Rais Magufuli Ampa Maagizo Mazito CAG Mpya....." Usijifanye Muhimili,...
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemuapisha Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere, leo Novemba 4 Ikulu Jijini Dar es Salaam na kumpa maagizo katika kazi yake mpya.Moja ya maagizo...
View ArticleKijana Aliyemtishia Mwenzake Kwa Bastola Afikishwa Mahakamani
Kijana Shaban Hamisi amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni akikabiliwa na kosa la kumtishia silaha Dereva wa lori la mchanga Venance John ikiwa ni siku chache baada ya kusambaa...
View ArticleSerikali Kuendelea Kutatua Changamoto Sekta Ya Usafirishaji:waziri...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Asasi za Kiraia ziendelee kuelimisha umma juu ya umuhimu wa kulipa kodi.“Nitoe rai kwenu wana AZAKI, muendelee kuielimisha jamii kuhusu umuhimu wa kulipa kodi kwa...
View ArticleWaziri Mkuu Azitaka Azaki Zihimize Ulipaji Kodi ...Ataka Fedha Wanazopata...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Asasi za Kiraia ziendelee kuelimisha umma juu ya umuhimu wa kulipa kodi.“Nitoe rai kwenu wana AZAKI, muendelee kuielimisha jamii kuhusu umuhimu wa kulipa kodi kwa...
View ArticleShehena Ya Mifuko Isiyokidhi Viwango Yakamatwa
Ofisi ya Makamu wa Rais inaendelea kusimamia marufuku ya katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kushirikiana na Kikosi kazi cha Kitaifa. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la...
View ArticleWaziri wa Kilimo: Tumejipanga Kudhibiti Sumukuvu
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-ArushaHivi karibuni, Serikali ya Tanzania ilipata fedha za kutekeleza mradi wa kuzuia kuenea kwa sumukuvu hapa nchini (TANIPAC). Mradi huo unalenga kupunguza kutokea...
View ArticleIran yatangaza hatua mpya za kukiuka mkataba wa silaha za nyuklia
Iran imetangaza leo hatua zake mpya za kukiuka makubaliano makubwa ya silaha za nyuklia yaliyosainiwa mwaka 2015 kati ya mataifa yenye nguvu kubwa duniani. Iran imesema kwa sasa inatumia nyenzo ambayo...
View ArticleLIVE: Kutoka Bungeni Dodoma Kwenye Kipindi Cha Maswali Na Majibu
LIVE: Kutoka Bungeni Dodoma Kwenye Kipindi Cha Maswali Na Majibu
View ArticlePICHA: CAG Mpya Akabidhiwa Ofisi Rasmi
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, amekabadhiwa ofisi na Mtangulizi wake Prof. Mussa Assad leo Novemba 05, katika makao makuu ya...
View ArticleOfisi Yavunjwa, Nyaraka mbalimbali zikiwemo fomu za uchaguzi Zaibiwa
Mnamo tarehe 31.10.2019 majira ya saa 19:50 usiku huko Kijiji cha Pashungu, Kata ya Itawa, Tarafa ya Isangati, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoa wa Mbeya. JACKSON MATONYA [28] Afisa mtendaji wa Kijiji cha...
View ArticleVideo Mpya | Walter Chilambo - God Of Mercy
Video Mpya | Walter Chilambo - God Of Mercy
View ArticleKimataifa | Marekani kujiondoa rasmi makubaliano ya tabia nchi ya Paris
Marekani imeanza rasmi mchakato wa kujitoa kutoka katika makubaliano ya Paris ya mazingira, kulingana na waziri wake wa mambo ya kigeni Mike Pompeo.Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa mpinzani...
View ArticleRais Xi Jinping wa China Aimwagia Sifa Tanzania....Korosho, Madini ya...
Maonesho ya pili ya kimataifa ya bidhaa zinazoagizwa China yamefunguliwa leo mjini Shanghai, China. Rais Xi Jinping wa China amehutubia ufunguzi huo.Maonesho hayo yenye kauli mbiu ya "zama mpya,...
View ArticleMichezo | Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera Atimuliwa
Uongozi wa Klabu ya Yanga leo Jumanne Novemba 5,umetangaza rasmi kumfuta kazi Kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera pamoja na benchi lake lote la ufundi hadi walinzi wa timu hiyoTaarifa hiyo imetolewa...
View ArticleProf. Mussa Assad Aahidi Kumpa Ushirikiano CAG Mpya.....Ataja Kazi Yake Mpya...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali aliyemaliza muda wake, Prof. Mussa Assad ameahidi kumpa ushiarikiano wowote atakaouhitaji CAG mpya, Charles Kichere kwani wao wanafahamiana kwa kipindi...
View Article