Mafahari wawili Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’
wamezidi ‘kusherehesha’ bifu lao baada ya kupigana vikumbo kwenye
mgahawa unaojulikana kama Snow Cream na kuchuniana kama vile hawajuani.
Kwa mujibu wa gazeti la Risasi,
Wema ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingia kwenye mgahawa huo na wapambe
wake kisha baada ya muda kidogo kupita, Aunt pamoja na watu wengine nao
walifika
↧