatatu jioni amewasimamisha kazi Kaimu Kamishna wa Elimu, Nicholas Bureta na Kaimu  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya May 16

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Afande Sele Alia na Utapeli Ndani ya Miss Tanzania

Msanii Afande Sele amefunguka mengine mapya kwa kudai shindano la Miss Tanzania kwa sasa linatia aibu kubwa katika taifa kwa kukosa hadhi huku likionekana ni shindano linalomnufainisha mtu mmoja nasiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto ataka hatua kali zichukuliwe dhidi ya askari polisi aliyemtishia...

Katika hali isiyokuwa ya kawaida iliyotokea jana Jijini Dar es salaam kwa kitendo cha aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha katika utawala wa awamu ya nne, Adam Malima kutishiwa bunduki na askali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Godbless Lema awashangaa wanaomdhihaki baada ya kumpongeza Nyalandu kufuatia...

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amewashangaa wanaomdhihaki na kumshambulia kwa maneno makali mara baada ya kumpongeza mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu kufuatia kuwasaidia majeruhi wa...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>