Maalim Seif Afunguka wakati Wazanzibar wakipiga Kura........"Kilichotokea...
Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Oktoba 25, mwaka jana, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema hatma ya Wazanzibar iko mikononi mwa...
View ArticleBaadhi Ya Matokeo ya Uchaguzi wa Wajumbe wa Baraza La Wawakilishi Zanzibar
Matokeo ya uchaguzi wa marudio uliofanyika jana visiwani zanzibar kwa upande wa wajumbe wa baraza la wawakilishi yameanza kutangazwa kisiwani pemba. 1.Jimbo la Chakechake aliyeshinda ni Suleiman Said...
View ArticleMkurugenzi wa Idara ya Habari -MAELEZO Assah Mwambene Ahamishiwa Wizara Ya...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari -MAELEZO Assah Mwambene Ahamishiwa Wizara Ya Mambo Ya Nje
View ArticleTRL Yasitisha Safari Za Kuanzia Dar Es Salaam......Wasafiri Wa Mwanza Na...
Mamlaka ya Reli Nchini (TRL) imesitisha safari zake kutoka Dar es salaam kwenda Mikoani na kuhamishia huduma hiyo mkoani Dodoma kutokana miundombinu ya reli kuharibiwa na mvua za masika zinazoendelea...
View ArticleBreaking News: Dr. Ali Mohammed Shein Atangazwa Rasmi kuwa Mshindi wa Kiti...
Mgombea wa urais kupitia chama cha CCM Visiwani Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameshinda kiti cha urais kwa jumla ya kura 299,982 awa na asilimia 91.4 ya kura zote halali 328,327 katika uchaguzi wa...
View ArticleBreaking News: Rais Magufuli Atekeleza Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa mtu kwanza kutekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam la kuhakiki silaha, ambapo bunduki zake mbili aina ya Shortgun na...
View ArticleBad News: Msafara wa Kamati ya Bunge Utawala na TAMISEMI Wapata Ajali Mbaya...
WATU watano wamefariki dunia huku nane wamejeruhiwa, katika ajali iliyoyahusisha magari manne, mawili yakiwa katika msafara wa Kamati ya Bunge Utawala na TAMISEMI maeneo ya Kerege, Bagamoyo...
View ArticleRais Magufuli Ampongeza Dr. Shein kwa Kushinda Urais Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za pongezi Rais Mteule wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, kufuatia ushindi alioupata katika marudio ya Uchaguzi Mkuu...
View ArticleMabalozi wa nchi za Ulaya na Marekani Waukosoa Uchaguzi wa Marudio...
Mabalozi na wawakilishi wa nchi za Ubelgiji, Canada, Denmark, Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Hispania, Sweden, Switzerland, Uingereza na Marekani hivi...
View ArticleTaarifa ya Habari Ya Channel Ten – Jumatatu Tarehe 21.03.2016
Taarifa ya Habari Ya Channel Ten – Jumatatu Tarehe 21.03.2016
View ArticleWaziri Mkuu Amwagiza CAG Kukagua Mapato ya Bandari na Benki ya...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali aende Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ili akague taarifa za mapato ambazo zilikuwa zikilipwa na mawakala wa forodha na...
View ArticleMkuu wa Wilaya ya Njombe Sarah Dumba afariki dunia
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba amefariki dunia jana jioni ya baada ya kuugua ghaflaMkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi amethibitisha kutokea kwa msiba huo, na kueleza kuwa marehemu Sarah...
View ArticleRais Magufuli Atuma Salamu Za Rambirambi Kufuatia Vifo Vya Wafanyakazi Sita...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, kufuatia vifo vya wafanyakazi sita wa halmashauri ya...
View ArticleWatumishi Watatu Manispaa Ya Kinondoni Kusimamishwa Kazi
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuwasimamisha kazi watumishi watatu wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es...
View ArticleLucy Mayenga Ajisalimisha....Amuomba Rais Magufuli Ampumzishe Ukuu wa Wilaya
Wakati Taifa likisubiri uteuzi wa wakuu wa wilaya huku wanaoshikilia nafasi hizo wakiwa katika chekeche kwa kuzingatia vigezo vitano, Mkuu wa Wilaya Iramba, mkoani Singida, Lucy Mayenga amemuomba Rais...
View ArticleMwandishi wa Habari Salma Said Asimulia Alivyotekwa
Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na DW, Salma Said amedai alitekwa na wanaume wawili baada ya kumkamata na kumuingiza kwenye gari lao kisha kuondoka naye na...
View ArticleMahakama Yatupilia Mbali Maombi ya Kuzuia Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar Es...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru uchaguzi wa meya na naibu meya wa Jiji la Dar es Salaam, kufanyika leo kama ilivyopangwa. Hakimu Mkazi Mkuu, Warialwande Lema alitoa uamuzi huo jana akijibu...
View ArticleRaia wa Marekani waandamana kumpinga Donald Trump
Kwa mara nyingine tena mgombea wa kiti cha Republican kwenye uchaguzi wa urais nchini Marekani, Donald Trump amekumbana na vikwazo wakati akijiandaa kwenda kwenye mkutano katika jimbo la Phoenix....
View Article