Shahidi wa Lembeli atinga kortini na mzigo wa masufuria ......Mawakili...
Shahidi wa tatu wa mlalamikaji, James Lembeli katika kesi ya kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Jumanne Kishimba (CCM) jana alitinga Mahakama Kuu Kanda ya...
View ArticleUVCCM Wapinga Balozi Juma Mwapachu Kurejea CCM.....Wataka Waliompokea Watimuliwe
Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilayani Hai (UVCCM),Arnold Swai amepinga ya kurejea ndani ya chama hicho kwa mwanadiplomasia na mwanasiasa mkongwe nchini, Balozi Juma...
View ArticleWaziri Kitwanga Asema Wabunge Wataendelea Kukamatwa Kama Hawatafuata Sheria...
Wakati Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, akidai wabunge wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wanakamatwa bila sababu za msingi, Waziri wa Mambo ya Ndani...
View ArticleMwanamke Aliyeoa Wanaume wawili Afariki Dunia
MKAZI wa Kijiji cha Ikondamoyo, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Veronica Salehe (54), aliyeoa wanaume wawili kwa kipindi cha miaka tisa amefariki dunia.Akizungumza na waandishi wa habari juzi,...
View ArticleKamati ya Bunge Yaipa Siku 7 Wizara ya Afya Ieleze Kwa nini Watumishi wa...
Kamati ya bunge ya huduma za jamii imeitaka Wizara ya Afya ijieleze ndani ya siku saba kwanini aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, aliwasimamisha watumishi wa Afya wa hospitali ya Butimba bila kufuata...
View ArticleWaziri Mkuu kuwa mgeni rasmi harambee ya shule ya Sekondari ya Iyunga
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee itakafanyika kesho katika ukumbi wa Ubungo Plaza kwa ajili ya kuchangia fedha zitakazowezesha kukarabati mabweni manne ya...
View ArticleRais Magufuli Akabidhi Gari La Kubebea Wagonjwa Hospitali Ya Wilaya Ya Chalinze
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekabidhi gari la kubebea wagonjwa kwa hosipitali ya wilaya ya Chalinze, Ikiwa ni utekelezaji wa ilani na ahadi ya uchaguzi ya Chama...
View ArticleUchaguzi Zanzibar: Chama cha CUF kimewataka wanachama na wananchi wote kukaa...
Siku ya Jumapili, tarehe 20 Machi 2016, Zanzibar itashuhudia, kwa mara nyingine tena, ubakwaji wa demokrasia kwa kufanyika kile kinachoitwa Uchaguzi wa Marudio’ kufuatia tamko binafsi la Mwenyekiti wa...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Atangaza Zawadi ya Milioni 1 Kwa...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekutana na Kamanda wa Polisi kanda maalum Simon Sirro pamoja na Askari Polisi kwa lengo la kujionea mwenendo wa jeshi hilo ambapo wamekubaliana kutoa zawadi ya milioni...
View ArticleTaarifa ya Habari Ya Channel TEN March 18, 2016
Taarifa ya Habari Ya Channel TEN March 18, 2016
View ArticleMaofisa Uhamiaji wa Mikoa 14 Wahamishwa.....Wengine Zaidi ya 200 Kuhamishwa Pia
Idara ya Uhamiaji nchini imefanya mabadiliko ya maofisa waandamizi kwa kuwahamisha vituo vya kazi kuanzia ofisi ya makao makuu, mikoa, wilaya na mpakani. Pangapangua hiyo ni utekelezaji wa agizo la...
View ArticleWachina Waliokutwa na Vipande 728 Vya Meno ya Tembo Wahukumiwa Kifungo cha...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu raia wawili wa China waliokutwa na hatia ya kuua tembo 226 adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela au kulipa faini ya Sh108.7 bilioni.Pia, imeamuru magari...
View ArticleZanzibar: Mwandishi wa Habari wa Radio Deutsche Welle(DW-Swahili), Salma Said...
Mwandishi wa Habari wa Radio Deutsche Welle(DW-Swahili), Salma Said jana alikamatwa na watu wasiojulikana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Unguja, alipokuwa akisafiri...
View ArticleKigogo wa Madawa ya Kulevya Atiwa Mbaroni Dar.......Traffic Dar Wakusanya...
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa kilo moja, akiwamo anayedaiwa kuwa kigogo wa biashara ya dawa...
View ArticleMaandalizi ya Uchaguzi Visiwani Pemba Yakamilika....Wananchi Watakiwa...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imesema maandalizi ya uchaguzi visiwani Pemba yamekamilika na kuwataka wananchi kujitokeza kesho kupiga kura na kuachana na dhana kuwa kutakuwa na vurugu. Mwandishi...
View ArticleChadema Yawafuata CCM Mahakamani....Yapinga Agizo la Jiji La Dar Kuwazuia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema hakikubaliani na agizo la serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Jiji la kuwataka wanaotakiwa kuhudhuria kwenye kikao cha uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar...
View ArticleNEC yakigomea chama cha CUF ....Yasema Haitumbui Kujitoa Kwa Mgombea Ubunge...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),imesema haitambui kujitoa kwa Chama cha Wananchi (CUF),katika uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Kijitoupele hapa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika kesho Jumapili licha ya...
View ArticleRais Magufuli ateua wakurugenzi wakuu wapya NSSF, TBC na RAHCO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa Taasisi tatu za serikali kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.KWANZA, Rais Dkt. John Pombe Magufuli...
View Article