Amber Lulu apata ajali akielekea kwa Mesen Selekta
Msanii wa Bongo Fleva na video vixen, Amber Lulu amenusurika kwenye ajali ya gari.Hitmaker huyo wa ngoma Jini Kisirani amepata ajali akiwa anaelekea kwenye birthday producer Mesen Selekta. "Wiki hii...
View ArticleZari The Bosslady: Sio lazima kumnga’anga’nia mtu
Mrembo Zari The Bosslady amezidi kutoa ushauri kwa wale wanaomfutialia kwenye mitandao ya kijamii.Zari kwa sasa ameshauri kuwa hakuna ulazima wa kuendelea kuwa na watu ambao wanaondoa furaha yake...
View ArticleVideo Mpya ya Nandy - AIBU
Msanii wa muziki Bongo, Nandy anakukariisha kutazame video ya wimbo wake mpya uitwao Aibu. Itazame hapa.
View ArticleZitto Kabwe Aitupia Lawama Serikali Kushuka Kwa Bei Ya Korosho Mwaka Huu
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Serikali haipaswi kukwepa lawama kwenye suala la uuzaji wa korosho na ikubali kuwa imefanya makosa.Zitto ametoa kauli hiyo leo Oktoba 28, 2018...
View ArticleWaziri Mwijage: Reli ya kisasa ya (SGR) haitaathiri biashara ya kusafirisha...
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, amesema reli ya kisasa ya (SGR) haiwezi kuathiri biashara ya usafirishaji wa mizigo kwa njia ya barabara na amewataka wamiliki wa malori...
View ArticleOfisa Mtendaji, Ofisa Tarafa Kortini Kwa Rushwa Ya Sh. Milioni Moja
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Morogoro imewafikisha Ofisa Tarafa ya Kimamba, Ayubu Mvurungu na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Rudewa, Thomas Mbwilo, katika Mahakama ya Kilosa...
View ArticleMuuza gongo kortini kwa kumhonga polisi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha, imempandisha kizimbani mkazi wa Kijiji cha Kikatiti, Warieli Mungure, anayeuza pombe haramu aina ya gongo kwa tuhuma za kutaka...
View ArticleKangi Lugola asema serikali bado inawasaka waliomteka Mo Dewji
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema Serikali inaendelea kuwatafuta watu waliomteka mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’.Mfanyabiashara huyo alitekwa Oktoba 11 mwaka huu katika Hoteli...
View ArticleHabari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja...
Ni dawa pekee iliyotibu watu wengi nchini na nje ya nchini kwa kufanya kazi Mara 3 kwa wakati mmoja 1 ...kurefusha uume na kunenepesha saizi upendayo, kuogeza nguvu za kiume na inatibu matatizo ,...
View ArticleTromex Power : Dawa Bora Na Imara Ya Nguvu Za Kiume
TROMEX POWER DAWA BORA NA IMARA ya NGUVU ZA KIUME; Baada ya kufanyiwa utafiti na majaribio sasa imeingia sokoni Habari njema kwa tanzania pamoja na africa nzima mkombozi wa ndoa yako ni dawa...
View ArticleRais Dkt. Magufuli Akutana Na Kuzungumza Na Wanunuzi Wa Korosho Jijini Dar Es...
Rais John Magufuli ametoa msimamo wa Serikali kuwa bei ya korosho isipungue Sh3000 kwa kilo moja.Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumapili Oktoba 28, 2018 alipokutana na wadau na wanunuzi wa korosho...
View ArticleChegeni, Lawrence Masha Na Vijana Wengine 10 Watiwa Mbaroni Jijini Mbeya
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwakamata, kuwahoji na kuwaachia kwa dhamana mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha kwa madai ya...
View ArticleLady Jaydee Afunguka Tetesi Za Kuachana Na Mpenzi Wake
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye ni mkongwe kwenye game Lady Jaydee amefunguka juu ya tuhuma za kuachana na mpenzi wake Spice, ambaye ni msanii kutoka Nigeria Spice.Akizungumza na kituo cha EATV...
View ArticleRiwaya Kali: POWER - Sehemu ya 20
MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA- 0657072588ILIPOISHIA “Nchi ya kuwa nazo makini sana hapo ni Uingereza na Italy, tukifanya makosa hatuto songa mbele na wezetu wamejiandaa kisawa sawa, kwani...
View ArticleIsrael yatishia kuipiga Iran, yadai ni Kisasi cha Kushambuliwa Ijumaa
Israel imesema kuwa Iran inahusika na mashumbulizi ya makombora yaliyorushwa kwenye ardhi yake kutoka ukanda wa Gaza mwishoni mwa wiki.Akizungumza jana kuhusu mashambulizi hayo yaliyoshuhudiwa tangu...
View ArticleVideo Mpya: Sultan Wa Pwani - NIMEJIGONGA
Video Mpya: Sultan Wa Pwani - NIMEJIGONGA Itazame hapa.
View ArticleDiamond na Rayvanny wafunga mitaa Posta Dar es Salaam
Wasanii kutokea WCB, Rayvanny na Diamond Platnumz jana Jumapili October 28, walifunga baadhi ya mitaa Posta Dar es Salaam kutokana na utengenezaji wa video ya wimbo wao mpya.Tukio hilo lilivuta umati...
View ArticleWaziri Mwijage: Serikali Inaendelea Kujenga Uchumi Imara Na Shindani
Na Stella Kalinga, SimiyuWaziri wa viwanda,biashara na uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amesema serikali inaendelea kujenga uchumi wa Kitaifa(jumuishi) ulio imara na wenye ushindani kuelekea uchumi wa...
View ArticleWaziri Lukuvi Alitaka Shirika La Nyumba Nhc Kuwa Mfano Katika Kusimamia Na...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuwa mfano katika, kuhifadhi, kutunza na kujenga nyumba bora za gharama nafuu kwa ajili ya...
View Article