Dkt.gwajima Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa Uswizi Nchini Tanzania
Na.WAMJW- DSMWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima leo amekutana na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot ambapo wamekubaliana kuimarisha...
View ArticleWaziri Mchengerwa Awataka Watumishi Wa Umma Kuwa Wanyenyekevu Kwa Wananchi
Na. James K. Mwanamyoto-DodomaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Watumishi wa Umma nchini kuwa wanyenyekevu wanapotoa...
View ArticleMashamba Ya Rivacu Manyara Kumegwa Kupatiwa Wananchi
Na Munir Shemweta, WANMM MANYARAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema timu ya wataalamu itafanya tahmini kwenye mashamba mawili ya Mwada na Endamondo yanayomilikiwa na...
View ArticleWafanyabiashara, Wawekezaji Kutoka Czech Waonyesha Utayari Kuwekeza Tanzania
 Na Mwandishi wetu, DarWafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Jamhuri ya Czech wameonesha nia ya kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa Pamba pamoja na viwanda vya nguo hapa nchini.Akibainisha kuhusu...
View ArticleSerikali ya wakaribisha wawekezaji wa Jumuiya ya AFASU kutoka Misri
 Ibrahimu HamiduSerikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji imewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka nchini Misri kupitia Jumuiya ya Muungano Kimataifa chini ya kundi la Afrika na Asia...
View ArticleSerikali Na Mashirika Ya Umoja Wa Mataifa Wakutana Dodoma
 Na: Farida Ramadhan WFM- DODOMASerikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa (UN) wapo katika hatua za mwisho za maandalizi ya Mpango mpya wa Ushirikiano wa miaka mitano (United Nations...
View ArticleALBUM Mpya Alikiba – Only One King. Sikiliza nyimbo zote hapa
 ALBUM Mpya Alikiba – Only One King
View ArticleIGP Sirro Awataka Askari Polisi Kutimiza Wajibu Wao
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka askari wa Jeshi hilo kutimiza wajibu wao ili kuweza kukabiliana na matukio ya uhalifu na wahalifu pamoja na vitendo vingine vya uvunjifu wa...
View ArticleMwenyekiti wazee Chadema afikishwa Kortini kwa kumkashifu IGP
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha), Hashimu Juma Issa, (63) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka mawili, likiwemo la kuchapisha taarifa za uongo...
View ArticleWaziri Makamba Aanza Kutekeleza Agizo La Makamu Wa Rais Mkoani Kigoma
Na Teresia Mhagama, KigomaWaziri wa Nishati, January Makamba ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Philip Mpango tarehe 22 Septemba 2021 la...
View ArticleSerikali kufuta leseni za uchimbaji madini zisizofanya kazi
Na Steven Nyamiti-WMWAZIRI wa Madini, Dkt. Doto Biteko ameagiza Leseni za uchimbaji wa madini zisizoendelezwa zifutwe ili maeneo hayo wapewe wachimbaji wenye nia ya kuchimba madini.Dkt. Biteko ametoa...
View ArticleSerikali Kupokea Air Bus Mbili Zanzibar Leo
Happy Lazaro,ArushaArusha .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kupokea ndege mbili aina ya Airbus ambapo ndege hizo moja itapewa jina la Zanzibar na nyingine...
View ArticleUingereza yaondoa zuio la wasafiri kutoka Tanzania
Serikali ya Uingereza imeondoa zuio la kusafiri kwa abiria kutoka Tanzania na nchi zingine 46 zilizokuwa zimepigwa marufuku mapema mwaka huu kama njia ya kupunguza maambukizi ya aina mpya ya virusi vya...
View ArticleToleo Jipya la App Yetu ya Mpekuzi Lililoboreshwa Zaidi....Ingia Playstore au...
Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka 👉1. Tumebadili muonekano na kuufanya kuwa mzuri zaidi👉2. Kila habari tunayoweka kuanzia sasa utapata...
View ArticleMwandishi wa riwaya Zanzibar Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika...
Mwandishi wa vitabu vya riwaya na hadithi fupi fupi kutoka nchini Tanzania Abdulrazak Gurnah ndio mshindi wa mwaka huu wa tuzo ya Nobel ya Fasihi.Kamati inayotoa tuzo hiyo imemtangaza Gurnah kuwa...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Amsimamisha Kazi Afisa Mipango Liwale
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale Bw. Omary Chingwile ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za ujenzi wa Hospitali ya...
View ArticleWatumishi wa Umma Watakiwa Kuzingatia Mwongozo wa Mavazi
Na. James K. Mwanamyoto-BariadiWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Watumishi wa Umma nchini kuzingatia Mwongozo wa Mavazi...
View ArticleMkutano Wa Kujadili Sera Ya Usafirishaji Haramu Wa Binaadamu Barani Afrika...
Issa Mzee   -Maelezo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, amesema Rasimu ya Sera ya Kinga ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Kinga ya Uhamaji haramu katika Bara la...
View Article