Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jipatie Dawa ya Asili ya Kupunguza Maziwa, Kupunguza Tumbo,Kuongeza Unene,...

NATURAL BEAUTY PROD. Tumeingiza mzigo mpya ni bidhaa zilizothibitishwa kiafya na kupewa kibali original cha kuuzwa hadharani.  Bidhaa hizi zimetengenezwa kwa mimea na matunda hazina chemical wala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Njema Kwa Wenye Matatizo Ya Nguvu za Kiume, vitambi, nyama uzembe

(1).Fikiria ulianzia wapi? Je,ulifanikiwa au bado?(2).Upo tayari kupona kwa haraka?TIBA ZITOLEWAZO NI,NGORO 4 POWER; Huongeza nguvu za kiume yenye mfumo wa unga na vidonge dozi siku(6).MELAMELA;...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makanga 3 Power, Dawa Bora Za Nguvu Za Kiume .

Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Akutana Na Makamu Mwenyekiti Wa Bunge La China

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya China kwa kuunga mkono jitihada za maendeleo zinazofanyika nchini hivi sasa chini ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano.Ametoa shukrani hizo jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Kilimo Awataka Watendaji Kusimamia Ubora Wa Korosho

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-MtwaraWaziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ametaka watendaji wa Bodi ya Korosho na Waendesha maghala kusimamia kwa weledi ubora wa korosho ili fedha za serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video Mpya: Victoria Kimani - Not For Sale

Msanii wa muziki kutokea nchini Kenya, Victoria Kimani anakuribisha kutazama video ya wimbo wake mpya uitwao Not For Sale. Itazame hapa.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tazama Hapa Video Mpya ya Ferooz- Mapigo

Msanii mkongwe  wa muziki,Ferooz, anakuribisha kutazama video ya wimbo wake mpya uitwao Mapigo. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Producer Mocco na video imeongozwa na Kilonzo. Itazame hapa.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiwanda Cha Samani Cha Magereza Jijini Arusha Chateketea Kwa Moto

Na Mwandishi Wetu MOHA, ArushaKiwanda cha Samani cha Jeshi la Magereza jijini Arusha kimeteketea moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa kutokana na mashine mbalimbali pamoja na nyaraka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mizizi 29 Power Ni Dawa Ya Nguvu Za Kiume Ambayo Imechanganywa Na Mizizi 29

Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wazee hata na vijana kupungukiwa au kutokuwa kabisa na nguvu za kiume nanimekuwa nikipigiwa simu na wanawake wakilalamika ndoa zao zipo mashakani maana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huna Sababu Ya Kuaibika tena............ Jipatie Dawa Bora Ya Nguvu Za...

Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Riwaya Kali: POWER - Sehemu ya 33

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA- 0657072588ILIPOISHIA     “Unaweza kufungua tu hiyo bahasha”Nikaifungua bahasha hii, nikakuta picha nne ndani ya bahasha hii, nikaanza kutoa moja baada ya nyingine. Picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 152 na 153 )

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA- 0657072588ILIPOISHIANilizungumza huku nikimkabidhi Martin magazine iliyo salia, kisha taratibu nikanyanyuka kutoka katika eneo hili nilipo jificha huku bastola yangu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo Bado Mazito: BASATA yakanusha kuufungulia wimbo wa ‘ Nyegezi -Mwanza’...

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa tamko kwa umma, vyombo vya habari na jamii kwa ujumla kuwa halijaufungulia wimbo wa ‘Mwanza’, ulioimbwa na msanii wa WCB, Rayvanny kwa kushirikiana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu: Vijiji Vyote Nchini Kupatiwa Huduma Za Maji Safi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuhakikisha wananchi wote wakiwemo wa wilaya ya Nachingwea wanapata huduma ya maji safi na salama karibu na makazi yao, hivyo amewataka wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA Yawataka Wauza Runinga Na Mafundi Simu Kujisajili Kwenye Mamlaka Hiyo

Na Ahmed Mahmoud ArushaMamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA)imewataka wale wote wenye kuuza bidhaa za mawasiliano ikiwemo simu za mkononi,Radio na Runinga kuhakikisha wanajisajili kwao ili wananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili ya Novemba 18

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi la Polisi Pwani Lamsaka Mwanamke Aliyempiga Hadi Kumuua Mwanae

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniJeshi  la polisi mkoani Pwani ,linamtafuta mwanamke ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja kwa tuhuma za kumpiga hadi kumuua mtoto  wake Halima Ramadhani (5) kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viongozi Watiwa Mbaroni kwa kutafuna fedha za maji

Jeshi la Polisi Wilayani Muheza, limewatia mbaroni watu watatu kwa amri ya Mkuu wa Wilaya, Mwanasha Tumbo, baada ya kutuhumiwa na wananchi wametafuna fedha za serikali.Watu hao ambao ni wajumbe wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magunia 45 Ya Korosho Yakamatwa Pwani Yakisafirishwa

Na Mwamvua Mwinyi,pwaniJeshi la polisi mkoani Pwani wanalishikilia lori dogo kwa tuhuma za kukutwa na korosho magunia 45 yenye uzito wa kilogramu 81 .  Korosho hizo zinadaiwa zilikuwa zikisafirishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uganda yaisafishia njia Taifa Stars AFCON.....Ikiichapa Lesotho leo, safari...

Wakati macho na masikio ya mashabiki, wadau wa soka na Watanzania kwa ujumla, leo wakiyaelekeza nchini Lesotho kwenye mechi ya kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kati timu ya Taifa ya Tanzania...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>